Hali ilivyo Mbezi, Dar Es Salaam kwenye Stendi Kuu ya Mabus ambapo inaripotiwa kwa taarifa za awali kuwa kuna mgomo wa Madereva wa Mabus wakigomea kukatwa alama kwenye Leseni zao hivyo wamegoma kuanza safari hii leo.
Hali ya mgomo wa madereva na wafanyakazi wa mabasi imeendelea kushuhudiwa...
Mji wa Mikumi uko njiapanda ya maeneo mengi ya mkoa wa Morogoro pia uko katikati ya huo mkoa.
Mji wa Mikumi umezungukwa na maeneo mengi ambayo ni vivutio vya utalii kama mbuga ya Mwalimu Nyerere, Mikumi, Ruaha na milima maarufu kwa mimea na viumbe pori kama ilivyo Arusha, pia ni mji uliofikiwa...
Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Michael Mwendapole (22), maarufu kwa jina la Juja wa Ubalozini amefariki dunia baada ya kudaiwa kuchomwa kisu katika tukio lililotokea kwenye nyumba moja ya starehe (bar) Manispaa ya Morogoro.
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Manyuki, Rashid Ally amesema...
Ni nadra sana kukuta ndege isiyo ya kijeshi kuruka eneo hili kutokana na ukweli kwamba ni eneo la jeshi hivyo kuruka hapa kwenye hii boundary zone pasipo ruhusa jwtz komandi ya Anga hawana budi kuwatungua🫵🫵😎.
Picha hii hapa inajieleza.
Hapa ni Morogoro mto Lukosi Miaka yote wananchi wanatumia hicho kichuma kuvuka huo mto wanasema kuna mamba wa kutosha.
Alafu kila mwaka ukisoma Ripoti ya CAG vibaka wanakula Pesa za kutosha.
MY TAKE
Mshauri Mwenyekiti wa Kijiji asilalaimike popote kwani atatekwa. Abdul mla watu hataki wananchi...
Kituo cha Gesi Asilia Iliyoshindiliwa (CNG) kinachopangwa Morogoro kinafungua fursa mpya katika sekta ya usafirishaji, kwa kuwezesha magari na vyombo vingine kutumia nishati mbadala yenye gharama nafuu na rafiki kwa mazingira. Serikali kupitia TPDC imepanga kuweka kituo cha CNG katika eneo la...
Taarifa inasema, marehemu alikuwa anatoka Dar kwenda Mwanza kwa gari lake binafsi. Alipofika Morogoro tayari ulikuwa umefika muda wa swala, so akapaki gari karibu na petrol station akaenda msikitini kuswali. Aliporejea akiwa ndani ya gari lake mlinzi akamfuata na kumtaka alipe sh elfu 15 kama...
Leo asubuhi, dereva wa Lori alipaki Lori eneo hilo, na kwenda kusali msikiti uliopo katika kituo hiko, aliporudi mlinzi alimfata na kumwambia ampe 15000 kama gharam ya parking, wakabishana kwa muda, kutokana na gari zingine kua azikueza kupaki vizur anamwambia ngoja nipaki vizuri, alipo panda...
Mlinzi wa kituo cha mafuta cha Puma kilichopo Kata ya Kihonda Magorofani, Manispaa ya Morogoro, anadaiwa kumpiga risasi mwananchi aliyekuwa ameegesha gari katika eneo la kituo hicho.
Kwa mujibu wa mashuhuda akiwemo mwandishi wa TBC, mwananchi huyo alikuwa ameegesha gari katika eneo hilo kwa...
Ningependa kufikisha malalamiko kuhusu changamoto kubwa wanayokutana nayo watumiaji wa vituo vya mabasi ya mwendokasi katika njia ya Kimara, hususan wanapovuka Barabara ya Morogoro kwenda au kutoka vituoni.
Baada ya upanuzi wa barabara, umbali wa kuvuka umeongezeka, lakini katika baadhi ya...
Anonymous
Thread
barabara
hatarini
morogoro
mwendokasi
vituo
vituo vya mwendokasi
wapo
watumiaji
Zaidi ya Wanachama 113 wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Mkoa wa Morogoro wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Wananchi (CUF), wakieleza kutoridhishwa na namna viongozi wa chama hicho ngazi ya Taifa wanavyoendesha shughuli zake.
Wanachama hao, ambao wameongozwa na aliyekuwa...
Leo Trh 6 SEPT 26
TANESCO WAMEENDELEA KUKATA UMEME NGERENGERE BILA TAARIFA YOYOTE.LICHA TA KKUFUNGULIWA BWAWA LA UMEME LA JULIUS NYERERE NGERENGERE IMEENDELEA KUSOTA NA UMEME KIDOG KWA SIKU.
MBAYA ZAIDI HAKUNA TAARIFA YOYOTE.
WENGI WANADHANI NIKUTOKANA MA KIJIJI HIKI WANANCHI HAWANA ELIMU
Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu, nahitaji hiyo kitu maana nategemea kusafiri ndani ya wiki tatu zijazo. Nipo hapa Morogoro. Nawezaje kuipata hiyo card, nimeambiwa ni lazima niwe nayo hiyo.
Asanteni
Hapa kijijini kuna mfugaji yupo juu ya sheria na kijiji kinaonekana kimeshindwa kumdhibiti, sheria ya kijiji cha bonye inamtaka kila mmiliki wa ng’ombe asizidishe ng’ombe zaidi ya 10 , jambo la kushangaza huyu Lembile anaweka hadi ngombe zaidi ya 200 kwa msukuma mmoja.
Na kijiji hakimchukulii...
Anonymous
Thread
katika
kijiji
mfugaji
morogoro
sana
sangara
vijijini
wakulima
Askari sita wa Jeshi la Polisi mkoani Morogoro wanashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya kijana wa miaka miaka 23, mkazi wa kijiji cha Bwakila Chini wilaya ya Morogoro.
Soma Pia: Jeshi la Polisi: Watu 130 wakamatwa kwa tuhuma za mipango ya kuchoma shule na kuua viongozi
Ajira ya Mwaka 2026 January katika Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro Walimu hatujalipwa pesa zetu za kujikimu na tukiuliza wahusika kama SLO anatufokea na hawatoi majibu mazuri.
Soma Pia: Halmashauri ya Wilaya ya Urambo Kada ya Afya hatujalipwa kujikimu
Sisi ni kitengo cha Statistics and...
HATI ZA KIMILA: MKOMBOZI WA WANANCHI WA MELELA NA MIKESE MKOANI MOROGORO
Wananchi wa Vijiji vya Melela na Mikese mkoani Morogoro wameeleza furaha yao baada ya kupata Hati za Kimila, hatua inayowawezesha kutambuliwa kisheria na kuimarisha usalama wa umiliki wa ardhi.
Akizungumza katika...
Kiwanja kinauzwa KIBAHA KWA MFIPA kwa dharura 6M,kina sq merter za mraba 500+
Hizi ni picha kiwanja kilipo, kuna huduma zote muhimu na tayari kuna makazi ya watu.
Kimepimwa tayari na hakina udalali, changu mwenyewe
Kutoka morogoro road hadi site ni km 5
Mawasiliano 0754088347
Huu msemo Sijawahi kuelewa. Arusha hawana bahari, Dodoma jangwa, Mwanza wana ziwa sio bahari lkn pia ni mji.
Kagera ni mji hamna bahari.
Kwani I Morogoro pekee. Kutoka Sweet Africa Msamvu wenu katika utumishi
Una taaluma ya kufundisha katika elimu ya juu? Kuna nafasi mpya za Lecturer na Assistant Lecturer zilizotangazwa Morogoro. Hii ni fursa nzuri kwa wataalamu wanaotaka kuendeleza taaluma yao katika ufundishaji, research, publications na consultancy.
👨🏫 LECTURER
Majukumu makuu ni pamoja na:
✅...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.