Fei Toto ameanza mwanzoni mwa msimu wa ligi Ila Allan okello ameanza katikati ya ligi but ana magoli 14 huku Toto akiwa na magoli 15 kwa mifano hai Nani bora kati ya hao
Nchi inaendeshwa na bajeti ya mikopo ,tutegemee siku moja mabeberu kuja kututawala tena .
Watanzania ni lini wataambiwa takwinmu za deni na watasikia deni likishuka chini na siyo kila takwimu inapotolewa ni kuongezeka kwa namba tu hivi wewe kama kiongozi huoni AIBU.
Zaidi ya Trilion 100........
Napinga kwa sababu moja kubwa uhalisia wa maisha ya Watanzania na anachokisema huyu kada wa CCM ambae amerithi uCCM toka kwa wazazi wake ambao walikuwa watumishi wa CCM ni uongo mtupu.
Fikiria tunaona kwa macho yetu familia nyingi za Watanzania ambao hawana hata uwezo wa kupata milo miwili...
Wataalamu wa mahusiano na saikolojia wamekuwa wakieleza kwamba mwanamke hupata mafanikio ya mapema kuliko mwanaume, na kwamba dunia huwa rahisi zaidi kwa wanawake kuliko wanaume. Je, uhalisia wa hoja hizi ukoje ikiwa kati ya watu 10 maskini, 7 ni wanawake?
Kwa kuzingatia masharti ya Kifungu cha 37 cha Sheria ya Takwimu, kinachokataza utoaji na upotoshaji wa takwimu rasmi kwa nia ya kuwahadaa wananchi, Serikali inapaswa kuimarisha usimamizi kwa wanasiasa na viongozi wa kijamii wanaotoa takwimu bila weledi. Nukuu ifuatayo inapaswa kuwa muongozo...
Akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 27 wakati Asasi 14 za kiraia zikitoa msimamo wao kuhusu ripoti ya Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Uvunjifu wa Amani Oktoba 29, Wakili Jebra Kambole kutoka Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), amesema takwimu za tume (vifo 518) hazitoi sura...
Deodatus Balile, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) akizungumza na waandishi wa habari Aprili 23, 2026 baada ya Tume ya Kuchunguza Matukio yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Oktoba 2025, kukabithi ripoti kwa Rais Samia
Soma pia PostGE2025 - Jaji Chande: Waliofariki kutokana na...
Iko hivi….
Kwa kawaida serikali nyingi duniani, hususan hizi za kwetu huku kwenye hizi jamhuri za ndizi, huwa hazitoi takwimu sahihi za wahanga wa majanga asili au majanga yasababishwayo na watu.
Sasa jana huyo Chande kasema tume yake imehesabu watu 518 ndo waliouliwa.
Naamini huo ni uongo...
My Take
Kwa wale tulioko kwenye sekta ya Kilimo ,hizi takwimu zinakatisha tamaa na zinalazimisha kurudi kwenye drawing board.
https://www.threads.com/@thestarkenya/post/DXZ5Ey4jQ-b?xmt=AQF0I7ra76rglfFzjxe5u6sxGi2YPqdh3zZJ9wuksUZgTpM7mQGwAQJMz-9oOcbbZfeauGA5&slof=1
Katika Mkutano wako uliwahi kuhoji kwanini takwimu zinasema utoshelevu wa dawa ni 95% kwenye vituo huku asilimia 90 ya wananchi wanalalamika hakuna dawa.
Mkutano aliofanya Mchengerwa ulikuwa ni mkutano wa kujisafisha na yeye ndio waziri mwenye dhamana, as we speak, hapaswi kuendelea kuwa...
~ Yameipa heshima Tanzania Kimataifa kama kinara wa mageuzi ya Afya Afrika
Katika kipindi cha miaka michache iliyopita, sekta ya afya nchini Tanzania imepitia mageuzi makubwa ya kihistoria. Chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Serikali imewekeza...
Yaani kuna takwimu watu wa kanda ya ziwa lazima wawepo tu yaani watu wa kanda wao choo ni kama paka na panya sijui kwanini wanapenda kujisaidia porini hawa watu sijui kiufupi usitaarabu kanda ya ziwa ni No
Guys, Waziri Mkuu Dkt. Nchemba akizungumza na waandishi wa habari, wakati akitoa tathmini ya uharibifu uliotokea wakati wa Maandamano Desemba 29 na siku zilizofuata alisema kuwa vituo vya mafuta (Shell) zilizoathirika ni 672.
Guys ikumbukwe kabla ya mkutano huo, Novemba 7, umoja wa Wamiliki wa...
Akiongea na waandishi wa Habari, Msemaji wa Serikali amesema idadi ya waliofariki na kujeruhiwa inatakiwa kutolewa na vyanzo rasmi vyenye mamlaka ambavyo vimefanya tathmini, kwa sasa wanaotoa takwimu hizo ni uchochezi.
Kuna report moja ilichapishwa na watu wa wizara ya afya kama 2 years ago. Wali report “health status” ya watu na katika sectors tofauti. Polepole aliirejea wakati anatoa takwimu zake za mambo ya afya wiki tatu zilizopita.
Ukiisoma vizuri hile kitu unagundua kuwa polisi wengi wana ishu za...
Takwimu zipo katika kiini cha maendeleo, zikichochea maamuzi na uwekezaji unaosaidia kupunguza umasikini na kujenga mustakabali endelevu. Hata hivyo, mifumo mingi ya kitaifa ya takwimu katika nchi za kipato cha chini na kipato cha kati haina rasilimali za kutosha na haijajiandaa kutoa takwimu...
Je, wahusika wa usalama barabarani wamejiwekea malengo gani kwenye kupunguza ajali za barabarani? Kwasababu, wanachi hatupewi takwimu zinazonesha kupungua kwa ajali za barabarani, hatua zinazochukuliwa dhidi ya wahusika wanaosababisha ajali ambazo zimekuwa zikitokea au mpango mkakati wa kupungua...
Anonymous
Thread
ajali
ajali za barabarani
barabarani
dhidi
hatua
takwimu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.