The reasons behind the perceived failures of African leaders are complex and varied, ranging from historical legacies of colonialism, to corruption, weak institutions, lack of accountability, and sometimes poor governance practices. It's important to note that generalizing "African leaders"...
Habari wandugu,
Je kwa level gani ya Elimu ya Automobile Engineering (namaanisha Certificate, Diploma au ni lazima iwe Bachelor Degree) mtu anaweza kufanya yafuatayo:-
Kufanya Diagnosis, Ku-interpret na ku-analyse data
Engine swapping
ECU Remapping
Electrical system maintainance
Mechanical...
Habarini humu wandugu,,
Nipo katika wakati mgumu kidogo na ningependa sana nipate ushauri fulani.
Mimi ni baba wa familia ya watoto wanne.... Mimi na Mke wangu tumefanikiwa kuishi pamoja kwa miaka 13 sasa tena kwa furaha bila shida zozote zaidi ya magomvi madogo madogo ya kawaida ndani ya...
Kila timu duniani inaruhusu goli ila janga KUBWA Simba ni kushindwa kufunga magoli pamoja na nafasi nyingi zinazotengenezwa.
Mechi na Wydad kama tungekuwa na washambuliaji wanaojielewa ilikuwa mapema sana ushindi... Nafasi nyingi zilipatikana ila uwezo mdogo nakukosa umakini kunasababishwa na...
Habarini ndugu!
Kuna mtu kanipiga swali nimeshindwa kumjibu,, yeye alikuwa mfanyakazi sehemu kwa muda wa Miaka 4 na mkataba umeisha juzi Tarehe 31/05/2023.
Amekuwa akiulizia kuhusu kuongeza mkataba kwa muda wa mwezi lakini anaambiwa asubiri.
Jana Tarehe 01/06/2023 akiwa ameenda kuulizia issue...
Ajira mpya zimeshindikana kutengenezwa wakati Population ya watu inaongezeka kama utitiri.
Serikali imefeli kubuni na kuendeleza mifumo iliyopo ya kiuchumi ili izalishe ajira.
Kwa nchi yetu hii, Kiwanda pekee kinachoweza kutoa ajira kwa idadi kubwa ya watu ni KILIMO..
Tumeshindwa kufanya...
Habari wanandugu,
Naulizia kama kuna Chuo kinachofanya Admission mwezi MARCH au miezi yoyote ya mwanzoni wa Mwaka kwa kozi ya Community Development kwa NTA Level 4.
Wengi wenu hamjui yeye ni nani lakini yeye ni muhimu. Latasha Harlins. Mnamo 1991, akiwa na umri wa miaka 15, alienda kwenye soko lake la chakula linalomilikiwa na Wakorea na hakufanikiwa kutoka kurudi kwao akiwa mzima. Mke wa mwenye duka, Soon Ja Du, alidhani Latasha kaja kuiba chupa ya juisi...
Lucy Higgs Nichols ni mzaliwa katika utumwa huko Tennessee, lakini wakati wa Vita vya wenyewe kwa wenyewe alifanikiwa kutoroka na kupata njia yake hadi Kikosi cha 23 cha Wanachama cha Indiana ambacho kilikuwa kimepiga kambi karibu. Alikaa na jeshi na alifanya kazi kama muuguzi wakati wote wa...
Iko hivi, umbali mfupi kati ya Tanganyika na Unguja ni karibia Kilomita 40 ambazo ni sawa na kutoka pale Makutano ya Mataa ya Magomeni Hospitali mpaka Kibaha kwa Mathias.
Uchimbaji na Ukwanguaji wa kisasa wa miamba chini ya bahari kwa kutumia TUNNEL BORING MACHINE inayoweza kukwangua karibia...
Wakati SÉKOU TOURÉ wa GUINEA alipoamua mwaka 1958 kuondoka katika himaya ya kikoloni ya Ufaransa, na kuchagua uhuru wa nchi hiyo, wasomi wa kikoloni wa UFARANSA huko PARIS walikasirika sana, na katika kitendo cha kihistoria cha hasira, utawala wa Kifaransa nchini GUINEA uliharibu kila kitu...
Simba kama moja ya klabu kubwa Afrika inahitaji kuwa na wachezaji wenye mwendelezo mzuri wa perfomance kiwanjani ili idumu kwenye hadhi na nafasi yake.
Tokea msimu huu 2021/22 umeanza imeonekana kwamba Kibu Denis na Bernard Morrison wameingia kwenye kikosi cha kwanza. Ni wachezaji wazuri sana...
Ukiangalia kwa makini kwenye huu ukanda wetu wa Afrika Mashariki na KATI na hata Afrika kwa ujumla wake, soka linaendeshwa sana sana na Taasisi za Serikali, watu binafsi wenye hela na makampuni maana ndo waajiri ambao wana uhakika wa kulipa mishahara na kuhudumia timu kwa uhakika.. ZAMBIA na...
Jana Alhamisi muda wa saa 5 usiku hivi nikiwa natafuta Station za Radio nikaangukia Kiss FM 98.9, niliposikia neno "PID" ikabidi nisikilize kidogo kinachoongelewa maana nami nipo kwenye uwanja huo huo wa mambo ya Afya..
Nilipigwa na bonge la mshangao kwa yale niliyokuwa nikisikia,, maana...
Nafkiri Serikali ya CCM na Watanzania kwa ujumla wetu kuna kitu cha kujifunza kupitia VURUGU zinazoendelea kuhusu kifungo cha ZUMA.
Kiuhalisia asilimia kubwa ya hao wanaondamana na kuleta fujo ni wale ambao wameona wamepata FURSA ya kuonyesha na kupunguza STRESS na HASIRA zao kwa mambo mengi...
Kama inavyojieleza hapo juu ningependa kufahamu kama Sugar Beets ambayo ni mbadala wa Sugar Cane (MIWA) kwenye kutengeneza sukari ya majumbani inalimwa wapi hapa Tanzania.
Pamoja na fedha ya Serikali kuwekewa Ulinzi mzito kwenye awamu hii ya tano lakini bado wapo wajanja wanaendelea na upigaji tena kiulaini.
Ipo hivi, huu mchezo unapigwa Halmashauri za Wilaya/Manispaa. Wakitaka kupiga hela wataanza kutoa Taarifa kwa wafanyakazi katika Wilaya husika kwamba...
Hili swala la wachezaji wa kigeni linaonekana kama zima moto lakini siyo mwarobaini wa Soka letu.
Hata tukiwa na mmoja wa kigeni soka letu bado lipo hapa hapa, tatizo letu kubwa ni ukuzaji wa vipaji tulivyonavyo. Kama tukiweza kusimamia hilo hata hao wa nje hakuna atakaosumbuka nao.
Cha muhimu...
Nimekuwa mtumiaji wa hii route ya KIGAMBONI mpaka KONGOWE kwa muda mrefu nikiwa na safari kati ya Kigamboni na Mkuranga. Kwa ujio wa safari za daladala kati ya KIGAMBONI na MWANDEGE nilipata ahueni ya nauli na muda..
Na hii route madereva na makonda wengi walikuwa wakiipigia kelele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.