sekta

Sekta is a village in the Imphal East district of Manipur, India. Sekta Archaeological Living Museum is situated in the village.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    Tanzania na Indonesia Kuimarisha Ushirikiano Katika Sekta ya Madini

    TANZANIA NA INDONESIA KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA MADINI - Kuongeza nguvu katika utafiti wa madini - Wawekezaji kwenye viwanda vya kuongeza thamani madini mkakati wakaribishwa. - Mpango wa kuwaendeleza wachimbaji wadogo wajadiliwa Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde leo...
  2. B

    Mwenyekiti wa TPSF, Bi. Angelina akizungumzia changamoto ya wafanyabiashara sekta binafsi

    WADAU WA TPSF 'WAICHARUKIA' TRA / WADAI KUKADIRIWA KODI ZA 'UWONGO'/ RUSHWA YATAJWA https://m.youtube.com/watch?v=j869hATU_8U Biashara ya usafirishaji kwa asilimia 75 tunafanya na nchi za kusini za SADC, asilimia 25 iliyobaki tunafanya na Bururundi, Rwanda hilo serikali iliangalie Sheria za...
  3. Macbook pro

    Nini kilikufanya ukaacha ajira ya serikalini ukaingia sekta binafsi?

    Habari zenu ndugu zangu na wanajamvi letu pendwa la HHM. Nimekuja kwenu tena kama mwanajamvi kujifunza kitu kutoka kwenu. Kama utafuatilia hapo nyuma niliweka uzi wangu juu ya kukosa morali na mvuto na ajira yangu. Labda niweke hivi, Kabla sijaingia kwenye ajira nilikuwa na kibiashara changu...
  4. Lexus SUV

    Kwa kozi ya DIP in Fish Processing, Quality Assurance and Marketing. Je, ni sekta zipi ataweza fit ukiachana na sekta ya fisheries?

    Habari wakuu napenda ulizia ni sekta ipi inayofaa kwa graduate level diploma akiwa na cheti hiko hapo juu,, kwa kazi kuajiriwa ukiachana na fisheries.....au viwanda vipi vinafaa ,,, Yupo Dar es Salaam Asante
  5. Stephano Mgendanyi

    Waziri Bashungwa: Mkoa wa Kigoma Utakuwa Mwanzo wa Reli Katika Sekta ya Miundombinu

    MKOA WA KIGOMA UTAKUWA MWANZO WA RELI KATIKA SEKTA YA MIUNDOMBINU: BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya miundombinu ya barabara katika Mkoa wa...
  6. C

    SoC04 Kuruhusu utalaam kwenye kila sekta

    Serikali pamoja na taasisi zake zote inapaswa kuwa mstari wa mbele kwenye matumizi ya wataalam inayozalisha na ijikite kwenye kuwazalisha na kuwatumia. Sekta nyingi za kiserikali zimekuqa na shughuli mbovu na zisizozalisha kwa sababu ya kutoruhusu wataaluma kwenye sekta zao maeneo mengi...
  7. L

    SoC04 Jitihada ziongezeke katika kuboresha sekta ya afya nchini Tanzania

    Afya ni ile hali ya mwili, akili, na kijamii kuwa sawa. Ni muhimu kujali afya kwa kula vizuri, kufanya mazoezi, na kupata muda wa kutosha wa kupumzika ili mtu aweze kuwa na afya njema. Hili mtu aweze kutunza afya yake Vyakula vyenye afya vinaweza kusaidia kuboresha afya yako. Kula matunda na...
  8. C

    SoC04 Maboresho Sekta ya Elimu Tanzania kwa miaka kumi na tano (15) ijayo

    Maendeleo ni Jambo linalohitaji Jitihada kubwa na jumuishi katika Sekta Muhimu kama vile ELIMU, UTALII, VIWANDA, AFYA, SAYANSI NA TEKNOLOJIA Kwa Uhakika Suala la maendeleo ni mchakato wa muda mrefu unaohitaji mikakati na akili kubwa katika kujipanga na kuutekeleza ili kuyafikia matunda yake kwa...
  9. B

    SoC04 Utambulisho wa sekta za kiuchumi ndio utakaoing’arisha Tanzania yetu

    Tangu tupate uhuru yapo mambo mengi ambayo yamefanywa na viongozi wa taifa letu, mambo hayo yalifanywa ili kuliwezesha taifa letu kuimarika kiuchumi na hatimaye kuweza kuendesha shughuli mbalimbali ndani ya taifa letu bila kuteteleka. Kwa kuwa na malengo kama hayo viongozi wa taifa letu...
  10. MWEMZUNDU

    TUJE KATIKA SEKTA YA MADINI

    Ni maamuzi gani "MAGUMU" ulishawahi yachukuwa kwenye SEKTA YA MADINI ambayo hadi leo hii YAMEKUSAIDIA na unakula MATUNDA yake..
  11. Alphani R Joseph

    SoC04 The mindset of the leader, the vision of Mama Samia

    Nimetumia jina MAMA SAMIA, Sina maana kubwa ya kumtumia kwenye maudhui yangu lahasha , Lakini kama kiwakilishi kuonesha kiongozi wa juu kabisa katika ngazi ya uongozi, Sawasawa na ningetumia jina Joe Baiden Rais wa Marekani, Xi Jinping Rais wa China, Vladimir Putin Rais wa Urusi sawa sawa na...
  12. Roving Journalist

    Tume ya Madini yatoa elimu ya fursa za uwekezaji katika Sekta ya Madini kwenye migodi ya madini

    Tume ya Madini inaendelea kutoa Elimu kwa Wadau wa madini na Wananchi wote kutoka katika Mkoa wa Dodoma kwenye Wiki ya Maonesho ya Madini inayoambatana na Kongamano la Wachimbaji wa Madini yanayoendelea katika Viwanja vya Jakaya Kikwete, leo tarehe 22 Juni 2024, Dodoma. Elimu inatolewa katika...
  13. A

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Maono ya Kibunifu kwa Miaka 5, 10, 15, Hadi 25 Ijayo katika Sekta ya Afya

    Utangulizi Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuboresha sekta ya afya kwa miaka kadhaa iliyopita, lakini bado kuna changamoto nyingi zinazohitaji ufumbuzi wa kibunifu ili kufikia afya bora kwa wote. Maono haya yanachora taswira ya jinsi sekta ya afya inaweza kubadilika kwa miaka 5, 10, 15, hadi...
  14. BARAKAS SANGA

    SoC04 Sekta ya miundombinu

    Ili kupunguza changamoto ya foleni katika maeneo tofauti nchini Tanzania ni kuboresha miundombinu ya barabara zetu ambazo ndio chachu ya maendeleo kwa kiasi kikubwa kwani itapelekea Watu kuwahi katika maeneo yao ya kazi na shughuli zao na kuongeza kipato cha mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla...
  15. 7

    SoC04 Tanzania nimiongoni mwa nchi zinazo endelea kukua kwa kasi sana ili iweze kufikia lengo kati ya miaka 5 mpaka 25 ijayo inatakiwa kuboresha sekta mbali

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazokua kwa kasi sana barani Afrika. Ili kufikia malengo kati ya miaka 5 hadi 25 ijayo, inatakiwa kuboresha sekta mbalimbali. Elimu ni nyanja muhimu sana katika taifa letu. Ili kufikia lengo, inatakiwa mitaala yetu ya elimu iboreshwe ili kumuandaa kijana wa kesho...
  16. K

    SoC04 Ushirikishwaji wa sekta binafsi katika miradi ya serikali

    Tumeona serekali yetu ikitekeleza miradi mipya ya kimikakati mikubwa kama ujenzi wa reli ya kisasa mabasi ya mwendo kasi na bwawa la kufua umeme la mwalimu nyerere hii yote ikiwa ni mipango na mikakati ya kufikisha huduma bora kwa jamii. Tumeona treni ya SGR imekamilika na kuanza kazi...
  17. S

    SoC04 Tanzania tuitakayo tunahitaji kutunga na kutekeleza sera na sheria zinazosimamia sekta ya ICT ili kuhakikisha usalama wa mtandao na haki za watumiaji

    UTANGULIZI Kuboresha sekta ya teknolojia ya habari na mawasiliano (ICT) ni muhimu katika kufikia Tanzania tunayoitaka kwa miaka 25 ijayo na ya sasa. Yafutayo ni maelezo ya kina kuhusu jinsi ya kuboresha sekta hii: Uwekezaji katika Miundombinu ya ICT: Tanzania y tutakayo inahitaji kuwekeza...
  18. S

    SoC04 Nini tufanye ili kuboresha sekta ya afya miaka kumi ijayo

    Afya ndiyo mtaji wa maisha ya binaadamu,bila kuwa na afya bora huwezi kufanya shughuli za uzalishaji mali na badala yake ni kupoteza kile ulichokuwa ukikifanya kama chanzo cha mapato, sababu hiyo pia hupelekea umaskini. Kumbe basi Serikali ni watu ili nchi iwe katika hali nzuri ya kiuchumi Afya...
  19. E

    SoC04 Mbinu kwa ajili ya kuboresha sekta ya ufugaji, kilimo, na uvuvi

    Hii ni sekta ya muhimu katika uchumi wetu. Ikiwa usimamizi wa sekta hii utaendelea kusimamiwa vizuri uchumi wetu utapanda kwa miaka mitano (5),kumi (10) na kuendelea.katika sekta hii tunapata malighafi mbalimbali kwa ajili ya viwanda mbalimbali mfano, alizeti kwa ajili ya kutengeneza mafuta...
  20. N

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kwa Miaka 5-25 Ijayo - Katika Sekta ya Elimu

    Katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo, Tanzania inahitaji kuchukua hatua thabiti na bunifu ili kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu. Miongoni mwa sekta muhimu zinazohitaji maboresho makubwa ni elimu . Kwa kuzingatia umuhimu wa sekta hii, ni muhimu kuunda mikakati inayohakikisha...
Back
Top Bottom