miguu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. bahati93

    JamiiForums Tanzania KWANINI MAMBA HANA NGUVU ZA MIGUU

    Watu wengi wanadai nguvu za Mamba zipo kwenye maji, utasikia kwenye maji huwezi kumshinda mamba. hata hivyo huyu Mamba sithani kama kweli itakuwa hivyo akiingia majini. Nimeona kwenye shoo yake kaimba huku kakaa, nikaja kuona clip yake moja uwanja wa taifa anatembea kwa taabu sana. Akisimama...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini Dampo la takataka liwekwe kwenye njia ya Watembea kwa miguu katika daraja la Mirongo, Mwanza

    Naomba kuwasilisha kero kuhusu uwekaji wa dampo la takataka kwenye njia ya watembea kwa miguu katika barabara ya kuelekea U-turn ya Daraja la Mirongo, Jiji la Mwanza. Uamuzi huu umeleta usumbufu mkubwa kwa watembea kwa miguu, kwani njia hiyo sasa imezibwa na kuwalazimisha baadhi ya watu...
  3. Mchalinze

    JamiiForums Tanzania Taa zilizopo kwenye vivuko vya watembea kwa miguu Posta zinaangalia upande mmoja

    Mimi ni mmoja wa watumiaji wa barabara za katikati ya mji (Posta Mpya/Sanamu la Askari). Kuna changamoto kubwa ya kimfumo (design fault) kwenye taa za kuongozea watembea kwa miguu katika eneo la Sanamu la Askari. Shida iko wapi? Taa za kuongozea watembea kwa miguu kwenye kile kivuko...
  4. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Je Ni kweli kiredio ka palalaizi miguu, hawezi tembea mpaka abebwe, je chanzo ni yule demu kumuacha au?

    Video inayo sambaza MTANDAONI ina muonesha kiredio akibebwa kukalishwa Kwa wheel chair, tetesi ni kuwa kapalalaizi, sijui ni kiki sijui kweli ila wanadai kweli mana alialikwa juzi Kwa mondi hakwenda. Inasemekana chanzoni either demu kumuacha au either alitapeliwa 60 millions china, Tusbiri...
  5. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Unasumbuliwa na maumivu ya magoti ,mgongo au ganzi kwa mikono na miguu

  6. Red black

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu mwenye miguu kama hii haruhusiwi kujiunga na jeshi ?

    Hii imekaaje kitaalamu
  7. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Mungu alisahau kutuweka miguu iwe ina shika kitu kama nyani

    Kama inavyosemakana binadamu alivyoumbwa ametokana na wanyama tena ikaonyeshwa kama nyani nadhani kwwnye uumbajiMungu alisahau baadhi ya vitu. Ukiangalia nyani miguu yote ina vodole ambavyo kwenye kujishika vinajishika kwe nye kuruka miti /matawi yaani miguu ya mbele ina vidole vinajishika...
  8. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wabunge Waidhinisha Njia Maalum za Waendesha Baiskeli na Watembea kwa Miguu

    Wabunge wameidhinisha Muswada wa Kenya Roads (Amendment) Bill, 2024, unaolenga kuanzisha njia maalum za waendesha baiskeli na watembea kwa miguu nchini. Muswada huo, uliowasilishwa na Mbunge wa Samburu West Naisula Lesuuda, uliidhinishwa na Bunge la Kitaifa Alhamisi, Agosti 13, 2026. Iwapo...
  9. MIHAYO1710

    JamiiForums Tanzania MAISHA YANGU YA SOCCER VS NEEMA YA MUNGU

    Wakuu ningependa kuelezea kwa kifupi zaidi maana ya neema ya Mungu, kupitia maisha yangu halisi ya soccer. 👉Mimi niliupenda sana mpira wa miguu, lakini mpira wenyewe haukuwahi kunipenda! Ukoo wangu (Upande wa baba na mama) hakuna historia inayoonesha kwamba aliwahi kuwepo mcheza soccer...
  10. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli watu wenye miguu isiyo na uvungu wanakataliwa jeshini? Kama ni kweli zipi sababu?

    Wasalaam wanagenzi na wakuu katika ujenzi wa maendeleo Hili suala nimekuwa nikilisikia sana kuwa watu wasio na uvungu miguuni hawakubaliki jeshini? Je ni kweli? Kama ni kweli kwanini Zipi sababu hasa zinazopelekea wakataliwe? Wajuzi wa mambo mtuambie...
  11. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Ni kweli kuwa Kane alisema alipoteza udhibiti wa miguu yake wakati wa mechi dhidi ya Ghana?

  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Macho, mikono na miguu yako katika tafsiri ya kiroho

    Kwako vinaweza kuwa viungo vya kawaida vya mwili Ulimwengu wa kiroho unatambua viungo hivi kama nyenzo kuu za hatimiliki ya mwanadamu, ambapo 1. Macho yanawakilisha ufunuo na maono 2. Miguu inaashiria hatua na maendeleo 3. Mikono inabeba mamlaka ya uzalishaji. Kwa maana hiyo basi .Macho ya...
  13. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Kushabikia mpira wa miguu kwa Mkristo

    Haya mafundisho mawili yamekuwa magumu sana kuyapokea kupokelewa na waumini waliowengi 1)KATAZO MAPAMBO KWA WANAWAKE NA KUJIREMBA Ikiwemo mavazi ya suruali kwa wanawake(mavazi yampasayo mwanaume kuvaliwa na mwanamke na kinyume chake 2)POMBE/ULEVI,UZINZI,uasherati,NA MICHEZO YA...
  14. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kimalezi na kisaikolojia kwa mtoto huyu anayezunguka na Mama yake anayetembea kwa miguu na mikono barabara ya Uhuru Kariakoo.

    Huyu mtoto anaharibikiwa kisaikolojia,mtoto anayetakiwa kushikwa mkono anamshika Mama yake mgongoni,kwa sababu Mama yake anatembea kwa magoti na mikono,yule mtoto anatazama watu anaogopa anahisi labda yeye ni kiumbe kingine,mtoto mdogo lakini kichwani kwake inaweza kuwa anawaza mambo mengi akiwa...
  15. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kanisukuma kitandani kisa nimepanda miguu michafu

    Leo nimeshindwa kabisa kwenda kazini, mbavu yangu changa ya upande wa kulia nahisi imetenguka Usiku wa jana kulikuwa na kijivua kazini ninapotafutia ugali, nikarudi mida ya saa nne usiku nikiwa nimejaa matope hasa hasa miguuni na kwenye foyengo yangu. Nikamuamsha mama watoto na kumuuliza maji...
  16. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Siku maalumu: Kila wiki ya mwisho wa mwezi Viongozi wawe wanatembea kwa Miguu kwenda Ofisini na kurudi majumbani mwao

    Habari Tanzania !.. Naomba wananchi tuamue na tuanzishe utamaduni maalumu; kwa kila kiongozi wa Taifa wawe wanatembea kwa miguu kutoka mahali wanakoishi kwenda Ofisini na kurudi nyumbani kila wiki ya mwisho wa mwezi. Yaani Jumatatu mpaka Jumapili. Faida 1. Hii itawawezesha kupata uzoefu wa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ninasumbuliwa na kuumwa miguu

    Mimi ni mwanamke nina miaka 28, nasumbuliwa na miguu kuuma hasa nikiwa nimelala au kukaa, nimepima hiv,uti,typhod na malaria sina chochote, naomba mnisaidie ushauri tafadhali.
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kutotumia miguu yako vizuri kutakufanya uzeeke mapema na Haraka

    KUTOTUMIA MIGUU YAKO VIZURI KUTAKUFANYA UZEEKE MAPEMA NA HARAKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Forever young kama ndio unataka kuonekana na kuwa hivyo basi hii mada inakuhusu Sana. Yaani unataka uonekane Siku zote kijana shupavu usiyezeeka. 2. Wakati wengine wa rika lako wakizeeka na...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Njia ya Watembea kwa Miguu imegeuzwa DAMPO la TAKATAKA na kusababisha athari za kiafya (Yombo barabara ya Mwinyi, Kata ya Kilakala)

    Ndugu Wahusika, Napenda kuwasilisha malalamiko rasmi kuhusu hali isiyoridhisha ya njia ya kupita kwa watembea kwa miguu katika eneo letu, ambayo kwa sasa imegeuzwa kuwa dampo la kutupia takataka. Hali hii imesababisha: Harufu kali na isiyovumilika katika mazingira ya makazi Uchafu unaoathiri...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Naomba dawa ya miguu kuwaka moto

    Habari wakuu kwa anaejua naomba anisaidie dawa ya miguu kuwaka moto baadhi ya muda miguu yangu inawaka moto anaejua dawa anisaidie tafadhal
Back
Top Bottom