admission

University admission or college admission is the process through which students enter tertiary education at universities and colleges. Systems vary widely from country to country, and sometimes from institution to institution.
In many countries, prospective university students apply for admission during their last year of high school or community college. In some countries, there are independent organizations or government agencies to centralize the administration of standardized admission exams and the processing of applications.

View More On Wikipedia.org
  1. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Maswali ya Kujiandaa na Usaili wa Admission Officer II Usaili wa Mchujo IFM

    Tarehe 30, vijana walioomba nafasi za 'admission officer' wanakwenda kukutana na mtihani wa mchujo ili kuweza kuwapata wachache watakopita hatua ya pili. Nafasi hizi zina waombaji zaidi ya 3,000, hivyo kama mtu anahitaji na amepania sana kupata fursa hizi ni lazima ajiandae. Maswali...
  2. Beberu Mwitu

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Mawasiliano ya admission office Open University

    Habari za asubuhi wana JF, Niende moja kwa moja kwenye jambo langu. Siku kadhaa zilizopita nilijisajili na mfumo wa kuomba kozi mojawapo pale chuo kikuu huria. Nilikamilisha taratibu zote na baada ya hapo nikapewa password ili nikamilishe taratibu za maombi. Nilipotoka kwenye mfumo na kujaribu...
  3. Isenye

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya admission officer ii utumishi yametoka

    Japo sijachaguliwa kwa kuendelea na hatua inayofuata kwa sababu ya uchache wa watu wanaohitajika,lkn naamini uwezo ninao...ni suala la muda tu,huenda mambo yakakaa sawa siku moja. Mimi ni huyo number 57 hapo nimepata 91% but NOT SELECTED Tuzidi kukaza wadau, better days are coming.
  4. Isenye

    JamiiForums Tanzania Hivi mnataka kuniambia hakuna mtu amewahi kufanya written ya admission officer ii utumishi humu jukwaani?

    Wadau tunauliza mara kwa mara but hakuna anaetoa jibu,mnataka tufeli ndo mfurahi? Kuna paper 14/06/2025. Tupeni muongozo bwana.
  5. Kant Ombe

    JamiiForums Tanzania PCB division 1.3 na diploma gpa ya 5.0 nafasi ipo moja ya admission, unamchukua nani kozi ya MD MUHAS?

    Naomba tulioongelee hili swali, ikiwa we ndo admission officer pale muhimbil (MUHAS) imebaki nafasi Moja tu Kuna mwenye division one point three ya PCB na mwenye GPA ya 5.0 ya clinical medicine utamchagua nani kuingia kwenye kozi ya MD na taja sababu. Uzi tayari
  6. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Multiple Admission 2024/2025

    Majina ya waliodahiliwa round 1
  7. I

    JamiiForums Tanzania Admission capacity za vyuo 2024

    Habari zenu,ningependa kuuliza je, admission capacity za vyuo zinakuwa ni zilezile ambazo wana andika TCU guidelinebook au zina weza kuzidi au kupungua,naombeni afafanuzi🙏🙏
  8. The introvert

    JamiiForums Tanzania 𝗧𝗖U Admission Guide Book 𝟮𝟬𝟮𝟰/𝟮𝟬𝟮𝟱

    Rasmi TCU (Tume inayosimamia Vyuo Vikuu Tanzania) imerelease GUIDEBOOK ya Mwaka Huu 2024/2025 itakayowasaidia Wanafunzi Kuchagua Kozi kulingana na Ufaulu wao na kuzingatia Cutting points zilizowekwa na Vyuo Husika. Elimu Kuhusu Usomaji wa TCU guidebook nitaitoa Muda sio Mrefu hili kila mtu...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Nimepata admission vyuo mbalimbali Europe. Wapi naweza pata full funded scholarship?

    Nimepata conditional admission vyuo mbalimbali. Courses ni masters ya leadership na education leadership. Uingereza nimepata vyuo vinne. Sweden chuo 1 Finland 1 Poland 1 Tatizo ni uwezo wa kujisomesha. Naomba mwenye kufahamu taasisi ninayoweza kuomba full funded scholarship/sponsorship...
  10. Rasasem

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata Admission letter!

    Salaam wakuu, ndugu zangu shida yangu ni kupata Admission letter 2023 kutoka chuo Cha UDSM ili nifanye mchakato wa kupata ruhusa ktk kituo changu Cha kazi, nimejaribu kuwasiliana na chuo bila kupata msaada chanya, kama Kuna mwenye ujuzi wa kusaidia jambo hili tafadhali naomba msaada waungwana@
  11. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Suluhisho La Ufaulu Law School : Wachujwe Kabla ya Kudahiliwa (Before Admission)

    Kwanza kabisa ninai blast tume ya Harrison Mwamwembe haikufanya lolote la kusaidia matatizo ya Law School. Mwamkyembe ni FAILURE katika ku deliver issues kama hizi. Kumbuka ripoti yake ya RICHMOND na Treni ya Metro aliyomleta Tapeli Shumake kutoka Chicago Najielekeza kwenye hoja yangu sasa...
  12. Jozedan56009

    JamiiForums Tanzania Admission Officer (Marketing Expert) anahitajika

    Habari, Nahitajii mtu wa Marketing mwenye uzoefu wa kutafuta wanafunzi kwa ajili ya vyuo vikuu. Vyeti si muhimu, kama uko tayari nipigie tuongeee 0678650509. NB: Wakazi wa Dar tu.
  13. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Nauliza kama kuna chuo kinafanya Admission ya NTA Level 4 ya Community Development mwezi March?

    Habari wanandugu, Naulizia kama kuna Chuo kinachofanya Admission mwezi MARCH au miezi yoyote ya mwanzoni wa Mwaka kwa kozi ya Community Development kwa NTA Level 4.
  14. MropeJP

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya ya HKL anaweza pata University Admission?

    Habari! Poleni na majukumu ya kila siku. Nina ndugu yangu amemaliza form 6 mwaka huu kama private candidate na amepata C ya historia, E ya kiswahili na E ya kiingereza. Je, kwa matokeo haya anaweza pata university admission? Maoni yenu tafadhali.
  15. Father of Chemistry

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa/kujuzwa juu ya hili

    Habari wanajamii, Nawasalimu kwa jina la jamhuri. Poleni na majukumu yenu ya kila siku. Niko mbele yenu kuwaomba ushauri ndugu zangu juu ya hili jamba kuhusu mkopo wa elimu ya juu. Mimi ni mnufaika wa mkopo wa elimu ya juu kwa mwaka 2021/22. Nlikuwa nauliza je, kama kwa mwaka wa kwanza wa...
  16. Sunbae

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Hostel Chuo cha CBE

    Wakuu natafuta nafasi ya kubebwa hapo CBE Dar es Salaam. Mwenye connection tuwasiliane. Ahsanteni.
Back
Top Bottom