madawa ya kulevya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stability

    JamiiForums Tanzania Nakumbuka millenials kaburi yetu ilikuwa madawa ya kulevya ila hawa gen-z kaburi yao ni anal sex peku peku

    Sio wasichana , sio wavulana, makebo yao sasa ni dili. Vitoto vinazibuliwa mitaro sio mchezo kulaleeeeki. Fasheni imegeukia makalioni kwa mabint, show off mitandaoni lazima ajibinue, mtaani lazima ayabane na kanga, zamani walikuwa wanaliazimishwa ila siku hizi anakuambia mwenyewe na...
  2. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Basi la Abood lakamatwa na kilo 101.2 za mirungi, eneo la Tegeta Kibo

    Heee kumekucha! Wameanza kuchomeana mingo zao Kazi ipo mbona, acha nikae siti ya mbele kabisa! =============== Basi la abiria aina ya Yutong linalomilikiwa na kampuni ya Abood, lenye namba ya usajili T 181 EMJ, limekamatwa katika eneo la Tegeta Kibo jijini Dar es Salaam likiwa limesheheni...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa pombe na Sigara fake umeingiza madawa ya kulevya, ambayo watumiaji tunaona dalili za mateja

    Ukweli useme na mpaka sasa nchi yetu kuna madawa ya kulevya.Kuna siku nilienda kumywa pombe ambazo zinaongoza kwa majina ila unakuta utazani kuna kipindu pindu.wakati sio sehemu. utumbo wako unajiuliza mpaka nzi kutofikia. haya leo.Nimegundulika na tumia madawa ya kulevya wakati sio mtumiaji...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sababu Kuu zinazowafanya watu washindwe kuacha kuuza dawa za kulevya mara baada ya kuingia kwenye biashara hiyo

    Juma alianza kuvuta bangi akiwa form 2. Ilianza kama utani wa marafiki — kuvuta mara moja baada ya shule, kisha ikawa kawaida. Baadaye akaanza kuwafundisha wenzake kuvuta. Wengine walimuona kama “mjanja” na mwenye connection. Haikuchukua muda akaanza kuwauzia kidogo kidogo ili apate hela ya...
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa kwa watekaji watanzania na meli ya madawa ya kulevya ni wazi Tanzania imeingia kwenye list ya nchi yenye wahalifu wa kimataifa

    Kukamatwa kwa watekaji watanzania na meli ya madawa ya kulevya ni wazi Tanzania imeingia kwenye list ya nchi yenye wahalifu wa kimataifa. Haya ndio malipo ya Serikali haramu mnategemea nini ? Watekaji hawa huko kenya wanakamtwa tu nje ya nchi na sio kwenye shamba la bibi huku hawakamatwi vipi...
  6. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mtanzania akamatwa na dawa za kulevya Zambia

    Mamlaka ya Kupambana na Dawa za Kulevya Zambia (DEC) imemkamata Ahmed Muharram (40), raia wa Tanzania anayetajwa kuwa mlanguzi mkubwa wa dawa za kulevya, katika oparesheni maalum jijini Lusaka. Katika msako huo, DEC ilikamata jumla ya kilo 1,380.8 za bangi, zikiwemo kilo 221.2 zilizofichwa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mexico yakabidhi Marekani wafungwa 37 wa uhalifu wa dawa za kulevya kufuatia vitisho vya Trump

    Mexico imemkabidhi Marekani washukiwa wengine 37 wanaodaiwa kuwa wanachama wa makundi ya uhalifu wa madawa y, waziri wa usalama wa nchi hiyo amesema, hatua inayokuja wakati Rais wa Marekani Donald Trump akitoa vitisho vya kufanya mashambulizi ya ardhini dhidi ya magenge ya dawa za kulevya katika...
  8. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Kama sababu ni dawa za kulevya, kwanini Rais wa China hajatekwa mpaka sasa kama Maduro?

    Kama sababu ya Maduro kutekwa na Marekani ni madawa ya kulevya? Kwanini mlalamikiwa mkubwa kuhusu athari za madawa ya kulevya Marekani ambaye ni China Rais wao Xi Jinping mpaka sasa hajatekwa kwenda U.S kujibia mashitaka yake?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufani yatengua hukumu ya Mahakama Kuu, kesi ya madawa ya kulevya ya Okwudili Nnaman Agu

    29 December 2025 Raia wa Nigeria Okwudili Nnaman Agu leo rufani yake imekubaliwa na Mahakama ya Rufaani ya Tanzania ambayo imeamuru kesi hii iliyotolewa hukumu ya kifungo cha miaka 20 na mahakama kuu ya Tanzania, haikuwa imekamilika bila kuacha shaka yoyote. Hivyo Mahakama ya Rufani Tanzania...
  10. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Kwanini Afrika hatuzalishi dawa za kulevya?

    Afghanstan wanapata mabilioni ya dola kwa kuuza heroin(Kasumba/afyuni🤣). Nchi za South America zinapiga mabilioni kwa kuuza cocaine. Afrika kuna rushwa kali, waasi kila kona, serikali dhaifu, nchi kubwa kubwa, na hali ya hewa ya kufaa kabisa kuzalisha madawa. Tumekwama wapi kwenye hii sekta?
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kwa vitendo vya polisi kwa wananchi itafika wakati mtu kuwa polisi ataogopa itakuwa ni sawa na kutembea na madawa ya kulevya

    Kwa vitendo vya polisi kwa wananchi itafika wakati mtu kuwa polisi ataogopa itakuwa ni sawa na kutembea na madawa ya kulevya. Huku ndipo tunapoelekea.
  12. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 watanzania wana akili sana na wala sio wajinga, dini wala sio hoja yao

    Naona mpo busy sana na mnapambana sana kulazimisha sana mgogoro wa kidini lakini niwahakikishie pasi na shaka watanzania wana akili sana na wala sio wajinga, dini wala sio hoja yao, ukatoliki na uislam wala sio hoja ya wananchi. Hoja ya wananchi ni utekaji ukome, mauaji yakome, na wizi na...
  13. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Hivi biashara ya dawa za kulevya imeisha nchini?

    Nauliza si kwa ubaya. Sijasikia suala la kuwashughulikia wale wanaojihusisha na biashara ya madawa ya kulevya kama kipindi kile cha awamu iliyopita namna walivyokuwa wanapambana nao na kuwataja kwa majina wazi wazi. Ila tangu afariki sijasikia tena zile harakati zikiendelea. Nini kipo nyuma...
  14. Inside10

    JamiiForums Tanzania Gramu 326.46 za Cocaine zampeleka Horohoro jela maisha

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Kitengo cha Rushwa na Uhujumu Uchumi, imemhukumu Hemed Juma Mrisho maarufu kwa jina la “Horohoro” kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya cocaine zenye uzito wa gramu 326.46. Hukumu hiyo ilisomwa tarehe 23 Septemba...
  15. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Giselda Blanco; Mwanamke mfanya biashara wa madawa ya kulevya

    Griselda Blanco, ambaye pia alijulikana kwa majina kama "Cocaine Godmother" (Mama wa Kokaini), "La Madrina" au "Black Widow" (Mke wa Njiwa Mweusi), anakumbukwa zaidi kama mdau wa cartel ya madawa ya kulevya kutoka Colombia ambaye aliunda na kuongoza biashara kubwa ya usafirishaji wa cocaine...
  16. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Baa na Club Kubwa za Buza: Viwanda vya Kuzalisha Mashoga - Ni Wakati wa Kufichua Uovu Uliofichwa Mbele ya Macho Yetu!

    Dunia inacheka huku inaungua. Na sisi, Watanzania, tumelala usingizi wa pono, tukipuuza, huku moto ukiteketeza mtaa baada ya mtaa. Tumetulia, tukijiaminisha kuwa maafa bado yako mbali, bila kujua kwamba tayari yamevunja milango yetu na kuingia chumbani. Ukweli huu ni mzito na mchungu, na...
  17. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani haivamii China kisa changamoto ya madawa ya kulevya kama wanavyotaka kuivamia Venezuela?

    Nchi ya marekani kila siku imekuwa ikihituhumu China kuhusu changamoto ya fentanly na matumizi yake ndani ya nchi ya marekani. Marekani mara kadhaa inasema China ina zalisha kwa wingi na kupenyeza fentanly ndani ya marekani ili watu wake waathirike na waharibikiwe. Sasa kupitia malalamiko hayo...
  18. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Tazama jinsi boti iliokuwa imebeba madawa ya kulevya kutoka Venezuela kuelekea Marekani ilivyodunguliwa na jeshi la Marekani.

  19. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nini Kipo nyuma ya mafanikio ya vita ya madawa ya kulevya na ujangili?

    Serikali hii inayotuhumiwa kwa rushwa nilitegemea madawa ya kulevya yazidi na ujangili wa Meno ya tembo uendelee ila NI wazi mambo hayo yamepungua kwa Kasi Sana kama sio kuisha kabisa hasa ujangili hausikiki tena. Je NI jitihada za serikali ya awamu hii au takwimu tunazopewa hazina uhalisia au...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha madawa ya kulevya mtaani kimeshuka

    Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo, amesema kuwa kutokana na juhudi kubwa wanazozifanya kwa kushirikiana na jamii, wameweza kupambana na uuzwaji wa dawa za kulevya nchini, na kwa sasa kiwango cha dawa hizo mtaani kimeshuka. “Kiwango...
Back
Top Bottom