makondakta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini makondakta wengine wanashindwa kuvaa vizuri?

    Eti wakuu, mnamuona huyu konda? Kumbe inawezekana tu wakavaa vizuri ila huwa wanavaa kama vile hawajitaki, unakuta hata wakivaa zile sare zao wanavaa ilmradi tu.
  2. doctor mwanafunzi

    JamiiForums Tanzania HOJA Makondakta wapewe elimu ya kujali wateja (customer care)

    Moja kati ya kazi zenye watoa huduma wasiojua kujali wateja ni makondakta wa daladala 1: Kuwa wakali sana kwa wateja au abiria Hii ni moja kati ya kero kubwa sana kwa abiria hawa jamaa hawajali kama wanaongea na mtu mzima au mtoto kazi yao ni kufoka tu hata ukidai chenji kitu ambacho ni haki...
  3. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Madereva na maKondakta walalamika shilingi 100 kuadimika. Tunaomba tuletewe

    Kondakta wa usafiri wa daladala wametoa malalamiko yao kutokana na kuadimika kwa sarafu ya shilingi 100 na 200 hali inayowapa ugumu kurudisha chenchi kwa abiria, wakilazimika kurudisha 500 badala ya 600. Gasper Massawe, kondakta wa daladala za Makumbusho amesema kutokana na kuadimika kwa sarafu...
  4. N

    JamiiForums Tanzania KERO Jeuri ya Makondakta kuongeza nauli daladala za Segerea-Kawe imefikia kiwango cha juu kisicho vumilika. LATRA mmelala?

    Ni wazi, LATRA kama chombo cha udhibiti kimeshindwa kudhibiti tabia ya Makondakta na Madereva wa daladala za Segerea-Kawe kuongeza nauli kiholela. Ikifika jioni, daladala hizi zimekuwa na utaratibu wa kuongeza nauli kinyume na sheri, zikidai wastani wa Tsh. 1000-2000 kwa baadhi ya siku. Kwa...
  5. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Makondakta ni wahasibu wana haki ya kulipa Kodi na Tozo hapa Tanzania

    Habari Tanzania ! Ujambo; NBAA, TRA na Wizara ya Fedha !. Makondakta wa magari ni Maafisa Hesabu wanaofanya miamala ya fedha kwenye Daladala na Mabasi ndani na nje ya Mikoa; na nje ya Nchi ni wadau wenu nyinyi hasa NBAA, TRA na Wizara ya Fedha. 1. Naomba ikiwapendeza muwaunde kwenye...
  6. T

    JamiiForums Tanzania TANGAZO LA KAZI MAKONDAKTA NA WAHASIBU

    ..
  7. Kaunara

    JamiiForums Tanzania Sumatra: Makondakta na Madereva daladala Mbeya wanatoa lugha mbaya kwa abiria

    Kama kichwa cha habari kilivyo! Makondakta na Madereva wa dala dala Mbeya wanatoa lugha mbaya sana kwa abiria. Sumatra waelimisheni abiria haki zao ndani ya dala dala acheni kushinda ofisini watu wanateseka barabarani. Wekeni hata sticker zenye namba zenu na haki ambazo abiria akivunjiwa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Makondakta Stendi Kuu Nyegezi wanavamia abiria na kusababisha upotevu wa mali zao

    Habari, Utaratibu wa Makondakta katika stend kuu ya Nyegezi si mzuri hata kidogo. Makonda wanawavamia abiria hivyo kupelekea kupoteza baadhi ya vitu kama simu NK. Asubuhi nimeshuhudia abiria kaibiwa simu katika virugu hizi. Naona nisaidie kuripoti Hilo. Ni kero.
  9. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania KERO Utingo wa Basi la kampuni ya Dolphin Express (njia ya Dodoma-Arusha/Moshi) ndio kinara wa kuibia abiria

    Kama ulikuwa hujui hilo basi sasa anza kuchukua tahadhari mapema. Ama usipande kabisa hilo basi au ukipanda huku ukikaa kwa tahadhari kubwa sana, maana utingo wa basi ndio mastermind. Kampuni ya mabasi ya Dolphin Express kwa sasa huenda ndio inaongoza kuwa na makondakta (utingo) wezi wa mali za...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wanakwaya, Makondakta na MC wameshusha hadhi ya kaunda suti

    Kaunda suti ilikuwa na hadhi waungwana, kaunda suti ukiivaa hata ukitembea kwa miguu unakuwa na thamani kubwa enzi hizo. Sasa hawa ma MC walioibuka kama uyoga kila mmoja ana kaunda suti zake. Yaani mtu akichapwa na maisha tu anajiita MC na cha kwanza ni kushona kaunda suti.
  11. Tman900

    JamiiForums Tanzania Mawakala wa Mabasi, Makondakta na Wamiliki Mabasi wana ujanja ujanja (Utapeli)

    Kwa mliowahi kutembea nje ya Africa naomba mnipe uzoefu wenu mliyoyaona Uko nje ya Afrika hususani kwenye Swala la usafiri wa mabasi yanayoenda safari ndefu kutoka Mji fulani kwenda mwingine maana kwa Tanzania kuna usanii mwingi kwenye usafiri wa mabasi. Kama Kuna changa Moto ulishawai kutana...
  12. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania SUMATRA muwe mnawapa madereva na makondakta elimu ya huduma kwa wateja

    Madareva na makondakta wengi hawana customer care kwa abiria yani si unapoingia kwenye gari wal inapoharibika wanakaa kimya tu wakati wanatakiwa kumwambia abiria samahani gari imeharibika lakini tunafanya jitihada za matengenezo ili tuendelee na safari. Wao wanakaa kimya tu abiria ndiyo...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kweli tuna Dereva asiyeaminika wa Gari yetu TZ 1961, ila kwa Makondakta hawa 'Walafi ' anaowaamini atatutumbukiza tu Gari Mtoni tukafe

    Bahati mbaya GENTAMIYCINE nayajua Majina ya Makondakta kwa Herufi zao za mwanzo za Majina yao ya mwisho ( ubini ) pekee. Ni Kondakta A, Kondakta K, Kondakta N, Kondakta K, Kondakta M, Kondakta N, Kondakta C, Kondakta S, Kondakta M na Kondakta A. Kwa Nguvu Kubwa ya Ushawishi na hata Ubabe (...
  14. Dumas the terrible

    JamiiForums Tanzania Makondakta wa Daladala wanawanyanyasa wanafunzi, Mamlaka chunguzeni mchukue hatua

    Salamu wakuu, Poleni na changamoto za January naamini zitapita tu Kama upepo wa kisulisuli Husika na kichwa cha habari hapo juu, Katika hali ya kushangaza na kustaajabisha kama sio kukera sana ni suala la makondakta wa Daladala kuwanyanyasa wanafunzi waendapo shuleni asubuhi na jioni wakati wa...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza Mabasi ya Shule yawe na 'Makondakta' wa kike

    SERIKALI imeagiza mabasi yote yanayobeba wanafunzi kuwa na kondakta wa kike na mabasi yote yafungwe Camera maalum. Waziri wa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maaalum, Dk. Dorothy Gwajima ametoa agizo hilo alipokuwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Godwin Gondwe katika...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Madereva na Makondakta wawe na kauli nzuri kwa abiria wao

    Nalia na madereva pamoja na makondakta wao kwa kauli zao zinazokera wanazozitumia kwa abiria wao. Imekuwa ni changamoto kubwa hususani kwa makondakta wa daladala zinazoelekea maeneo yenye watu wengi maarufu kama ''Uswahilini'' kama vile Manzese, Mbagala, na sehemu nyingine. ''Ungekuwa na haraka...
  17. Mawematatu

    JamiiForums Tanzania Basi la Tahiliso kunikataa na makondakta na dereva bila hata ya ubidamu kuniamuru

    Nimeniuma Sana.... Nikiwa katika pitapita jijin DSM nikawa bunju saa nne usiku nikawa katikakati ya vibaka bunju jjn DSM maeneo ya bunju B dereva pamoja na kondakta bas linaloonekana kuwa Tahiliso kuniamuru nishuke chini Nikiwa nahitaji kufika ubungo ama hata mbezi stend ya magufuli Hawa jamaa...
  18. goukun wadey

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya madereva na makondakta wa daladala ni wachafu?

    Tanzania na hasa Dar es Salaam, kuna uchafu wa kutisha ambao hautajiki kabisa sijajua kwa nini, ni mazoea au hauonekani, sio rahisi kusikia utajwe na watu serikalini, binafsi, mashirika, wala viongozi wa umma. Nakumbuka usafi wa Jumamosi ulivyozingatiwa lakini huu wa makondakta na daladala zao...
Back
Top Bottom