mwenendo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu ya Uhaini itaishiaje kwa utabiri na mwenendo wa kesi ulivyo?

    Utabiri wako ni upi kuhusu hii kesi ya Serikali dhini ya Tundu Lissu kwa kosa la uhaini ?
  2. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Mwalimu anatufanya tutafakari zaidi vyanzo vya fedha vya Tajiri G ,Timu Y na mwenendo mzima wa ligi N ya Nchi ya T

    Kuna wakati huwa nahisi Tajiri M ,Timu S na viongozi wake wanapitia kipindi kigumu sana ambacho wanashindwa kuweka wazi kila kitu . Kulingana na forbes Tajiri M ni tajiri namba 1 Nchi T kwa kipindi kirefu, na ashawahi kuwa tajiri mdogo zaidi kwenye top 50 Bara A . Kulingana na Kiongozi M ...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KNCHR Yapendekeza Sheria Mpya ya Kusimamia Maandamano na Mwenendo wa Polisi

    Tume ya Kitaifa ya Haki za Kibinadamu nchini Kenya (KNCHR) imewasilisha pendekezo la sheria mpya inayolenga kuweka mfumo wa kisheria wa kusimamia maandamano, mikutano ya hadhara, kupiga kambi za maandamano na mwenendo wa polisi wakati wa shughuli hizo. Pendekezo hilo la Sheria ya Uwezeshaji wa...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za ufisadi wa makamu mwenyekiti wa Chadema taifa, zazorotesha hali na mwenendo wa uchangiaji fedha kwaajili ya baraza kuu taifa Sept.15,2026.

    Wana chama wengi wa chadema, pamoja na wafadhili wa chadema wa ndani na nje ya nchi hawana tena imani na uongozi uliopo wa chadema kuhusu masuala ya pesa, na wala hawana uhakika wa ikiwa pesa watakazoichangia chadema zitatumika kwa madhumuni yaliyokusudiwa. Na, kwa mvurugano wa chini kwa chini...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vilio vya Wamiliki wa Vituo vya Afya Binafsi Wilaya ya Tarime Mjini - Mara

    Habari,hongereni Kwan kazi nzuri ya kufichua maovu,Mimi ni mdau wa Vituo afya wilaya tarime Napenda kuziomba mamlaka za juu zifuatilie kwa makini mwenendo wa usimamizi wa vituo binafsi vya afya katika Wilaya ya Tarime, Mkoa wa Mara. Katika kipindi cha takribani miaka miwili , zaidi ya vituo 11...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tamko la Jukwaa la Wahariri lalaani kuvunjwa kwa ofisi za gazeti la Pambazuko

    Pia soma: Ofisi za gazeti la Pambazuko zavunjwa, waibiwa Kompyuta, Kamera, Nyaraka
  7. funaku

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Habari iangalie sana mwenendo wa wanaojiita CitizenTv mitandaoni

    Hii ni project ya kimya kimya sana inayouma na kupuliza lakini ukifuatilia posts au habari zao unanusa nia ovu nyuma yake. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  8. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Viongozi 10 wa Afrika waliowahi kufikishwa ICC

    BBC. 1. Uhuru Kenyatta (Kenya) Uhuru Kenyatta Rais mstaafu wa Kenya. Alifunguliwa mashitaka Machi 2011 kwa makosa matano ya uhalifu dhidi ya ubinadamu. Kenyatta alidaiwa "kulidhibiti kundi la Mungiki" na kulielekeza kufanya mauaji, uhamisho, ubakaji na aina nyingine za unyanyasaji wa...
  9. Msanii

    JamiiForums Tanzania Mwenendo na ukatili wa askari wetu unatafakatisha na kuhuzunisha

    Hakuna asiyejua kwamba mtawala aliyepo sasa ni mkandamizaji na muuaji dhidi ya raia wake wanaokosoa utendaji wake. Analitumia jeshi letu kwa ujumla wake kama jeshi lake binafsi. Tumeona baadhi ya wananjeshi wakivikwa sare za polisi wakati wananchi walipotaka kuandamana kupinga utekaji, utesaji...
  10. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Nimejiuzulu ili kuonesha kutofurahishwa na mwenendo wa serikali pamoja na chama

    Humphrey Polepole akifanyiwa mahojiano na Aloyce Nyanda ameeleza kuwa kujiuzulu kwake ni kama njia ya kupinga ama kuonesha kwake kutoridhishwa na mwenendo wa serikali na chama.
  11. mshale21

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenendo huu, siku moja serikali ya Tanzania itakuwa ya kijeshi

    Wakuu, kwa hali ya kisiasa ya style hii katika nchi, kuna harufu pengine jeshi lililo upande wa wananchi likaingilia kati, ipo siku tutalala tukiongozwa na Rais tunayemjua tukaamka na mamlaka ya kijeshi kama ilivyo huko 🇧🇫, 🇲🇱 na 🇳🇪.
  12. G Sam

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anasemwa kwa haki kabisa kutokana na mwenendo wa uongozi wake. Sijui kwanini anaona anaonewa? Mimi simuelewi kwanini aone hivyo

    Rais Samia aambiwe tu ukweli kuwa anaweza kubadilika na akaongoza vizuri tu kwa kufuata uelekeo mzuri. Tumwambie kuwa uelekeo alipo ni kama sisi watu wa Tanganyika tunaona hatupendi. Tumwambie tu hata kama ataendelea kuchukia sisi tuendelee kumwambia tu. 1. Kwanini amefungia mtandao wa Twitter...
  13. B

    JamiiForums Tanzania PPP na UDSM kujadili mwenendo wa uchumi na nafasi ya sekta binafsi kuelekea Tanzania 2050

    Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) kwa kushirikiana na Taasisi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) imekuja na Kongamano la Wanazuoni kujadili mwenendo wa uchumi na nafasi ya Sekta Binafsi kuelekea Tanzania 2050. Kongamano hili litafanyika Jumanne tarehe 27/05/2025...
  14. meningitis

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge Ulinzi na Usalama haina budi kujadili mwenendo wa Kenya katika siasa za Tanzania!

    Yapo matukio kadhaa ya kisiasa yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini mwetu nyuma yake kukiwa na factor moja muhimu yaani #Kenya# hii trend sio ya bahati mbaya kama unachambua mambo kwa kina. mfano: 1-Lissu baada ya kupigwa risasi alienda kitibiwa Kenya. 2-lema alitorokea kupitia Kenyana...
  15. Red black

    JamiiForums Tanzania Truth : kwa mwenendo wa siasa za Tz naiona ccm ikitawala kwa muda mrefu

    Ni dhahiri Tanzania hakuna upinzani wote wametiwa mfukoni. naiona ccm ikitawala kwa muda mrefu sana great than 150yrs. It's very painful. NB: mimi sio mwa CCM.
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Msemaji Mkuu wa Serikali kutoa taarifa kuhusu mwenendo wa Uokoaji maafa ya Kariakoo na siku ya kufungua maduka

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaamm, Albert Chalamila, amesema kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali atatoa taarifa rasmi kuhusu mwenendo wa zoezi la uokoaji katika eneo la Kariakoo, ambapo maafa yalitokea hivi karibuni. Chalamila ameeleza kuwa zoezi la uokoaji linaendelea na taarifa kamili kuhusu hali ya...
  17. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Askofu Fredrick Shoo alia na rafu zinazoendelea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Ataja mbinu zinazotumika kuengua Wagombea!

    Dkt. Fredrick Shoo, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), hivi leo amezungumza na waandishi wa habari kuhusiana na zoezi la Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa linaloendelea nchini. Dkt Shoo amesema kumekuwa na makosa mengi katika Ucahguzi huu ikiwemo kuenguliwa kwa wagombea wa upinzani...
  18. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za mwenendo wa mvua za VULI hapo ulipo

    Ni kwa yale maeneo ambayo huwa mmezoea kupata mvua mara mbili kwa mwaka mikoa ya pwani ya mashariki, pwani ya kusini, kaskazini na kanda ya ziwa hali ipoje TMA majuzi walitabiri mwaka huu zitanyesha chini ya wastani zitaanza kwq kususua.vipi zimeshaanza week la mwisho la august?kwa ujumla kupoje...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mwenendo wa uendeshaji wa treni ya Tabora-Mpanda

    Wakuu Naomba mnisaidie kupaza sauti kwa Serikali ifanye marekebisho kwenye reli ya Tabora-Mpanda hali ni mbaya mno, Yaani treni imekuwa na huduma za Hovyo Mno, unaandikiwa kwenye ticket treni litafika saa tisa mchana ila cha ajabu treni linafika saa Tatu usiku. Kwa ufupi wananchi wa huku...
  20. mwanamichakato

    JamiiForums Tanzania TRA kuvunja rekodi dhidi vifo vya biashara na viwanda,tujitafakari na kujirekebisha

    Wafanyabiashara na wenye viwanda wanapaswa kulipa kodi stahili kwa uhai wa Taifa letu. Kodi zinazolipwa zinapaswa kutumika vema,Kulindwa na kusimamiwa vema na si kufujwa. Mchakato wa kukusanya kodi stahili unapaswa kufanyika kwa kuzingatia uhalisia wa kibiashara na kulinda mazingira bora ya...
Back
Top Bottom