airtel

Bharti Airtel Limited, also known as Airtel, is an Indian multinational telecommunications services company based in New Delhi, Delhi NCT. It operates in 18 countries across South Asia and Africa, and also in the Channel Islands. Airtel provides 2G, 4G LTE, 4G+ mobile services, fixed line broadband and voice services depending upon the country of operation. Airtel had also rolled out its VoLTE technology across all Indian telecom circles. It is the second largest mobile network operator in India and the Second largest mobile network operator in the world with over 457.96 million (45.796 crore) subscribers. Airtel was named India's 2nd most valuable brand in the first ever Brandz ranking by Millward Brown and WPP plc.Airtel is credited with pioneering the business strategy of outsourcing all of its business operations except marketing, sales and finance and building the 'minutes factory' model of low cost and high volumes. The strategy has since been adopted by several operators. Airtel's equipment is provided and maintained by Ericsson, Huawei, and Nokia Networks whereas IT support is provided by Amdocs. The transmission towers are maintained by subsidiaries and joint venture companies of Bharti including Bharti Infratel and Indus Towers in India. Ericsson agreed for the first time to be paid by the minute for installation and maintenance of their equipment rather than being paid up front, which allowed Airtel to provide low call rates of ₹1 (1.4¢ US)/minute.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Natumia laini ya Airtel na nimeihakiki mara mbili ila bado napata ujumbe “namba yako imesajili namba za uhalifu”

    Habari, Mimi ni mteja wa mtandao wa Airtel. Takriban wiki moja iliyopita, nilianza kupokea ujumbe unaonitaarifu kuwa namba yangu itafungwa. Ninapompigia mtu simu, ujumbe unaonekana ukisema kuwa “namba yako imesajili namba za uhalifu.” Hata hivyo, hili si jambo jipya. Awali nilishawahi kwenda...
  2. Strong

    JamiiForums Tanzania Wateja wa data/router za AIRTEL TUNADHULUMIWA !!!

    Tumelipia vifurushi vya mwezi lakini kila siku wanakata mtandao na kutuomba radhi lakini hakuna fidia juu ya muda wetu unaopita bila huduma Kiukweli wateja wa Airtel tunaumizwa sana
  3. iNine9

    JamiiForums Tanzania SETTINGS MUHIMU SANA KWA WATUMIAJI WA ROUTERS ZA 5G-CPE au 4G ZA UNLIMITED HUSUSANI WATUMIAJI WA AIRTEL NA MITANDAO MINGINE PIA..

    Habari zenu wakuu, hope mko poa kabisa.. Leo imenibidi nifanye ku share jambo muhimu sana kwetu hasa mnaoteseka na hizi Routers za ISPs wetu hawa wa bongo kwa muda mrefu sana na mawakala wao wengi hawana uelewa mkubwa sana juu ya hili tatizo so inabidi mhusika ndo ufanye configurations mwenyewe...
  4. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la kutopata internet ruta ya airtel. Ili ni tatizo la wote au mimi peke yangu?

    Nina wiki sasa siwezi access internet kutumia ruta ya airtel. Nililipia unlimited bundle 70k lakini nimetumia siku moja tu ndio nilibahatika kupata internet.niliongea nao kwa simu sikupewa majibu ya kueleweka naona uko wanaajiri watu wajinga wajinga wa kuokota wa bei chee maana ilibidi nikate...
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Airtel Yafunga Fibre Unit Kenya Miaka Miwili Baada ya Launch

    Airtel Africa inafunga Airtel Kenya Telesonic, kampuni yake ya wholesale fibre na internet nchini Kenya, baada ya biashara hiyo kushindwa kupata revenue na kuendelea kurekodi hasara. Financial records zinaonyesha Telesonic ilirekodi hasara ya Sh16.1 milioni mwaka 2025, kutoka Sh2.9 milioni...
  6. AI tata

    JamiiForums Tanzania Airtel Tanzania ninakusanya ushahidi, nimpate Mwanasheria mwenye uwezo nitawashtaki

    Ni kipindi cha wiki kadhaa nikitumia huduma ya internet ya kampuni hii ya simu. Muda mwingi umepotea nikisubiri huduma, mtandao unazunguka tu. Nimepata harass ya muda, Mali na saikolojia imetetema kisa kutokamilika kazi zangu kwa muda unaotakiwa. Nimekusanya sms zote mlizonitumia, mkiniomba...
  7. Kikubwa Pumzi

    JamiiForums Tanzania KERO Nimelipia Airtel 5G, Lakini Internet Haipo — Nani Atanilipa Hasara?

    Jamani, nimelipia router ya Airtel 5G, lakini mpaka sasa sipati internet kabisa. Nimewasiliana na 100, nikaambiwa kuna tatizo la mtandao lililowakumba watumiaji wote na kwamba internet itarudi, na kwamba siyo tatizo la kifaa wala ufundi. Sawa, nikasema ngoja nisubiri. Lakini cha ajabu, mpaka...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya ku unlock Airtel Mifi iweze kukubali line zingine

    Habari za Jumapili wakuu, naomba msaada namna ya ku unlock Mifi yangu ya Airtel, nimehamia eneo ambalo mtandao wa Airtel ni kipengele
  9. Champion number one

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya internet kwenye rooter za Airtel

    Wakuu kwema, Leo Airtel wamezima mtandaoni wa Internet kwa watu wote wanaotumia rooter zao nauliza mtu ameweka bando unlimited wewe unamzimia bila maelezo yoyote na je Kuna compensation yeyote baada ya kuzima internet Tuanzie wapi kuwashtaki.. Soma pia Airtel 5g: Ni kasi ya mtandao au ni...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi Miamala ya Airtel Money inavyowapa Wateja fursa za zawadi

    Wateja wa Airtel Tanzania wanaendelea kupata fursa za kushinda zawadi mbalimbali kupitia miamala yao ya kawaida ya Airtel Money, chini ya kampeni ya Minyoosho Inaendelea ambayo inawahamasisha wateja kutumia Airtel Money katika shughuli zao za kila siku, huku miamala inayokidhi vigezo ikiwapa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania WI-FI ya Airtel ni matatizo matupu. Ni wizi wa fedha za watu maana mtandao unapatikana kwa shida kubwa! Very very very slow!

    Hiyo ndiyo hali halisi. Tafadhali rekebisha kasoro hiyo! i very recent tatizo hilo limeanza. Ni mtandao gani mtu anaweza kuhamia?
  12. M

    JamiiForums Tanzania DSA wa routers za Airtel, Tigo, hotspot na billing system mpo wapi?

    Hello wadau natamani nipige kazi ya internet maeneo ya Tabata Segerea kuhusiana na internet services so yeyote anamfahamu DSA aniconnect naye nipige uwinga!
  13. Vien

    JamiiForums Tanzania Ifike mahali Vodacom na Airtel waige mfumo wa Yas kwenye Merchant Account

    Kuna wakati ushindani unatakiwa ukubali ukweli. Sio kila kitu unachotengeneza lazima kiwe tofauti. Kuna muda unatakiwa ujifunze kutoka kwa aliyefanya vizuri zaidi. Nimekuwa nikitumia Merchant Account za Yas, Vodacom na Airtel kwa biashara zangu, na kwa uzoefu wangu, upande wa Merchant Account...
  14. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Leo Airtel wana matatizo gani mboni mtandao mwendo wa KOBE?

    Mtandao wa Airtel umekuwa wa shida sana leo yupo mwendo wa kobe yani upo chini sana Shida ni nini ? Na kuna mtu naye anapata changamoto hii?
  15. danhoport

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Vodacom na Airtel kuuza namba zetu za zamani ni hatari kwa usalama wetu wa kifedha na kijamii

    Kuna jambo limekuwa likinikera sana, na nimeona leo niweke hapa jamvini ili tujadiliane, na ikiwezekana mamlaka husika (TCRA) na watoa huduma waangalie upya kanuni hizi. Inatokea umepata dharura au umeweka laini yako pembeni kwa miezi 6 hadi mwaka mmoja bila kuitumia. Unakuja kushtuka baadaye...
  16. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Router za Airtel Unlimited Internet ina kikomo. 500GB baada ya hapo wanalimit speed vibaya sana!

    Mara ya kwanza nilidhania router yangu mbovu. Mara ya pili nikajua mawingu na mvua iyo week. Ila sasa nimeconfirm. Kama ni mtumiaji wa router za Airtel, ikivuka 500GB wana limit speed. Mfano, mimi ni mtumiaji wa kifurushi cha 70k kwa mwezi ambayo niliahidiwa kupata 25Mbps ila Average uwa...
  17. Arnold_webster

    JamiiForums Tanzania KERO Airtel Router ni mradi wa kuwaibia wananchi? Kifurushi cha 70k 'Unlimited' kinaisha siku 11, Booster ya 30k inafutwa kinyemela!

    Wakuu salamu, Naandika hii mada nikiwa na hasira sana na huu uhuni unaofanywa na Airtel kwenye hizi router zao. Yaani huku ni kuibiana mchana kweupe na ukiwahoji hawana majibu ya kueleweka kabisa. Mimi ni mhanga na mchezo wao mchafu uko hivi: 1. Uongo wa bando za 'Unlimited' Tarehe 22/05...
  18. baharia 1

    JamiiForums Tanzania Airtel 5g: Ni kasi ya mtandao au ni kasi ya kuiba pesa za wateja?

    Malalamiko kwa Airtel Tanzania: Huduma ya 5G au Tapeli. KWA WATEJA WA AIRTEL 5G ROUTER – ACHENI KUPOTEZA PESA ZENU! Nimekuwa nikitumia huduma ya Airtel 5G Router kwa miezi kadhaa sasa, nikilipia Tsh 70,000 kila mwezi. Miezi ya mwanzo huduma ilikuwa inaridhisha, lakini sasa imekuwa ni kero na...
  19. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Je router gani inafaa kwa Matumizi ya Ofisini na Nyumbani !!!

    Watu wengi wanakimbilia kununua router za Airtel, Vodacom, Tigo au Ttcl kwa Matumizi mbalimbali bila kujua utofauti wao uliopo kuhusu hizo router. Sasa Leo nakupa maujanja kutokana na ripoti mbalimbali za mitandaoni nakuambia router gani nzuri kwa Matumizi ya Ofisini na Nyumbani ili kuwa salama...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali imekisahau Kijiji cha Olchoronyori - Wilaya Simanjiro, huku hakuna Vodacom, Yas wala Airtel

    Mimi ni mdau kutoka Kijiji cha Olchoronyori Wilaya Simanjiro, Serikali imepasahau tunaomba itembelee huku ione changamoto zilizopo. 1. Tunaomba kujengewa mnara wa Mtandao wa Vodacom, TIGO au Airtel maana huku tunatumia TTCL unaotegemea jua tu na kukatika mara kwa mara na kusababisha ukosefu wa...
Back
Top Bottom