vibaraka

  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA iwe makini na hawa vibaraka wa CCM wanaojirudisha kundini. Wataharibu sifa ya kuwa chama cha ukombozi

    Kinachofanya Chadema kukubalika na watu wengi kwa sass ni kwa sababu Watanganyika wanahitaji ukombozi dhidi ya watawala dhalimu wa CCM Wasaliti ambao waliendekeza njaa na uroho wa madaraka wakaenda kuungana na madhalimu alafu baada ya kuona hawapati faida wameanza kurudi Chadema kwa kasi kama...
  2. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Nchi yetu inao vibaraka wengi. Inafanyika michezo ya kulipia baadhi ya watu wafanye vitendo vya kihalifu

    Wakuu Waziri mkuu Mwigulu Nchemba akiwa mkoani Iringa anasema: Ujasusi wa dunia hii, ameufuatilia kwa miaka mingi sana. Anaijua michezo mingi. "Najua haya yaliyotokea Ghana, najua yaliyotokea Congo, najua yaliyotokea Angola, na... najua maeneo mengi yaliyowahi kutokea. Tanzania si alikuwa...
  3. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania CCM ikishirikiana na vyama vibaraka wameunda umoja wao

    Baada ya Chadema kurudi kwenye siasa CCM imeanzisha umoja wa vyama vilivyoshiriki uchaguzi, umoja huo umepewa jina la "VYAMA RAFIKI". Lengo la umoja huo ni kuisaidia CCM kupambana na CHADEMA. Kazi ya kupambana na Chadema ilianza jana huko kanda ya ziwa ambako walianza kwa kumsifu Rais Samia...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Niwaonye vibaraka wakenya wana siasa za kihuni mtu unamtukana mpaka kiongozi, wasituletee siasa zao

    "Nichukue fursa hii kuwaonya wale vibaraka, kuna Wakenya fulani, vibaraka wa Wakenya wale walaji wa malungi, walaji wa muguka. Sisi ni watu na heshima zetu, nchi ina heshima. Hiki kitu kinanishangaza sana. Wakenya wana siasa zao za kihuni, hizi siasa za kihuni za Kenya. Haiwezekani mtu...
  5. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Vibaraka wanaisambaratisha nchi lakini CCM wapo bize na CHADEMA

    Wakati vibaraka wa mabeberu wanasaini mikataba ya hovyo hovyo inayowatia hasara watanzania na Tanzania, chama kinachoongoza nchi Kiko bize kuishambulia CHADEMA. Wakati mabilioni ya fedha za umma yanaibwa ama na watumishi wa umma au watu binafsi, CCM iko bize kupambana na BAWACHA. Tanzania...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mihemko na hasira za mkizi katika siasa za Tanzania, vimekua utambulisho muhimu sana kwa wanasiasa mamaluki wa vibaraka wa magharibi

    Unadhani ni kwanini viongozi hao wa vyama vya siasa na wafuasi wao waliopoteza uelekeo wa kisiasa na kukosa hoja wamekua na mihemko na hasira kupindukia.? Yaani kwao hakuna jema kabisa, yote ni mabaya tu. Na wanaona kila kitu kinachofanyika nchini ni kiro kwao. Wamejawa chuki isiyo na sababu na...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi wale vijana wa CHADEMA waliofanywa mamluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na kuhifadhiwa nchi jirani bado wapo?

    Au kwasasa wameishiwa ubunifu wa porojo, uongo na uzushi mpya dhidi ya taifa lao kwa manufaa na hisani ya mabwana zao waliokua wakiwatumikisha? Na ile ahadi ya kutafutiwa kazi ubiligiji wametimiziwa? Umaskini wa kifikra na unyonge wa kiuchumi unaweza kupelekea vijana wengi wa chadema kufanywa...
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania Bunge liwajadili mabeberu na vibaraka wao wanaojaribu kuivuruga Tanzania!

    Nichukue fursa hii kumpongeza Mhe.Waziri Mkuu Kijana Mwigulu Nchemba kwa kuanza kuanika japo kwa uchache kilichopo nyuma ya pazia. Ni muda mrefu humu tumesema juu ya mwenendo usio na afya kwa Taifa unaooneshwa na mabeberu au waite mabwana waliowatumikisha wabara na hata kuwauza utumwani ...
  9. funaku

    JamiiForums Tanzania Serikali isiyumbishwe na vibaraka dira 2050 ndio mpango mzima

    Kamwe haiwezekani kuwaridhisha hawa wanaojiita wanademokrasia hebu Serikali ijikite katika dira 2050 bila woga wala kubabaika. KWA HISANI YA MTU WATANZANIA!
  10. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 watanzania wana akili sana na wala sio wajinga, dini wala sio hoja yao

    Naona mpo busy sana na mnapambana sana kulazimisha sana mgogoro wa kidini lakini niwahakikishie pasi na shaka watanzania wana akili sana na wala sio wajinga, dini wala sio hoja yao, ukatoliki na uislam wala sio hoja ya wananchi. Hoja ya wananchi ni utekaji ukome, mauaji yakome, na wizi na...
  11. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Balile amesema waandishi wanaoikosoa serikali ni Vibaraka wa upinde.

    Kwa mujibu wa Andiko la Boni Yai (EX-MAYOR Ameandika hivo kupitia andiko hili anaandika Boni Yai BALILE NI MWANDISHI AU DOLA..? MASWALI KUMI (12) KWA BALILE. 1.Balile anawezaje kugeuka kuwa mchomaji wa waandishi wenzake wa Habari..? 2.Balile aliyefundishwa kujifundisha na kukosoa jamii...
  12. 4

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nipongeze Chadema kuwa vibaraka wa wananchi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

    Amani iwe kwenu watu wa Mungu wanajf popote mlipo kila mmoja kwa imani yake, ila sio kwa machawa wa ccm.( zingatia neno sio kwa machawa wa ccm) Rejea mada tajwa. Binafsi nachukua nafasi hii ya kipekee sana ,kukipongeza chama cha Demokrasia na maendeleo( Chadema Tz) kuonesha dunia na...
  13. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Huruma sio malezi Tundu lissu endelea kuwanyoosha hao vibaraka

    Lissu , huruma sio malezi fukuza ,fukuza vibaraka. Tunataka kuikomboa nchi yetu kutoka kwa mkoloni mweusi.
  14. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa mikoani sapotini timu zenu na punguzeni unyonge na kuwa vibaraka wa timu kubwa

    Mimi ni mpenzi wa mpira wa ushindani. Sipendi timu ninayoshabikia ishindeshinde kwa kubebwa au kwa njia za mkato. Ushindi mtamu ni ule wa kutolea jasho. Ningependa sana ligi kuu ya Tanzania iwe na timu imara za mikoani zinazotoa ushindani wa kweli kwa timu kubwa. Huwa sipendi ninapoangalia...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kisiasa na kidini wa Afrika ndiyo chanzo cha umasikini,vita,urasimu,wizi,ufisadi,nk tangu kuondoka kwa wakoloni.

    Afrika bila mapinduzi ya kijeshi hakuna ukombozi wala maendeleo yoyote watakayoona kwani viongozi wa kisiasa wa Afrika wanashirikiana na viongozi wa kodini wa Afrika na wote ni wezi wanaihujumu AFRIKA. Kwasasa MAPINDUZI ya kijeshi ndiyo mzizi wa kila kitu ndani ya Afrika kwa WANAJESHI...
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kwa namna hoja ya No Reform No Election ilivyo na mashiko, Tutarajie kuwaona vibaraka wote wakiji-expose

    Kati ya jambo ambalo Wapinzani wa nchi hii hawakuwahi kulijua huko nyuma ni kwamba sehemu pekee ya kushikilia kwenye nchi hii ili tupate mabadiliko ya kweli kwa maslahi mapana ya Taifa ni KATIBA MPYA. Uzoefu wangu katika kuwa mwanachama hai wa CCM kwa takriban Miaka 30 umenionesha vizuri sana...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Vibaraka wao wa nje ya Tanzania wanataka kutuletea Ushoga, adai wameshindwa kutuondoa wanataka kutuua

    Wakuu Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, akizungumza katika Kongamano la Wanawake lililofanyika jijini Dodoma leo, Februari 4 amedai "Siku hizi wako watu nje ya Tanzania, na wana Vibaraka ndani ya Tanzania ambao wanasema CCM mmekaa sana madarakani. Na mimi nawauliza...
  18. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Wasira: Wengine ni vibaraka wakubwa, waache uhuni na nchi yetu, sisi tunaongoza dola kwa idhini ya watanzania

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema kuna watu nje ya Tanzania wenye vibaraka ndani ya Tanzania ambao wamekuwa wakieleza kuwa CCM imekaa sana madarakani, ambapo amedai kuwa kauli zao hizo ni propaganda huku akisisitiza kuwa CCM itaendelea kuongoza...
  19. Moaz

    JamiiForums Tanzania Serikali nyingi za Afrika ni Vibaraka wa Mataifa ya nje

    Serikali nyingi za Afrika, ikiwemo Tanzania, zimekuwa vibaraka wa mataifa ya nje, hali ambayo inachangia kung’ang’ania madaraka, chaguzi zisizo huru, na ulinzi wa kimataifa kwa tawala za kidikteta. Hii ni sehemu ya mfumo mkubwa wa kisiasa na kiuchumi unaodumaza bara la Afrika, unaoendeshwa na...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Mabeberu na Vibaraka wao wanataka kuleta Ushoga

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa Tanzania haitakubali kulazimishwa kuiga tamaduni za mataifa ya Magharibi, ikiwemo ndoa za jinsia moja, na kusisitiza kuwa CCM itaendelea kuongoza kwa ridhaa ya Watanzania kuepuka mambo hayo. Akizungumza Januari...
Back
Top Bottom