Mwigulu, Makamba, Mpina, Kigwangala, Zitto nani kinara 2023

Shakari

Senior Member
Jul 6, 2022
157
440
Kati ya Hawa ni yupi alivutia zaidi utendaji wake wa kazi kwa mwaka 2023.

Screenshot_20231119-090514-860x623.jpg

1. Mwigulu Nchemba


Mhe.png

2.Hussein Bashe


WAZIRI MAKAMBA.jpg

3. Januari Makamba

1a (2).JPG

4. Makame Mbarawa


kigwangalla-pic-data.jpg
5. Hamisi Kigwangala

maxresdefault.jpg

6.Luhaga Mpina

75bd3da05333b79c04a70f83dc6b9938.png

7.Tundu Lisu

zitto-001.jpg

8.Zitto Kabwe
Mbowe-Chadema.jpg

9.Freeman Mbowe


1.jpgAAAAAAA.jpg

10.Daniel Chongolo

Mchague unayemtaka na kueleza mwaka 2023 alikuvutia kwenye eneo gani kuhusu utendaji na uwajibikaji kwa jamii.
 
Hiyo list kuweka hao ccm nikukosea uwezo wako wa kufikiri. mtu kidogo anayetumia ubongo hapo kwenye nchi ya kijani ni Luhanga mpina.
 
Zitto kwa kuifufua TCD, Chadema walimtukana leo kikowapi, aliwaambia tuanze na tume ya uchaguzi wakamtukana leo kikowapi. Amewatangulia sana.
 
Kati ya Hawa ni yupi alivutia zaidi utendaji wake wa kazi kwa mwaka 2023.

View attachment 2864468
1. Mwigulu Nchemba


View attachment 2864469
2.Hussein Bashe


View attachment 2864470
3. Januari Makamba

View attachment 2864472
4. Makame Mbarawa


View attachment 2864473 5. Hamisi Kigwangala

View attachment 2864474
6.Luhaga Mpina

View attachment 2864475
7.Tundu Lisu

View attachment 2864477
8.Zitto Kabwe
View attachment 2864478
9.Freeman Mbowe


View attachment 2864479
10.Daniel Chongolo

Mchague unayemtaka na kueleza mwaka 2023 alikuvutia kwenye eneo gani kuhusu utendaji na uwajibikaji kwa jamii.
Kinara wa nini? Wote ni uozo mtupu
 
Km huna akili si bora uombe hata ya kuazima? Huyo jamaa wa Mwandoya mwambie arudi kanisani. Mwigulu namba moja takwimu ziko wazi, binafsi simfahamu ila ht ningekutana naye ni bwanamgd wangu. Makamba namba 2, nashindwa kuelewa unashindashindaje visivyolingana. Mzee JK una kesi ya kujibu kuhusu mpasuko wa nchi hii.
Umekurupuka. Hujaelewa chochote!!! Hiyo ni orodha tu na haipo for ranking
 
Back
Top Bottom