hovyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G Sam

    JamiiForums Tanzania Nimesoma kesi ya uhaini ya kina Anko Tom asubuhi hii, Katuga ni mwanasheria wa hovyo kuwahi kumuona duniani!

    Kwanza nimejua kwamba makesi makubwa makubwa waliowahi kupewa kuanzia kina Slaa, Mbowe na sasa Lissu ni matokeo ya uongozi wa sasa tulio nao ambao ni uongozi wa hovyo. Uongozi ulioshusha kwa kiwango kikubwa hadhi ya Tanzania kama nchi. Kwanza nikiri nilipokuwa nasikia Lissu akitaja taja jina la...
  2. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Sheikh: Wake zetu wa Duniani ni wa Hovyo. Si kama wale wa Mbinguni

    Hawa wa duniani wanakatisha hata nyege sometimes. Peponi tutafaidi sana K. FaizaFoxy Ritz https://www.instagram.com/reel/Ddmbek3umFX/?stkn=NHhsdmN5NnBoZHY0
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bandari kavu zilizopo Kata ya Sandali, Temeke ni kero, malori yanapaki hovyo

    Kata ya Sandali, Temeke kwenye eneo la Wizara ya Mifugo na Kilimo kuna bandari kavu imekuwa kero kubwa sana kwa njia ya kwenda Kanisa la KKKT kupitika sababu malori yamekuwa yanaziba njia na huduma ya usafiri imekuwa changamoto. Yanaharibu barabara yana park mpaka kwenye mitaa imekuwa kero...
  4. simplemind

    JamiiForums Tanzania Kakistocracy- serikali ya hovyo kabisa.

    Serikali inayotawaliwa na watu wa hovyo zaidi, wasio na sifa, au mafisadi inaitwa Kakistocracy. Sifa Kuu: -Uwezo mdogo na rushwa: Viongozi huteuliwa kutokana na upendeleo (cronyism) badala ya sifa au uwezo. Kupuuzwa kwa wananchi: Serikali hutanguliza maslahi ya watawala wala rushwa...
  5. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Lema ni moja ya wanasiasa wa hovyo sana nchi hii imepata.

    Kwa hii sentensi yake moja tu,huyu jamaa ni mtu wa hovyo sana,anasema "Makamu Mwenyekiti alirudishiwa passport yake baadq ya kuongea na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa,ila yeye anasema alirudishiwa na Mwanasheria wa Chama,kwa hiyo issue sio Watanzania ila yeye Lema hajapewa passport na mkurugenzi...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Odemba hayuko analytical kama Khalifa wa The Chanzo

    Mwandishi makini mwenye uwezo wa kudadavua mambo kama walivyokuwa akina Shaka Sali huwezi kuuliza maswali ya kipuuzi kama aliyomuuliza Mwenezi wa CCM iliyokataliwa na wananchi. Kwa sasa mwandishi Khalifa naweza kusema ndio mwandishi very intelligent and analytical. Mfano huwezi kumuuliza...
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Unene, kuwa kibonge ni ishara ya kula hovyo na uvivu

    Ukiona mwanaume au mwanamke ni kibonge, amejazia minyama uzembe ana kitambi/tumbo kubwa ujue anakula hovyo, hana nidhamu ya chakula na pia ni mzembe na mvivu wa kushughulisha mwili. Binadamu hawatakiwi kunenepeana au kuwa na matumbo makubwa kama sio wagonjwa.
  8. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA toa msimamo/utaratibu kuhusu waliiohongwa kuropoka hovyo hovyo

    Erythrocyte msipokuwa wakali na tabia hii ya kuhongwa na kuwapa mwanya wa kuropoka we are heading to a disaster! Heche alikemee hili wazi wazi kuwa mwenye mamlaka ya kutamka contents of that nature ni Makamu Mwenyekiti/Heche peke yake! Toeni "Executive order" kuwa issue za maridhiano and the...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya hovyo ya namba 666 kwenye kitabu cha Ufunuo

    Wakristo tuache ujinga. https://youtu.be/MLxIyMnviyI?si=wDL9LaVjN_QjTG04
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hakuna vyuo vikuu vya hovyo km vinavyomilikiwa na KKKT.

    Kanisa KKKT lina vyuo vikuu kadhaa hapa nchini, hili kanisa limejengwa ktk msingi wa ubinafsi uliopitiliza. Walianza na Tumaini University iliyokuwa Iringa, sasa hivi wameiita Iringa University, huwezi kuta neno Tumaini kwasababu askofu wa Iringa anaona km taasisi yake na ya wahehe. Tumaini...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hii ni tabia ya hovyo na kindezi: huendi kwenye misiba! Mbona huulizi kwenda kuona wagonjwa au wenye matatizo? Tabia za kichawi hizi

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Moja ya sifa za mtu mchawi ni pamoja na hiki ninachokieleza hapa. Kazi kuangalia nani kaja kwenye msiba nani hajaja. Nani Kala nani hajala Nani anafanya nini. Kufiwa hujafiwa wewe unapeleka mambo yako ya kichawi kwenye misiba ya watu. Subiri ukifiwa ndio...
  12. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Uvumbuzi wa ovyo kuwahi kufanywa duniani

    Huu ndio moja ya uvumbuzi wa hovyo na hatari kuwahi kufanywa duniani nayo ni AI Kiswahili wanaita sijui akili mnemba sijui unde sijui. Ila AI ni moja ya vumbuzi mbaya na hatari kuwahi kufikiri na kufanywa. AI ni kitu cha hatari kuliko hata bomu la kinyuklia ubaya unaoendelea sasa ni ushindani...
  13. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Leo asubuhi wazee niliokuwa nawaheshimu sana hapa Kijijini wamefanya jambo la hovyo sana; wameshindana kutangaza msiba. 🤔

    Wakuu, Leo asubuhi nimekaa juu ya jiwe lililoko nyuma ya nyumba yangu naota jua la saa nne. Ghafla nikaona Mzee mmoja anatokea upande wa mashariki (alikuwa anatembea taratibu), nikaangalia kusini nikamuona Mzee mwingine anakuja (huyu alikuwa amenikaribia). Yule Mzee aliyekuwa anatokea...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KAHAMA NI MJI WA HOVYO SANA.

    Kahama ni mji unaosifiwa sana na watu washamba ambao hawajatembea miji ya wenzetu ambao wanatumia rasilimali zao vizuri kupendezesha miji yao. Siku nilipofika kahama nikawa najiuliza hizi sifa zinazomiminwa kuwa kahama ni mji mzuri kwa nini mimi sizioni.Ukianzia miundombinu ya barabara ni...
  15. polokwane

    JamiiForums Tanzania Kwakweli CCM kwa miaka ya hivi karibuni mnatuletea viongozi wa hovyo na wa ajabu ajabu sana sana! Chama kimekumbwa na nini?

    Swali linajitosheleza kwenye sredi
  16. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Nikweli kuzaa hovyo kuna athiri ustawu wa familia?

    Karibuni kwenye kikao
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tajiri anamsihi mwanae kuwa ngono holela inapelekea magonjwa na nzao za hovyo. Masikini anamsihi mwanae kuwa ngono holela inaua nyota na roho yake

    Akili yako ndio ulimwengu wako.
  18. UTPC

    JamiiForums Tanzania Uharibifu wa mazingira kupitia ukataji miti hovyo ni tishio kubwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya - Mbeya

    Uharibifu wa mazingira kupitia ukataji miti hovyo umeendelea kuwa tishio kubwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya. Makala hii inaangazia sababu kuu zinazochochea kasi ya upotevu wa misitu katika wilaya hiyo. Kilimo cha Tumbaku na Nishati ya Kuni Sehemu kubwa ya misitu ya...
  19. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Huu Utaratibu wa kuwarudisha watanzania nyumbani ni wa hovyo. Unahitaji marekebisha ili kukidhi malengo ya kweli.

    Katika kipindi hiki ambacho raia wengi wa kigeni wanakumbana na changamoto mbali mbali za kiusalama hapa Kaburu, kutokana na fujo zinazoendelea nchini. Baadhi ya nchi zenye utu, na upendo kwa raia wao zimetuma ndege na mabasi mengi ili kusaidia kuwatoa raia wao wanaotaka kurudi nchini kwao kwa...
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo hamuwezi kukubalika tena hata mkipiga kelele kubwabwaja ovyo

    Mlishatambulika kuwa mpo Pamoja na CCM na hata wakati wananchi wanapigwa risai ile Oktoba 29 mlikuwa pamoja na CCM mkifanya maigizo ya uchaguzi feki. Leo hii mnazunguka na kujifanya mnapinga uovu na ukandamizaji wa CCM mtandao. Hamuwezi kutoboa hata kitogo.
Back
Top Bottom