ridhiwan kikwete

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Etwege

    JamiiForums Tanzania Paschal Mayala acha kutumika na Ridhiwan Kikwete maji yamekorogeka

    Kwa taarifa za uhakika ni kwamba mwandishi nguli wa habari Paschal Mayala amenasa kwenye kundi la ccm mtandao ambalo kazi yao ni moja tu kubagaza na kubananga rasilimali za watanzania. Paschal Mayala amepewa kazi maalum ya kumnadi na kumsafishia njia Ridhiwan Kikwete ili apate taswira nzuri...
  2. Heparin

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ridhiwani Kikwete: Malalamiko mengi ya wananchi wakati wa maandamano yalihusu Maadili ya viongozi

    Ridhiwani Kikwete umesema vyema kabisa, na sisi tumekuelewa. Ujumbe huu wapelekee pia mabosi wako, Samia Suluhu Hassan na Mwigulu Nchemba ambao hadi sasa wanatuona watanzania ni mazuzu, kwamba hawaelewi watu walikuwa wanalalamikia nini kiasi cha kuandamana. Nakunukuu "Malalamiko juu ya maadili...
  3. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Je, Abdul Samia na Ridhiwani Kikwete ni ndugu?

    Kichwa cha habari kinajieleza na kujitosheleza. Karibu tutafakari pamoja kujibu swali hapo juu.
  4. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 PICHA: Ridhiwan Kikwete Apokelewa Kifalme na Wajumbe Jimboni Chalinze

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete Mbunge Wa Chalinze anayesubiria tu kuapishwa Baada ya kuwa Amepitishwa kuwa Mgombea pekee wa chama cha Mapinduzi Jimbo la Chalinze. kutokana na wanachama wengine kutochukua Fomu ya kugombea kutokana na kuridhishwa na uchapakazi wake pamoja...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Kikwete kuhusu Ridhiwani kwenye Uzinduzi wa Bandari Kwala ililenga nini, mbona haikuhusiana na kilichokuwa kinafanyika?

    Nadhani Mzee Kikwete anapaswa kubadilika na kuacha Uswahili wake, amevuruga Uzinduzi wa wenzake wa Bandari Kavu kwa kuchomekea yasiyohusika. Bila shaka Spana za Mitandaoni kote duniani kuhusu Familia yake kupitishwa bila kupingwa zimemuumiza sana, lakini ni vema angeita Waandishi wa habari...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ridhiwan Kikwete: Rais Samia amemshukuru baba kwa jinsi ninavyomsaidia kama Waziri na hii imenipa Faraja kubwa sana

    Mbunge wa Chalinze Mh Ridhiwan amesema ile Picha iliyosambaa mitandaoni akiwa na baba yake Mzee Kikwete pamoja na Rais Samia inampa faraja kubwa na anajivunia Ridhiwan amesema pale Rais Samia alikuwa anamshukuru Mzee Kikwete kutokana na mchango anaoutoa( Ridhiwan) akiwa kama Msaidizi...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Hii Ndio CV nzito na iliyoshiba ya Ridhiwan Kikwete

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete Ni Mtoto Wa Kwanza katika Familia ya Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne. Ambapo Kijana huyu Mwenye Moyo wa Huruma,upendo , unyenyekevu na ukarimu Alizaliwa Tarehe 16-4-1979 katika hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo...
  8. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kikwete akabidhi gari kwa kikundi cha mshikamano cha kata ya Mandera

    Aendelea kuwakumbusha Wananchi wa Chalinze kuchangamkia mikopo inayoendelea kutolewa na Halmashauri hiyo. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete Jana Mei 24, 2025 amekabidhi gari kwa kikundi cha Wajasiriamali cha Mshikamano kutoka Kata...
  9. Uzalendo Club Tanzania

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Uzalendo Wilaya ya Kibaha ilipata fursa ya kukutana na kufanya mazungumzo Ndugu Salim Kikeke

    TAREHE 2 MEI, 2025 | KIBAHA Kwa heshima kubwa, Klabu ya Uzalendo Wilaya ya Kibaha ilipata fursa adhimu ya kukutana na kufanya mazungumzo na Mtangazaji Kinara Mstaafu wa BBC na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Crown Media, Ndugu Salim Kikeke. Katika mazungumzo hayo ya kihistoria, Mwenyekiti wa Klabu...
  10. Uzalendo Club Tanzania

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa uanzishaji wa Taasisi ya Uzalendo na Malezi Tanzania (TUMT)

    TAARIFA RASMI | MCHAKATO WA KUANZISHA TAASISI YA KITAIFA YA UZALENDO NA MALEZI TANZANIA (TUMT) Kwa mujibu wa haja ya dharura ya taifa katika kujenga msingi imara wa maadili, uzalendo wa kweli, na malezi chanya ya kizazi kijacho, Klabu ya Uzalendo Wilaya ya Kibaha imeanza rasmi mchakato wa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kikwete aeleza umuhimu wa mwenge wa uhuru kwa ustawi wa jamii na maendeleo ya taifa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Mwenge wa Uhuru ni moja ya Tunu kubwa iliyopo kwenye Taifa kwani umekua kichocheo kikubwa cha maendeleo kwenye Taifa ikiwemo kuchochea mapambano dhidi ya ujinga, maradhi na umaskini kila...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete agawa pikipiki 14, vishikwambi na spika kwa maafisa Maendeleo ya Jamii ili kurahisisha kazi zao

    Ni mkakati wa kuhakikisha Wananchi wanafikiwa kirahisi kuhudumiwa. Halmashauri ya Chalinze yatenga Bilioni 2.2 kwa Wanawake, Vijana na Walemavu. Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Leo ndio leo! Chalinze festival funga mwaka bonanza ndani ya Chalinze, Kikwete agawa vifaa

    Rais Mstaafu wa Awamu ya 4 Dkt. Jakaya Kikwete ataongoza Bonanza kama Mgeni rasmi, Bongo Muvi ndani Mbunge wa Chalinze na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Vijana, Ajira, na Watu Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete anafunga mwaka na Bonanza kubwa la kufunga mwaka la Chalinze Festival...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Kikwete: Fursa za ajira kwa vijana nje ya nchi kipaumbele cha Serikali ya Rais Samia

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kufungua fursa zaidi za ajira kwa watanzania nje ya nchi. Aidha, Mhe. Ridhiwani amesema serikali...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete akutana na Balozi wa Japan, wajadili kuwezesha vijana wa Kitanzania kimafunzo na ujuzi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete amekutana na kuzungumza na Balozi wa Japan nchini Tanzania ambaye pia ni Mwakilishi wa Japan katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Yusushi Misawa pamoja na ujumbe wake alipomtembelea katika...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Chalinze yazidi kushinda mfululizo kwenye mbio za mwenge kwa utekelezaji bora wa miradi ya maendeleo

    Wote mnakumbuka kwenye Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2022 Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze iliyopo mkoani Pwani ilishinda na kuongoza Kitaifa katika Halmashauri zilizofanya vizuri katika ubora wa utekelezaji na usimamizi wa miradi ya maendeleo iliyotembelewa na Mwenge wa Uhuru. Mwaka huu 2024...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Ridhiwani Kikwete apokea msaada wa vifaa tiba na madawati kutoka NMB

    Aziita sekta binafsi kushirikiana na serikali kutatua changamoto za wananchi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani amepokea msaada wa vifaa tiba kwa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwan Kikwete: Serikali kutowafumbia macho wanaofuja fedha za TASAF

    Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete amewaonya watumishi na waratibu wa mradi wa kuondoa umaskini (TASAF) kuhusu matumizi mabaya ya pesa za mradi na kutofuata maelekezo yaliyotolewa kusimamia mradi huo. Serikali imeeleza haya Bungeni wakati wakijibu...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete anaandaliwa Urais 2030?

    Wana JF, hizi taarifa nimezipata kwa mtu mkubwa sana ndani ya TISS na ambaye amewahi kuwa kigogo wa idara hiyo. Ameniambia Mzee Jakaya Kikwete ndiye yuko nyuma ya Mpango huu na sehemu kubwa ya vigogo ndani na nje ya idara. Moja ya mkakati ulifanikiwa ni kuhakikisha baada ya sheria ilikuwa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Chalinze yapata hati mfululizo kwa kuwa kinara ukusanyaji mapato kimkoa, kitaifa

    Halmashauri ya wilaya ya Chalinze mkoani Pwani yenye Mbunge wake Ridhiwani Kikwete, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, leo Ijumaa Novemba 24, 2023 imetunukiwa hati ya pongezi kwa ukusanyaji wa mapato ya ndani kimkoa. Hati hiyo imetolewa na Halmashauri Kuu ya Chama Cha...
Back
Top Bottom