tishio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Tishio la "Maandamano" linavyogeuka mtaji kwa Askari nchini Tanzania

    Toka oktoba 29, 2025 linapokuja suala la watu kuandamana, waandamanaji wamekuwa ni Jeshi la Polisi na Majeshi mengine katika maeneo mbalimbali ya nchi hususani mijini. Hali ya askari kurandaranda mtaani wakiwa na silaha nzito badala ya raia walioshikilia mabango imekuwa ikiwatisha wananchi hali...
  2. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Kila maadhimisho ya kitaifa huja tishio la Maandamano?

    Ifikie hatua tuheshimu serikali kwa nn inapotokea maadhimisho ya kitaifa uvurugaji hutokea kwa kuanzisha vuguvugu la Maandamano? Je ni mpango wa kuvuruga na kuua siku maalum za maadhimisho ya nchi yetu. Na hii mpaka lini? Kwa nn tusivipe vyombo vyetu vya ulinzi na usalama nafasi ya kufanya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Julai 6 2026 Wananchi mjitokeze kwa wingi kwenye shauri la mgawanyo wa mali mahakama Kuu

  4. K

    JamiiForums Tanzania Madai ya Sheikh Mwaipopo Kunusurika Utekaji: Tishio Halisi au Kiki za Kusafisha Bonge la 'Backfire' la Kauli ya Kutahiri Watu?

    Wakuu salama, Kama mnavyofahamu, nchi yetu hivi karibuni imekuwa kwenye taharuki kubwa ya matukio ya watu kutekwa na kupotea. Lakini katika hali ya kushangaza na inayoacha maswali mengi, Sheikh Said Mwaipopo naye amejitokeza na kudai kuwa kuna watu walifika ofisini/nyumbani kwake wakiwa na...
  5. Baba mtakatifu91

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake tunawaona ni tishio?

    Salamu kwenu wakuu........Binafsi siyo mwandishi sana ila nitajitahidi kadiri niwezavyo kufikisha ujumbe. Nimekaa nikawaza hivi kwanini wanaume tunatumia nguvu nyingi sana 1.Tupewe attention na wanawake 2.Kwanini mkazo unaelekezwa kuishi na wanawake kwa akili? 3.Kwanini hata hapa jukwaani...
  6. UTPC

    JamiiForums Tanzania Uharibifu wa mazingira kupitia ukataji miti hovyo ni tishio kubwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya - Mbeya

    Uharibifu wa mazingira kupitia ukataji miti hovyo umeendelea kuwa tishio kubwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya. Makala hii inaangazia sababu kuu zinazochochea kasi ya upotevu wa misitu katika wilaya hiyo. Kilimo cha Tumbaku na Nishati ya Kuni Sehemu kubwa ya misitu ya...
  7. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Tishio la Maandamano 😀 wasio vaa uniform no wengi ILA hakuna kitu wanapata maana hizo ni propaganda za Green Gud wa kihongosi.

    Mgeni njoo mwenyeji aponeeeee! Tetesi za maandamano tarehe 07/07/2026, wasio vaa uniform wamejaa hapa ninapo gonga nyagi wanasikilizia nyuzi,kidume nipo jamii forum nabonga na Wana uku nachati na Malaya. Hii nchi pesa zinachezewa green GUD wanakunywa fedha za UMMA maana hapa sioni mjanja...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Pikipiki ni tishio sasa, bora wangezingatia mara ya kwanza kuzibiti sheria (leseni). Kwa sasa imechukuliwa kama baiskeli kwa kila mtu

    Mabadiliko ya usafiri kwenye swala la pikipiki yamepokelewa na watu wengi hususani wale wenye vipato vya kati na chini. Lakini limekuwa tishio kwa sasa.Uwelewa wa matumizi ya barabara asilimia kubwa wanaotumia vifaa hivi wengi sio waelewa na wala matumizi ya barabara hawatahamu. Jambo...
  9. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Tishio la Iran lagonga Mwamba IDF yaendelea na kipondo kwa Magaidi wa Hezbollah huko Lebanon

    Tangu mwendo wa saa 10 asubuhi ya leo, Israel ilishambulia Hezbollah kusini mwa Lebanon kama ifuatavyo: ● Mashambulizi ya angani ya ndege za kivita au ndege zisizo na rubani: Al-Mansouri, Deir al-Zahrani, Choukin, Haris, Kafra, Srifa, Kfar Tebnit, Nabatieh al-Fawqa, Tebnine, Jebchit, Doueir...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tishio la vikwazo vya USA kwa CCM na wengineo: Badala ya kelele nyingi zisizosaidia Bungeni, wajibuni USA na Trump "Who are you?"

    Nimesikiliza Wabunge na hata waziri wa mambo ya nchi za nje wakipiga kelele Bungeni kuhusu tishio la vikwazo vya USA kwa viongozi wa CCM na watendaji wengine. Wamefika hata kudai kuwaleta viongozi wa USA hapa Tanzania na kulipia gharama zao za usafiri, malazi na chakula ili waje wajionee kuwa...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LHRC: Kurejea kwa kasi kwa matukio ya utekaji ni tishio kwa uhuru wa raia na Utawala wa Sheria nchini

    LHRC: KUREJEA KWA KASI KWA MATUKIO YA UTEKAJI NI TISHIO KWA UHURU WA RAIA NA UTAWALA WA SHERIA NCHINI Tarehe 22 Mei 2026, Dar es Salaam Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinalaani na kupinga vikali kurejea kwa kasi matukio yenye sura ya utekaji nchini. Katika siku za hivi karibuni...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Uingereza yaonya Shule kuchapisha picha za wanafunzi mitandao kutokana na tishio la unyang'anyi wa kimtandao (blackmail)

    Shule nchini Uingereza zinapewa onyo la kuondoa picha za wanafunzi wao kutoka kwenye tovuti na mitandao ya kijamii kufuatia kuongezeka kwa tishio la unyang'anyi wa kimtandao (blackmail). Wataalamu wa usalama wa mtoto na Shirika la Kitaifa la Uhalifu (NCA) wanaonya kuwa wahalifu wanatumia Akili...
  13. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Joshua Baraka anaweza kuja kuwa Tishio East Africa endapo atajipanga vizuri

    Hapa Afrika Mashariki watu wengi uangalia skendo na vitu visivyokuwa na umuhimu hili kumuweka mtu pale kileleni. Diamond Platinumz ni msanii mkubwa tu Afrika Mashariki, lakini soko la dunia la muziki limekuwa likimsumbua sana na ujikuta akitumia nguvu sana kufanya collaboration na A-list wa...
  14. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Mamba wageuka tishio wilayani ukerewe

    Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe wamelalamikia ongezeko la mamba ndani ya Ziwa Viktoria na kuleta madhara kwa wananchi wa wilaya hiyo baada ya miezi mitatu iliyopita matukio zaidi ya matano kuripotiwa ya wananchi kuvamiwa, kushambuliwa, kuuliwa na kubebwa na mamba pamoja na viboko...
  15. M

    JamiiForums Tanzania KERO Hali ya foleni bandarini

    Ndugu wasomaji Sisi kama waagizaji tumeona mada mpya toka January mwaka 2026 kutoka bandari ambapo zamani kuhamisha container kutoka Bandari kwenda bandari kavu icd ilikwainachukua siku 5- 7 lakini toka Januari hali bandarini imetisha maana kuhamisha container inachukua karibia mwezi mmoja...
  16. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Tishio la Kuunda Kikundi cha Uasi

    Naangalia mitandaoni naona kuna mtu kavaa musk kajirekodi sijui wameanzisha kikundi cha Uasi nikajiuliza huyu anaifahamu Tanzania Vizuri?? Kikundi cha Uasi Tanzania??? Nawaambia hata siku mbili hakitachukua JWTZ ndo wakali wa hizo mambo hivi hamjiulizi Taangu tupate Uhuru kwanini vikundi hivyo...
  17. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Suala la kukamata watu wa CHADEMA wasio tishio kivyovyote ni la kisiasa kwanini wameshusha na bendera inahusika vipi kuvunja sheria za nchi ?

    Suala la kukamata watu wa CHADEMA wasio tishio kivyovyote ni la kisiasa kwanini wameshusha na bendera inahusika vipi kuvunja sheria za nchi ? Nimesikia hizi takataka zinasema heti wamekamatwa kwa kukusanyika kwahiyo kukusanyika ni kosa tangu lini na vipi mshushe na bendera ya chama ilikuwa...
  18. Chura

    JamiiForums Tanzania Kivuli cha Madaraka: Unapokuwa Tishio Bila Kukusudia

    Katika korido za mamlaka, kuna msemo mmoja wa kishushushu unaosema: "Ukaribu na jua unakupa joto, lakini unavyozidi sana kulikaribia jua unajiweka katika hatari ya kuteketea"Hii si kauli ya mzaha; ni onyo la kiintelijensia kuhusu jinsi ukaribu na mamlaka unavyoweza kugeuka kuwa mtego wa mauti...
  19. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Nywi nywi nywinywinywi imeisha wapi hadi tunaongea maridhiano na maridhishano? Alisema kusingekuwa na tishio akatishwa hadi akaua

    https://www.youtube.com/watch?v=JhNOoI2tIKw Jikumbushi nywinywi nywinywinywi. Yako wapi. Kumbe rais alituongopea? Je, hapa si muongo kama waongo wengine? Je, haya maridhiano siyo uongo? Je, nani aweza kumuamini muongo?
  20. Mhaya

    JamiiForums Tanzania China ndio Sababu ya Maduro kutekwa na Marekani, Mchina ni tishio kwa Mmarekani

    Namna Marekani alivyocheza karata zake kwa Venezuela ni kama Demu mkali ale vitu vyako alafu kisha hakukatae badae unamuona anajibebisha kwa mwamba mwingine ambaye wewe ni kama mshindani wake wa muda mrefu, unaamua kumteka demu na kuondoka nae kwa nguvu hili awe na wewe kwa lazima. Hakuna...
Back
Top Bottom