kitaifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini msiba wa Jane Urassa umekuwa wa kitaifa?

    Huu msiba wa Jane Urassa aliyeuwawa na mume wake Kuweka unatangazwa na vyombo vyote vya habari kila hatua nchi nzima ? Kwa nini huu msiba umekuwa mkubwa sana msiba wa kitaifa tofauti na Wanawake wengine wanaouwawa huko Njombe mfano Tumaini Luvanda (35) aliyechinjwa na mume wake na sehemu...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Na nyinyi wana JF mpige kura, hili ni suala la Kitaifa. Tanzania Kwanza

  3. J

    JamiiForums Tanzania Kukaribia 2029 na ongezeko la Mafarakano(vita) kimataifa na Uvunjifu wa Sheria (lawlessness) Kitaifa

    Needless to say anymore, 2029 hiyo hapo! Mwenye utambuzi atatafuta muda wake kuchunguza. Vita ya Ukraine haikutegemewa kufika hadi leo. Vita ya Gaza vile vile; matokeo yake ikaamsha vuguvugu la waislamu la kujimilikisha nchi za Magharibi na vile vile ikazaa Vita nyingine (Israel vs Hezibollah...
  4. Think2

    JamiiForums Tanzania Msemo wa Dudubaya sasa wafika shuleni hii ni hatua nzuri sana kitaifa

    You Bella wochi u a baki
  5. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yaunga mkono kujumlishwa kwa matokeo ya Urais Kitaifa. Hii ina maana gani kwa mpiga kura?

    Mahakama Kuu imeamuru kuwa kujumlisha na kuthibitisha matokeo ya uchaguzi wa urais katika ngazi ya kitaifa(National tallying Centre) ni halali, na hivyo basi imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa na Seneta wa Busia, Okiya Omtatah, iliyopinga mchakato huo. Mahakama imeeleza kuwa masharti ya...
  6. Five55

    JamiiForums Tanzania Kahama: Huenda hii ikawa ni miongoni mwashule nzuri zaidi Tanzania ya binafsi yenye ada nafuu lakini haikosi top 10 za Kitaifa || Tunaupongeza uongozi

    Kwa zaidi ya miaka 20 mfululizo, shule za Kwema Modern Secondary School na Kwema English Medium Primary School zimeendelea kung’ara katika 10 bora za kitaifa, zikijipambanua kama taasisi za kipekee zinazojenga msingi thabiti wa nidhamu, maarifa na mafanikio ya kudumu. 11 Septemba 2026 — Shule...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari Hali ya Kisiasa Nchini, leo Septemba 7, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=f3NbH_2EkqQ Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) chenye wanachama wanaojumuisha CCM, CHAUMA, ACT Wazalendo, pamoja na NCCRA Mageuzi, leo Septemba 7, 2026 wanakutana kuzungumza kuhusu hali ya demokrasia Tanzania. na matukio ya wakati wa uchaguzi na baada ya...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini -TEC,BAKWATA,CCT chini ya mwamvuli wa Interfaith Committee wana nafasi kubwa ya kuchangia kupatikana Maridhiano na Mufaka wa Kitaifa

    Viongozi wa Dini Baraza la Maaskofu Katoliki,Baraza Kuu la Waislamu Tanzania,Jumuiya ya Wakristo Tanzania ,wanayo nafasi kubwa sana kuchangia upatikanaji wa Mazungumzo,Maridhiano na Muafaka wa Kitaifa na hatimaye Taifa kuanza safari ya kupata Katiba mpya. Tukumbuke kwamba kwenye mapendekezo ya...
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Afungua Kongamano la 5 la Kitaifa Dodoma

    https://www.youtube.com/live/XCDPRo8_24s?si=IW7oNMtLDpnRMsbH LIVE: Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Leo September 03,2026 ni Mgeni Rasmi ufunguzi wa Kongamano la Tano la Kitaifa Ushiriki wa Watanzania. Hafla hiyo inafanyika katika ukumbi wa mikutano wa PSSSF, Makole jijini Dodoma
  10. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu aongoza harambee ya maombi ya kitaifa, achangisha milioni 700

    DKT. MWIGULU AONGOZA HARAMBEE YA MAOMBI YA KITAIFA, ACHANGISHA MILIONI 700. ▪️Asisitiza maadili na uwajibikaji kama mhimili wa Dira 2050. WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa wito kwa Watanzania, taasisi za umma, sekta binafsi, na viongozi wa dini kuwekeza katika malezi, uadilifu, na...
  11. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Kama tunataka kupona kitaifa tutibu kwanza majeraha

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakilj Boniface Mwabukusi, amesema Tanzania inahitaji umakini, kusikilizana na kukubali makosa ili kujenga maridhiano na kuanza mchakato wa uponyaji wa taifa. Mwabukusi amesema hayo Agosti 28, 2026, katika Jukwaa la Demokrasia, akisisitiza kuwa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania DR Congo: Rais Tshisekedi aita Mazungumzo ya Kitaifa kutuliza mivutano ya kisiasa, M23 wawekwa kando

    Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi, ametangaza mpango wa kuanzisha mazungumzo ya kitaifa yenye lengo la kupunguza mvutano wa kisiasa nchini humo, ambao umeongezeka kutokana na muswada ambao wakosoaji wanadai unaweza kumuwezesha kutafuta muhula wa tatu wa urais...
  13. O

    JamiiForums Tanzania Wanaotaka maridhiano ya kitaifa tukutane hapa

    Kwa muda sasa kumekuwa na maoni mbalimbali kuhusukufanyika kwa maridhiano ya kitaifa kufutia matukio ya baada. ya uchaguzi mkuu wa mwaka Jana.Kuna wanaotaka maridiano ili kuliponya taifa kufuatia maumivu yaliyolikumba taifa kabla na baada ya uchaguzi,na engine wakiona maridhiano hayo ni kupiteza...
  14. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ushindi wa 60% wa Hichilema Ulizua Mgogoro wa Kitaifa?

    Rais Hakainde Hichilema alitangazwa mshindi kwa asilimia sitini, lakini ushindi huo ulizua mara moja mgogoro mkubwa wa kikatiba nchini Zambia. Tume ya uchaguzi ilisitisha ujumlishaji wa kura kwa saa sita huku kukiwa na ripoti za mashambulizi pamoja na fomu zisizohakikiwa. Kiongozi mkuu wa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maridhiano ya Kitaifa: Ni baina ya nani na nani?

    Nataka kuelewa kuhusu haya maridhiano ya Kitaifa yanayozungumzwa sana. Maaridhiano haya ni baina ya nani na nani? Kama ni ya Kitaifa swali langu "Kwani kuna mgogoro au kutoelewana baina ya nani na nani?" Serikali haielewani na Wananchi?, ni baina ya Dola na Wananchi? ni Vyama vya siasa? Au...
  16. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania WATAFITI 15 WA UDOM WANG'ARA TUZO ZA KITAIFA, WATAMBULIWA KWA UCHAPICHAJI WA TAFITI KIMATAIFA

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeendelea kuimarisha nafasi yake katika utafiti wa kitaaluma baada ya watafiti wake 15 kutambuliwa katika Tuzo za Utafiti za Kitaifa kwa kuchapisha matokeo ya tafiti zao katika majarida yenye hadhi ya juu kimataifa. Watafiti hao wa UDOM ni miongoni mwa washiriki...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Tuanze kufikiri namna ya kuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) kwenye Katiba ijayo ili kutengeneza umoja na mshikamano wa kitaifa

    Watanzania ,ninaleta kwenu wazo la kuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwenye Katiba mpya.Ninapendekeza kwamba chama cha siasa au mgombea binafsi atakayepata kura kuanzia Asilimia Kumi (10%) kiwe ndani ya Serikali. Hii itasaidia kuondoa mtindo tulio nao sasa wa mshindi kuchukua vyote hata kama...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Nashauri vyama vya siasa visivyo na sifa za kisheria kushiriki uchaguzi visipewe kipaumbele kwenye maridhiano ya hiyari ya kitaifa

    Ni muhimu zaidi vyama vya siasa vyenye sifa za kikatiba za kushiriki chaguzi ndio haswa viketi chini pamoja na kushauriana namna ya kuliunganisha taifa kwa hiyari katika maridhiano hayo miongoni mwa waTanzania. Hakuna haja, wala sababu hata moja ya kubabaika na porojo au masharti useless ya...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Karibu Tanzania Mhe. Abdel Fattah El - Sisi, Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri

    Karibu Tanzania Mhe. Abdel Fattah El - Sisi, Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Ziara ya Kitaifa 18 Julai, 2026.
  20. H

    JamiiForums Tanzania Agnes Marwa atoa projector, awataka wanafunzi wa Mwembeni kung'ara kitaifa

    AGNES MARWA ATOA PROJECTOR, AWATAKA WANAFUNZI WA MWEMBENI KUNG'ARA KITAIFA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Agnes Marwa, amekabidhi projector ya kufundishia pamoja na taulo za kike kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mwembeni, akisema lengo lake ni kuunga mkono juhudi za kuboresha...
Back
Top Bottom