Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
Picha:Taswira ya Ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania: Je, mijadala na maamuzi yetu ya kitaifa baada ya uchaguzi yanaongozwa na maridhiano na hekima ya pamoja, au yanaathiriwa na kiburi cha kifikra cha wajuaji
Mwandishi mashuhuri wa michezo ya kuigiza wa Uingereza, William...
BWANA akamwambia Musa, Liko pigo moja bado, nitakaloleta juu ya Farao na juu ya Misri; baadaye atawapa ninyi ruhusa mtoke huku.
BWANA akasema, usiku wa manane nitapita katikati ya nchi ya Misri; na wazaliwa wa kwanza wote watakufa, tangu yule mzaliwa wa kwanza wa Farao aketiye katika kiti chake...
Na: Kijana Wa Ifoza
Ndugu wana-JamiiForums, salamu sana.
Kabla hatujaingia kwenye mjadala wetu wa leo, ni vyema tukarekebisha dira yetu ya kihistoria kwa kurejea andiko moja muhimu sana duniani. Mwaka 1963, Dkt. Martin Luther King Jr. alifungwa katika jela ya Birmingham huko Alabama, Marekani...
Maisha ni sias and vice versa. Je, kwa kijana aliyetoka chuo na kupata uridhi wa milioni 5 kwa wazazi wake, aingize kwenye kilimo au biashara?
ROBERT:
Amehitimu UDSM kitengo cha Sheria, akaingiza milioni 5 kwenye kununua mahindi Songwe ili asafirishe Malawi, kufika mpakani kakuta hakuna kibali...
Katika ulimwengu wa siasa, kumekuwa na tabia ya wepesi wa kupuuza mambo fulani kwa kuyaita "nadharia za njama" (conspiracy theories). Mimi binafsi si muumini wa nadharia hizi, na mara nyingi ninapendelea kutazama siasa kupitia ukweli thabiti na unaothibitika. Hata hivyo, mienendo na matukio ya...
"Sukuma Gang" ni jina au msemo wa kisiasa nchini Tanzania unaotumiwa kuelezea kundi la wanasiasa, viongozi, na wanaharakati wa mtandaoni walioaminika kuwa wafuasi wa karibu wa mtazamo, falsafa, na uongozi wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
Neno hili si kundi...
Natafakari hapa, Kwa hali ilivyo je wanasiasa kama vile Sugu au Lema wangeendelea kukomaaa kama aivyokomaa Heche Wegesa
Kuna mwanasiasa yeyote ndani ya CHADEMA anaweza kuwa na msimamo kama Heche na Lisu
copy paste fb
1
Julius Kambarage Nyerere(1964–1985)
• Hakuna mwanafamilia wa karibu aliyethibitishwa hadharani kushika nafasi kubwa ya kisiasa, Yupo Makongoro kapewa nafasi ya Uteuzi kuwa mkuu wa mkoa baada ya Nyerere Kufariki
2
Ali Hassan Mwinyi(1985–1995)
• Hussein Ali Mwinyi (mwana) — Rais...
Kwa mtazamo wangu, uongozi wa Rais Samia una pande mbili tofauti sana: upande wa uchumi/maendeleo kuna mambo ya kupongeza, lakini upande wa demokrasia na siasa hasa baada ya uchaguzi wa 2025 kuna mambo mazito sana ya kuhoji.
1. Kwenye uchumi na maendeleo — kuna mafanikio
Tanzania imeendelea...
Umofia ndugu zangu kutoka Bongo Land !
Binafsi ilifikia Time nikahisi Ubongo una- cease kwa ubishani ambao hauna faida kwa Mwananchi wa kawaida mfano, atasimama Waziri atasema hakuna kama Mama kaleta Maji na kajenga Shule nyingi Nchini. Swali baada ya kuleta maji watu wana uhakika na upatikanaji...
Ukubwa wa tukio hilo una sababu Kuu 3.
1. Cheo chake kilikuwa kikubwa sana
Huyu si mbunge wa kawaida, Alikuwa:
Katibu Mkuu wa CCM
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
Balozi
Kumfukuza mtu aliyekaa kwenye viti hivyo 3 vikuu kwa muda mfupi, haijawahi kutokea mara nyingi.
2. Muda wake ni...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma.
Katika taarifa yake kwa umma iliyotolewa leo, Dkt. Nchimbi amesema amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt...
Nianze kwa kumpongeza Mh Rais Samia kwa utekelezaji na ukamilifu wa ujenzi wa bwana la Umeme la Julius Nyerere,pia nauzingatia mchango wa Hayati Rais John Magufuli kama mwanzilishi wa utekelezaji wa ndoto za Hayati Baba wa Taifa,Julius Nyerere kuwa Stigglers Gorge Rufiji liwe bwawa la...
Mara kwa mara mitandao ya kijamii inapozuiwa ama Data za mifumo ya internet zinapokuwa chini ya kiwango, mara nyingi hutokea CCM inapojihami dhidi ya kizazi kipya.
Kuna ushahidi wa kutosha kuwa maendeleo ya teknolojia ya habari, yameifanya CCM kupoteana na kuanza kutumia mabavu ili iendelee...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia Anakubalika ,kupendwa,kuungwa Mkono na Kufuatiliwa kila hatua apigayo . Rais Samia ndiye Habari kuu na habari ndiye yeye .
Kuanzia vijiweni, mitaani, Magengeni na kila Sehemu yenye Mkusanyiko Wa watu habari Kuu ni Rais Samia tu na shughuli anazozifanya. Rais...
Ukiona moshi unafuka mahali jua moto upo chini. CCM inaamini imefanikiwa kuwazuia watanzania kufikiri nje ya wanavyotaka wao watanzania kufikiri, kumbe sivyo.
Hapo chini ni katuni ya msanii ambaye ameamua kutumia kipaji chake kuelezea hali halisi ya siasa za Tanzania
Cha kusikitisha watu...
Tumeona kwenye tamasha la bongo fleva Mlimani City jinsi ambavyo wahudhuriaji walivyokataa mambo wasiyoyataka. Tumeona naibu waziri wa utamaduni akizomewa kwa kutaka kuingiza siasa kwenye burudani. Pia tumeona hayo hayo yakimtokea Dully Sykes kwa kumtaja tu Makonda. Haya yanatufundisha nini...
Katibu Mkuu NLD na aliyekuwa Mgombea wa Urais kupitia chama hicho katika uchaguzi mkuu mwaka 2025, Doyo Hassan Doyo, akizungumza kwenye mahojiano na Wasafi Media leo Julai 2, 2026
"Ni kweli siasa ya nchi hii inahitaji fedha. Ukizungumzia mikutano ya hadhara, mkutano mmoja mdogo ambao unaweza...
Ni ombwe la uongozi na ukata wa pesa tu au kuna jingine?
Kwa mfano,
Uropokaji umekidumaza mno kisiasa chama hicho cha siasa nchini, Lakini pia kufanya siasa za kutegemea zaidi artificial imotional scripts za drama ili kugain public sympathy zimeifubaza sana chadema, na kuifanya ikose mvuto...
Siku wakizeeka hawa wanaofanya siasa sahz ndipo Tanzania tutakuja kuwa na kizazi chenye siasa za malengo na kizalendo (functional politics)
Kitakuja kizazi ambacho hakitataka kijue hata historia ya Tanzania kitaanzisha siasa za kisasa ambazo zitajikita zaidi kwenye kulinda heshima ya nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.