holela

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali ipige marufuku hawa madalali holela wa viwanja mitaa

    Kuna hawa jamaa unakuta mtu ana eneo kubwa anataka kuliuza wao wanaamua kuwa madalali, yaani viwanja vinakatwa vidogo halafu barabara wanakwambia hatua tatu. Hivi hatua tatu za miguu nd barabara ije kujengwa njia za watembea kwa miguu, taa za barabarani, two lane road au ndo mwanzo wa bomoa...
  2. UTPC

    JamiiForums Tanzania Biashara holela shubiri kwa usalama Morogoro

    Machi mwaka 2019, maisha ya Bi. Mwajuma Rajabu mkazi wa Tubuyu, Kata ya Tungi, Manispaa ya Morogoro yalibadilika ghafla. Akiwa anauza samaki pamoja na wafanyabiashara wenzake pembeni ya barabara ya Boma, gari lililokuwa likipita lilipoteza mwelekeo na kuwavamia. Ajali hiyo ilimjeruhi vibaya...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kasaka: Kila mamlaka ina nguvu ya kufunga biashara, huu ni mfumo holela

    Mbunge wa Jimbo la Lupa, Masache Kasaka akichangia hoja bungeni leo Aprili 15, 2026 amesema tozo na kodi ambazo wawekezaji wa madini wanapitia ni nyingi na zinaweza kuchangia kushindwa kufanya biashara, na baadhi ya mamlaka zinakuwa na nguvu ya kufunga biashara inapotokea mwekezaji hajalipa moja...
  4. Trubarg

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Vibanda Holela Ubungo/Kijazi interchange

    Ni ajabu kuona zile juhudi zilizofanyika kusafisha jiji miaka ya nyuma zinapuuziwa kutokana na watendaji kutokufanya majukumu yako ipasavyo. Nachojiuliza hivi vibanda vinavyochipukia kama uyoga chini na pembezoni mwa daraja na Songas hamvioni. Au mnasubiria mpaka maduka yawe makubwa ndo mje...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Soko la Mawenzi mjini Mororgoro ni chafu na ni hatari kwa afya ya binadamu hasa nyakati za mvua kutokana na uchafu unaotupwa holela

    Soko la Mawenzi ndiyo kiunganishi Cha wakazi wa Morogoro. Tunaomba mamlaka husika zitusaidie kwa hili kuepuka magonjwa ya mlipuko hasa kipindupindu. Licha ya viongozi kuchukua hela za ushuru kila mwezi lakini hawaangalii afya za watumiaji wa soko Hilo. Ni kero kwa sisi wateja hata watumiaji...
  6. Kyenju

    JamiiForums Tanzania Uuzwaji holela wa silaha jijini Dar es Salaam

    Nipo kwenye jiji la Daresalama, napita na kuvivinjari viunga vyake. Kitu kilichonishangaza ni jinsi Siraha mbalimbali zinavyouzwa kiholela, maeneo ya Kariakoo (soko kuu) nimeona uuzwaji holela wa siraha aina ya visu, mapanga, mundu, shoka, hata vile visu vya kininja. Kwa mujibu wa sheria hizi...
  7. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mauwaji ya watu 1000 yalitokea kiholela holela jeshi tujiulize sisi tunalinda nini sasa inakuwaje raia wafe kwa kiwango kikubwa hivi na sisi tupo tu?

    Mauwaji ya watu 1000 yalitokea kiholela holela jeshi tujiulize sisi tunalinda nini sasa inakuwaje raia wafe kwa kiwango kikubwa hivi na sisi tupo tu?. Hili wala aio suala la mkuu wa majeshi hili ni suala la kila askari wa JWTZ sasa mnalinda nini watu wameuwawa na nyinyi mlikuwa mitaani sasa...
  8. Pfizer

    JamiiForums Tanzania NEMC yakomesha uendeshaji holela wa kiwanda mtaa wa regent estate

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limekichukulia hatua za kisheria kiwanda bubu cha SUMING kilichopo Mtaa wa Regent Estate katika Kata ya Mikocheni wilayani Kinondoni kinachofanya shughuli za urejelezaji wa taka hatarishi aina ya simu za kiganjani chakavu katika...
  9. Mwislam by choice

    JamiiForums Tanzania Ujenzi Holela Zanzibar: Sehemu nyingi hazifuati mipango miji – Moto ukitokea huduma haziwezi kufika!

    Kwa yeyote anayeishi au kutembelea maeneo ya Zanzibar, atakuwa ameshuhudia jinsi ujenzi wa nyumba unavyoendelea kwa kasi maeneo mbalimbali. Lakini cha kusikitisha ni kwamba ujenzi huu kwa sehemu kubwa unafanyika kiholela bila kufuata mipango rasmi ya miji. Eneo la Jumbi juu ya kilima upande wa...
  10. kagoshima

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nani kamsikia Makalla akisemea dhidi ya ufisadi ulooneshwa na CAG, utekaji na, mauaji holela ya raia huko majukwaani zaidi ya kuitaja CHADEMA?

    Wadau hamjamboni? Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu ziara za mwenezi wa CCM. Zaidi ya kumsikia akitaja mara mbili mbili tatu CHADEMA, Lissu sijamsikia hata mara moja akitaja mengine ambayo nitatizo kwa nchi. Mfano, sijamsikia hata mara moja akitaja ufisadi na mafisadi hasa ufisadi wa wazi...
  11. Majitha

    JamiiForums Tanzania Ufanyaji wa biashara holela

    Habarini wana nzengo, Nichukue fursa hii kutahadharisha kile kinachoendelea nchini na mamlaka husika zinafumbua macho na wala hazichukui hatua stahiki. Inashangaza kwamba kwenye miji mingi nchini biashara hufanywa holela pasipo kuzingatia sehemu husiku, na hivyo utakuta wafanyabiashara...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uuzaji holela wa eneo la kijiji unaosababisha Uchafuzi wa mazingira kwa kuchimba moramu kata Usagara, kijiji Nyangomango, kitongoji Nyaruhama

    Kuna tatizo linaendelea hapa kata ya usagara,kijiji Nyangomango,kitongoji Nyaruhama. Kuna uchimbaji wa molamu katika makazi ya watu na mbaya zaidi lipo shimo lefu sana ambalo limetokana na uchimbaji wa hyo molamu hii ni hatari na watu wanaoishi maeneo haya hasa watoto hasa kipindi cha mvua maji...
  13. 888I

    JamiiForums Tanzania Matumizi holela ya dawa, ni tiba au sumu?

    Aliamka asubuhi akiwa na maumivu ya kichwa, Akaenda duka la dawa, akaeleza dalili, na kupewa dawa. Bila vipimo, bila ushauri wa daktari,Siku mbili baadaye hali yake ikawa mbaya zaidi. Hii si hadithi tu ila hii ni hali halisi ya maelfu ya Watanzania. Bi. Fatuma Yusuph ni mmoja wa mashuhuda wa...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mipango Miji: Kwanini kuna stendi holela za mabasi wakati kuna stendi ya Magufuli jijini Dar???

    Katika jambo la kushangaza ni uholela wa stendi za mabasi ya abiria yanayofanya safari kati ya dar es salaam na mikoa mbali mbali nchini kuwa na vituo vyao binafsi tofaiti na kituo stahiki cha serikali cha magufuli kilichopo mbezi mwisho Kwa wakazi wa dar kuanzia magomeni mpaka ubungo kuna...
  15. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania KERO Makongolosi Chunya Mbeya mji unaoongoza kwa utupaji holela wa Takataka na mamlaka zipo zimetulia

    Habari wanaJF ukweli huu mji umekithiri kwa uchafu si ajabu kukuta taka zimetupwa sehemu yoyote mtu anapojiskia na hakuna anayekemea. Kamati ya Mazingira itakuwa wako likizo mpaka warudi mambo yatakua sio mambo je huko kwenu kukoje?
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mpina: Misamaha holela ya Kodi ni Wizi, Serikali inapoteza Mapato kwa Upendeleo

    Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina amesema misamaha holela ya kodi katika bei za bidhaa ikiwemo biashara ya sukari imepelekea serikali kupoteza mapato na kwamba vitendo hivyo ni wizi kati ya wafanyabiashara na watumishi wa Serikali. Mbunge huyo ameeleza kuwa inashangaza misamaha hiyo inayotolewa kwa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa nauli holela za daladala

    Habari, kumekuwa na changamoto kubwa sana kwa abiria tunaoshuka njini kwa kupanda daladala za kutoka bohongwa kwenda usagara tunalazimiashwa kulipa nauli nauli kamili bila kujali tunashukia njini tena nusu ya safari, tunaomba mamlaka ziangalie jambo hili kwani zinaumiza kwa wanaoishia njiani.
  18. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Mzumbe chamtunukia Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi

    https://www.youtube.com/live/4zaJF1ulpWo?si=IAPHRSt9HALIxBDp Chuo Kikuu Mzumbe kinatarajia Kumtunuku Rais Samia Shahada ya Udakatri wa Heshima katika Uongozi wa Chuo kama ishara ya kutambua jitihada zake katika kuboresha Elimu ya Juu Nchini hasa miundombinu,Utafiti na kuongeza idadi ya udahili...
  19. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Zitto Kabwe: Tukishinda tutadhibiti ukamataji holela unaofanywa na Jeshi La Polisi

    Wakuu, Mnakumbuka zile kamata kamata za wapinzani na wafanyabiashara? It seems kama ACT Wazalendo wamekuja na muarubaini wa tatizo hilo Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema endapo chama hicho kitapewa mamlaka na wananchi katika uchaguzi wa Serikali za mitaa...
  20. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ujenzi wa maeneo mengi ya Kariakoo hauzingatii usalama wa Watu na mali zao, hatua zichukuliwe tusisubiri majanga

    Kwa siku za hivi karibuni kama kati yetu kuna ambao wamebahatika kwenda kwenye eneo maarufu la kibiashara Kariakoo jijini Dar es Salaam mtaungana na mimi kwamba kuna ujenzi wa majengo mengi ya gorofa unaendelea kwa sasa. Ujenzi huo unafanyika katika Mitaa mbalimbali ya Kariakoo ambapo kipindi...
Back
Top Bottom