Baada ya ndugu wa Butiku kuripoti mazingira ya rushwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kumbukumbu ya Mwl. Nyerere (Kwangwa) walipomfikisha kupata huduma, hospitali yatoa ufafanuzi;
Pia soma; Mwenzetu Warioba yupo ICU - Hospitali ya Kwangwa, Watumishi wanatubambikia bili zenye harufu ya...
Kutwa Serikali kupitia Wizara pamoja na TACAIDS mlikuwa na Kampeni yenu ya Kupinga Unyanyapaa kwa Watu walioathirika na VVU.
Sasa kama ile Kampeni yenu ilitumia Mabilioni ya Fedha kupitia Vyombo mbalimbali vya Habari kupinga Unyanyapaa hivi ingekuwa kweli imefanikiwa huu Upumbavu wa akina...
Utoaji Wa Huduma wa Wahudumu wa Afya kwenye Vituo vya afya nchini ni wa udhalilishaji na kutweza utu Wa Wagonjwa/Wahitaji wa huduma ya afya,
Si Sawa Mama Mjamzito kupimwa njia au Kuzalishwa na Daktari/Mtoa huduma wa kiume,
Pia Utaratibu wa Kuchoma watu Wazima Sindano za Makalio uondolewe kwa...
Wizara ya Afya imekosa viongozi waadilifu hadi kuteua wenye tuhuma nzito za ufisadi?
Kupitia jukwaa hili la JamiiForums, tunapenda kuhoji na kuomba ufafanuzi wa wazi kutoka kwa viongozi wa Wizara ya Afya pamoja na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuhusu muendelezo wa teuzi...
Nipo katika hospital ya Wilaya ya Mkalama muda huu.
Naona kila mhudumu wa afya anapita kavailia uniform nadhifu lakini cha kushangaza chini wanavaa yeboyebo tena za shilingi elfu tano tano.
Je, ndio utaratibu rasmi wa Wizara ya Afya?
Anonymous
Thread
afya
huduma
kazini
rasmi
sana
utaratibu
watumishi
wizarawizarayaafya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho na uteuzi wa viongozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uhamisho na uteuzi huo ni kama ifuatavyo:
(i) Dkt. Seif Abdallah Shekalaghe amehamishwa kutoka...
YAH: UHAMISHO NA UTEUZI WA VIONGOZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho na uteuzi wa viongozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uhamisho na uteuzi huo ni kama ifuatavyo:
(i) Dkt. Seif...
Dkt. Erastus Sylvanus, Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Dharura na Maafa kutoka Wizara ya Afya amesema hawajapata malalamiko ya watu kuumwa magonjwa ya tumbo kwa wingi na kwamba wale wenye changamoto hiyo ni vema wakafika hospitali kupata huduma.
Hoja ya Mdau ~ Ni kama kuna mlipuko wa homa ya...
Kweli kabisa mitandao inabaini mapema kabisa! Ktk kupanga bajeti za nchi, bajeti inaongezwa kutegemea nani ni waziri, na anapangiwa makatibu wakuu wa aina fulani. Trend hii ilijionesha kwa Bashe. akaja na program ya mfukoni, akafanya ufisadi anavyotaka, mitandao tukaandika, akina Mpina wakauliza...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Seif Shekalaghe ametembelea kwenye banda la Taasisi ya Saratani Ocean Road lililopo kwenye Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma na kueleza kuwa anahitaji maelezo mengi kutambua ubora wa kazi za Taasisi hiyo akieleza kuwa inajulikana kuwa ni Taasisi imara sana ndani...
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa ameliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuidhinisha kiasi cha Shilingi trilioni 1.8 kwa ajili ya Matumizi ya Wizara hiyo katika mwaka wa fedha 2026/27 Fungu 52.
Mchengerwa ameyasema hayo leo Mei 11, 2026 Bungeni jijini Dodoma wakati akiwasilisha...
Wizara ya Afya pamoja na taasisi zake imeendelea kuimarisha utoaji wa huduma za afya nchini kupitia ukusanyaji wa mapato na matumizi ya fedha katika utekelezaji wa miradi na huduma mbalimbali za afya kwa wananchi.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa leo Mei 11, 2026, wakati...
1/ Kutoka Uyole hadi Mbalizi, wananchi wanakumbana na vumbi lisilomithirika kila siku. Hali hii si tu kero, bali ni tishio kubwa kwa afya za wakazi wa jiji la Mbeya hasa wafanyabiashara. Magari yanatimua vumbi zito sana pale katikakati ya jiji kwa sasa.
2/ Vumbi hili linaongeza hatari ya...
Tunaomba Serikali kuwalipa hela za matumizi na ada wafadhiliwa wa kada za ubingwa na ubobezi katika sekta ya afya wanaosomeshwa katika Vyuo Vikuu nje ya nchi.
Mwaka umepita tangu tumepatiwa hela za kujikimu. Tunaishi maisha magumu nje ya nchi kwa kucheleweshewa hela za matumizi.
Tunaomba...
Mafunzo ya ukusanyaji wa takwimu kwa ajili ya mradi wa “AI-Assisted Ultrasound Feasibility and Assessment of Resources and Integration (SAFARI)” yameanza rasmi Jumatatu, tarehe 30 Machi 2026, na yanatarajiwa kuhitimishwa tarehe 1 Aprili 2026. Mafunzo hayo yanafanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa...
Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Afya ya Kinywa na Meno kutoka Wizara ya Afya, Dk. Baraka Nzobo amesema kuwa, kulingana na tafiti zilizofanyika, inaonesha kuwa kati ya Watanzania watu wazima, zaidi ya asilimia 76 wanakabiliwa na matatizo ya meno, huku watoto wakikabiliwa na tatizo hilo kwa...
Chuo cha Paradigms institute kilichopo kimara Dar es salaam pale wanaandaa waiting wa hovyo kwenye sector ya afya hasa course ya clinical medicine. Yani wanafunzi wanatajiwa majibu ya mitihani tena mitihani ya afya procedure book zinafojiwa mitihani ya cats ya wodini hawafanyi yani hakuna chuo...
Wizara ya Afya imetoa tahadhari kwa wananchi kuhusu ongezeko la magonjwa ya mlipuko yakiwemo mafua makali ya Influenza, UVIKO-19, homa ya Dengue na Kipindupindu na kutoa wito kwa jamii kuzingatia kikamilifu hatua za kinga ili kudhibiti maambukizi.
Taarifa hiyo imetolewa leo Februari 25,2026 na...
afya
covid 19
covid 19 tanzania
dengue
kipindupindu
mafua makali
mlipuko wa dengue
mlipuko wa kipindupindu
mlipuko wa magonjwa
uviko 19
uviko 19 tanzania
wizarayaafya
JE ILIKUWA NI AHADI HEWA YA KUPITISHWA NA KUANZA UTEKELEZAJI WA MUUNDO WA UTUMISHI KWA SEKTA YA AFYA (KADA YA UUGUZI NA UKUNGA) KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 ILIYOTOLEWA NA OFISI YA RAIS – MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA MWEZI MEI 2025?
Habari,
Kwa masikitiko makubwa napenda...
Anonymous
Thread
afya
ahadi
ahadi hewa
fedha
hewa
muundo
mwaka
mwaka wa fedha
ofisi ya rais utumishi
sekta
sekta yaafya
tanna
tnmc
utekelezaji
utumishi
wizarayaafya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.