Miji (autonym: Dmay), also Dhammai or Sajolang, is a cluster of possibly Sino-Tibetan languages in Arunachal Pradesh, northeastern India. "Dialects" include at least two distinct languages, which are not particularly close, with only half of the vocabulary in common between the languages of East Kameng District and West Kameng District. Long assumed to be Sino-Tibetan languages, they may be a small independent language family.
Sehemu napokaa kuna mtu kanunua nyumba ya kawaida ila cha ajbau ameanza kuongeza gorofa kwenye nyumba ambayo haina msingi wa gorofa anajenga na hakuna anayemhoji kajiamulia binafsi hili ni moja ya jambo linanikera sana nikiona watu wameweka lenta ya gorofa na sasa wanakoroga zege waendelee...
Serikali imemtaka mkandarasi wa mradi wa maji wa miji 28 Ifakara kufanya kazi kwa saa 24 ili kufikisha huduma ya maji kwa wananchi mapema.
Naibu Waziri wa Maji Mhe. Mhandisi Kundo Andrew Mathew (Mb) amesema akikagua mradi huo Oktoba 2, 2026 kuwa uamuzi wa kufanya kazi hivyo utafanikisha...
Nitazungumzia tukio hili la Oktoba 29 mara kwa mara [Amnesty International] kwa sababu historia isiposomwa kwa weledi, ina tabia ya kujirudia katika sura mbaya zaidi. Kulinyamazia tukio hili ni kuzika sauti za wahanga na kuruhusu dhuluma kuwa utamaduni wa kawaida. Tunapolinganisha na Mauaji ya...
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso (Mb) amekagua mradi huo na kuona utekelezaji wake akielekeza maunganisho mapya ya huduma ya maji kwa wananchi wa Mavuji iwe siku Saba tu.
Mhe. Aweso akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mavuji, Kilwa Masoko , mkoani Lindi baada ya kufungua maji ya bomba ya mradi...
Serikali imefanikisha kazi ya kuchimba visima 10 mkoani Singida kwa kutumia wataalam wazawa na mitambo ya Serikali.
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso (Mb) kufuatia kazi hiyo amemkabidhi mkandarasi kampuni ya Megha Engineering and Infrastructure, visima hivyo kukamilisha utekelezaji wa mradi wa...
Hivi karibuni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ametangaza mpango wa kusimamia usafi na kupiga vita utupaji taka ovyo baada ya maelekezo ya Mh. Raisi. Ni hatua ya kupongezwa. Lakini ukweli tunaoujua sote ni kwamba kampeni za usafi huja na kuondoka — kinachokosekana ni mfumo wa kudumu unaomfanya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekemea hali ya uchafu uliokithiri katika miji, hususan jiji la Dar es Salaam. Akizungumza Septemba 2, 2026, katika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, wakati akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na Katibu Tawala wa Mkoa, Rais Samia ameeleza kuwa...
Naongelea Urban Areas, achana na vijiji. Linapokuja suala la maeneo ya mijini sijaona mji wa kijani kama Moshi.
Moshi kuna miti aisee. Unajua kama kule Mbeya sehemu walikojenga wakoloni kuna miti mingi na pa kijani sana, lakini mitaa mingi mipya ambayo wabongo tumejenga tumekata miti mno. Ila...
wazo hili limenijia baada ya safari yangu ya kusini mwa tanzanina kuona uwanda mkubwa usio na makazi ya watu wala hifadhi, ni pori kubwa maelfu ya heka yasio tumika kwa namna yoyote.
Wazo lika nijia, kama kipindi kile cha mwalimu nyerere kulianzishwa vijiji na mashamba ya ujamaa kwa nini sasa...
Tanzania kuna miji iliendelea kabla ya mkoloni na leo ingekuwa mbali lakini ni kama haisogei maendeleo yake yaleyale inasonga kidogo japo nchi imepata uhuru ilikuwa juu.
1. Moshi
Huu mji ulianza kuendelea zamani sana, mkoloni alipaendeleza lakini hautanuki sana kisa wachaga na wapare ni...
Mko poa wasoma uzi?
Niende kwenye mada, baada ya uanzishwaji wa vyama vingi CCM ilichukua mali zilizokua na Umma na kuweka kwenye milki ya chama.
Viwanja vya mpira kama Kirumba, Mwanza, Jamuhuri Dodoma, frame za biashara, stand za mabasi, nyumba na viwanja vingi vilivyokua mali ya umma...
Hivi kwa nini licha ya kuwa jirani na Rwanda bado hatujapata motivation ya kufanya majiji yetu yawe masafi?
Tuna majiji sita tu
1. Dar es Salaam
2. Mwanza
3. Arusha
4. Dodoma
5. Tanga
6. Mbeya
Hivi hatuwezi kuanzisha kampeni kali ya "KEEP OUR CITIES CLEAN" watu walipishwe faini za kutosha...
Nani anamchanganya huyu mzee? Ni AI generated lakini hadi rais wa nchi kubwa hivi anapost? Tf?
Source: https://truthsocial.com/@realDonaldTrump/posts/116591901587847680
Ndugu zangu nawasilimu kwa majina yote ni imani yangu mko salama.
Leo nimeamka na kufikiria kuhusu nchi yetu pendwa baada ya muda mrefu kutoa michango kwa ajili ya maendeleo ya Taifa letu, nilifurahi kuona swala la kilimo kwa vijana likitiliwa mkazo hiyo itakuwa chachu ya maendeleo kwa vijana...
Kwamba 2026 mpaka 2029 tunakwenda na Mtwara tunatenga trillion 5 kwa ajili ya mtwara tu viwanja vya michezo yote, vya ndege, bustani mijini kupanda miti katikati mwa miji maana HALMASHAURI zimeshindwa kuboresha miji tuwe kama ulaya, barabara zote za mjini kupigwa lami, Veta au workshop kama ile...
Oneni jinsi Wachina ndani ya miaka 20 tu walivyobadilisha miji yao mfano wa Chongqing kutoka slums kama za tandale na kutokuwa na mpangilio hadi kuwa majiji ya hadhi sawa na ya West
Majiji kama Dar yanapopata investment kubwa na kutangazwa vya kutoshaa, more people wanaanzisha companies, businesses nk ambapo watajenga offices, apartments, malls, hotels, supermarkets nk
Wanavyojenga hivi vitu watu wengi wanapata ajira, lakini pia skyline ya jiji inabadilika
Kama Dar ikipata...
Iran ilikuwa ikijivunia kuficha na ku hifadhi Mabomu na Makombola yao chini ya ardhi mpango wao huo umebuma baada ya tecknolojia ya Israel kuyagundua yalipo na kuwaangamiza.
Hili ni pigo kubwa sana kwa utawala wa magaidi wa Iran 🇮🇷
https://x.com/imtiazmadmood/status/2032400792808739018?s=61
WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI WA MIJI 28 KATAVI
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Machi 13, 2026 ameweka jiwe la msingi la Mradi wa Maji wa Miji 28 katika Kata ya Shanwe, Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi.
Mradi huo wenye thamani ya shilingi bilioni 22.8 umefikia asilimia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.