Mwanasiasa wa chama tawala nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Marie-Celestin Karondwa, amepigwa hadi kufariki dunia baada ya kushiriki kipindi cha redio kilicholenga kutoa elimu kuhusu Ebola. Tukio hilo lilitokea Jumapili, Septemba 27, 2026, Mjini Butembo, Mkoa wa Kivu Kaskazini...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la Pongezi kwa Waziri wa Elimu, Prof. Adolph Mkenda, ni multi talented, Sio tuu ni profesa wa sayansi, mhadhiri wa chuo kikuu, mbunge, waziri na mwanasiasa, Prof. Mkenda pia ana kipaji cha utangazaji, nimemtazama na kumsikiliza leo, katika kipindi chake cha kwanza...
Ninashangaa juu ya hizi habari kuwa Nchimbi wa CCM yupo kifungo cha nyumbani kama ilivyokuwa kwa Abdul Jumbe.
Hii adhabu hutolewa na nani? Na kwa nini wananchi hawana taatifa kam
Anasema haka kajamaa kanajitutumua sana. Lakini ni kama kamedharaulika tu watu hawakaoni. Kila siku kanatoa matamko na takwimu za kipuuzi za kichawa mpaka mwenyewe anasema haka katoto kanafanya propaganda za kituko.
Huyu mwongeaji ni MwanCCM kada mwandamizi ambage ana na amekuwa na nafasi...
Mwanasiasa Machachari Godbless Lema namuona atafika mbali kisiasa kwa haiba na akili yangi makada wa vyama vya upinzani wana la Kujifunza kwa huyu jamaa hakika ni Mfano wa Kuigwa.
Wakati akiwa kiongozi wa chama chake alionekana ni muungwana,mtu mwenye misimamo na mpenda haki. Wanachama,wananchi na washabiki wa chama chake walimpenda,walimheshimu na walimuamini kupitiliza hadi kila akifanya jambo hawakugundua tabia yake.
Baadhi ya wanachama na washabiki walivuja damu na...
Yaani unakuta kiongozi ni msomi kabisa, tena anaongoza chama cha siasa au taasisi halafu eti ni mropokaji na fisadi wa mali za chama chake. Hii imekaaje my friends, ladies and gentlemen?
Je,
mtu wa aina hii anakua bado hajajikimboa kifikra au elimu aliyonayo ni ya kukiuka sharia, kuomba...
Hakuna mwingine ambae alishaandika historia kama ya Tundu Lissu.
Kusingiziwa kesi isiyo na mashiko wala mbele.
Kama watamtia hatiani atakuwa Mwanasiasa wa kwanza kumwaga damu yake kwa ajili ya demokrasia ya taifa lake.
Leo Ndani Ya Kipindi Cha JANAnaLEO Tupo Na Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi CCM Tanzania Bara Ally Salum Hapi ameetoa mtazamo wake kumuhusu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kwa kusema ni mwanasiasa mwenye hasira na muongo
Soma Pia: Ally Hapi: Heche hajui wajibu wa mbunge, CHADEMA ni...
Na Emily Mwakilembe
Katikati ya hofu, kuvunjika moyo na giza la kisiasa, wakati mwingine hutokea mtu anayethubutu kuisema kweli chungu sana, ile ambayo wengi huogopa kuisema.
Mwaka 2018, Profesa Mark James Mwandosya alipomtembelea nyumbani kwake Joseph Mbilinyi (Sugu), baada ya kutoka...
Nimeziona picha zilizotumwa mtandaoni zikiwaonyesha viongozi wa vyama vya siasa waliokua wakimsikiliza Samia, ama kwa hakika ni aibu na hawatii matumaini kwa Tanzania ijayo. Yani ule ukumbi ulipwaya, ni kama ombaomba walikua ukumbini wanamsikiliza Samia. Mwingine sijui kapigwa stroke kapona...
Kuna kitu huwa kinanichanganya na kunifikirisha
Mtu akiamua kugombea udiwani, ubunge au hata urais, je, huwa anatafuta kazi kama zilivyo kazi nyingine ili apate kipato cha kujihudumia yeye na familia yake?
Au huo ni uzalendo usiohusisha maslahi yoyote binafsi?
Nauliza hivi kwa sababu mara...
Kila Jambo lina Mipaka yake Ndg Wanajamvi.
Siku Za Karibu Kumekua na Mwanasiasa alisahau kipimo cha Uhuru na kila Kauli hakikisha uhujumu msalahi ya Nchi.
Kama kweli unawapigania Watanzania usifanye mambo ukidhani unamkomoa Rais, Waziri kumbe unaangamiza Utalii, Biashara za watanzania wenzako...
Wana JamiiForums,
Kuna wimbi la nyuzi za kijinga na za kipuuzi zinazoanzishwa wakati huu nchini, zikiongozwa na hofu kubwa ya maandamano na mabadiliko ya kisiasa. Katika nyuzi hizo, wapo wanaoibua hoja nyepesi kujaribu kumchafua Tundu Lissu kwa kumwita "kibaraka" wa nchi za Magharibi. Wanasema...
Ndugu zangu Watanzania,
Hili jambo ni lazima liangaliwe kwa Umakini Mkubwa sana na kuchukua hatua za Makusudi za haraka sana kuwadhibiti kikamilifu na kisawasawa wanasiasa ambao wamekuwa wakijipa uhuru na kazi ya kuzunguka Nchi nzima kueneza chuki ,uchochezi na uchonganishi dhidi ya serikali...
https://www.youtube.com/watch?si=RXfE1UWd28J43tmx&v=p9DSYMQUl8Q&feature=youtu.be
NA MATUKIO DAIMA MEDIA, IRINGA
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Baraka Kimata ametoa maoni yake kuhusu mwenendo wa siasa nchini, akisisitiza umuhimu wa uwajibikaji wa viongozi, uchambuzi wa kina wa misimamo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.