Mikoa ya Rukwa na Morogoro kinara kwa utapeli kwa njia ya simu

olimpio

JF-Expert Member
Apr 5, 2023
402
834
Katika mambo yanayofikirisha sana , kwa mara zaidi ya tatu mfululizo mikoa ya Rukwa na Morogoro imeongoza kwa utapeli kwa njia ya simu.

Swali la kuijiuliza ni:

1. Mikoa hii inakaliwa na wajanja wengi sana yaani matapeli?

2. wakazi wengi wa mikoa hii ni washamba sana kiasi cha kutapeliwa kirahisi?

3. Makampuni ya simu hayajafanya kitihada za kuzuia wezi katika mitandao yao mpaka TCRA ameleta takwimu hizi?

4. Elimu hafifu juu ya uelewa wa miamala ya njia ya simu mikoa hii?

1683062424302.png
 
Siaminigi yaani mtu anipigie sim aanze kuniambia ninonueze nini sijui ili ajipatie pesa daah sijui yaani
 
Inaongoza kwa kuwa na matapeli wengi au kwa wahanga wa utapeli?
Kwa kua na wahanga , idadi iliyotajwa ni ya wahanga , hii kwa maana nyingine naona mikoa hio iko vulnarable sana kwa matapeli , either elimu ya kukwepa matapeli ni ndogo sana ndio maana matapeli wanapata urahisi ,ama pia inaweza kua safe hub ya matapeli ,ikimaanisha vyombo vya ulinzi na usalama mikoa hio havifanyi kazi ya kuwabugudhi matapel.
Kuna theories nyingi sana hapo
 
Siaminigi yaani mtu anipigie sim aanze kuniambia ninonueze nini sijui ili ajipatie pesa daah sijui yaani
Watanzania wengi hawana uelewa mkubwa na digital issues , so wanakua rahisi sana kutapeliwa
 
Rukwa na uchawi wote bado wanakubali kugongeshwa😂😂😂

dar na ujanja wote bado mnatapeliwa?
 
Kwa kua na wahanga , idadi iliyotajwa ni ya wahanga , hii kwa maana nyingine naona mikoa hio iko vulnarable sana kwa matapeli , either elimu ya kukwepa matapeli ni ndogo sana ndio maana matapeli wanapata urahisi ,ama pia inaweza kua safe hub ya matapeli ,ikimaanisha vyombo vya ulinzi na usalama mikoa hio havifanyi kazi ya kuwabugudhi matapel.
Kuna theories nyingi sana hapo
Au ndio mikoa inayo ripoti matukio mengi wengine wanakausha....?
 
Au ndio mikoa inayo ripoti matukio mengi wengine wanakausha....?
that could be the reason as well , usikute wengi wanakitapeliwa wanasema , wengine hua wananyamaza .
Analysis ni nying sana kwenye hio scenario
 
Back
Top Bottom