zitto


  1. B

    Hivi na hili SUMATRA inalijua? Tuisaidie, pengine meno yataota

    1.Mabasi yanajaza kupita uwezo,ushahidi Upo, ni juzi tu nimesafiri kuelekea mbeya kwa basi mojawapo,wanaweka ndoo kibao. Traffic wanapewa chao mambo yanaenda kama kawaida 2. Kuna gari aina ya noa, zimebadilishwa na kuwa za abiria. Kiuhalisia ile gari ina capacity ya watu 8 ila inabeba 10...