Cristiano Ronaldo amemtumia ujumbe wa heshima Lionel Messi baada ya nyota huyo kucheza mechi yake ya mwisho akiwa na timu ya taifa ya Argentina.
Ronaldo amesema Messi ametumia miaka mingi akiitumikia Argentina na ameacha historia itakayodumu milele, huku akimtumia pongezi na heshima kwa...
Lionel Messi ameaga soka la kimataifa akiwa na Argentina kwa hisia baada ya kucheza mechi yake ya mwisho dhidi ya Benin, huku mastaa wenzake wakimsifu kwa mchango wake mkubwa katika historia ya timu hiyo, akifunga ukurasa wa safari ya kipekee iliyomfanya kuwa mmoja wa wachezaji wakubwa zaidi...
Kombe la Dunia lilivoisha mwamba si alitangaza anastaafu kuchezea team ya Taifa Portugal?
Cristiano Ronaldo kustaafu soka la kimataifa baada ya kombe la Dunia 2026
Mbona leo Tena uwanjani Portugal vs Wales?
Cristiano Ronaldo ametoa kauli inayoweza kuwa ishara kubwa ya mwisho wa safari yake ya soka, akisema mwaka 2026 huenda ukawa mwaka wake wa mwisho kucheza soka la kulipwa.
Akizungumza katika mahojiano na jarida la Vogue, nyota huyo mwenye umri wa miaka 41 amesema:
“Huenda huu ukawa mwaka wangu...
Inasemekana kuwa Cristiano Ronaldo na Georgina Rodríguez walisaini mkataba wa kabla ya ndoa mnamo Agosti 10, 2026, siku moja tu kabla ya harusi yao ya faragha nchini Ureno.
Naamini tulishaletewa habari hii hapa jamvini lakini hebu kidogo tuuelezee kwa ufupi mkataba huo.
Mkataba huo...
Katika mitandao ya kijamii kumekuwa na picha ikisambaa ikumuonyesha mchezaji wa mpira Chiristian Ronaldo akiwa amefunga ndoa ,je picha hiyo ni ya kweli?
Hawa miamba wamefanya ulimwengu umefurahi sana kila mmoja kwa nafasi yake kwa kile ambacho wamekionyesha kwenye mpira wa miguu.
Ni asilimia ndogo sana wanaweza kuwepo kwenye kombe lijalo la dunia kulingana na umri wao na jinsi soka lilivyobadilika kwa kutoa nafasi kwa vijana zaidi, hivyo kasi...
Baada ya Portugal kutolewa na Spain kwenye World Cup 2026, Cristiano Ronaldo alisema Euro 2016 kwake ina uzito sawa na World Cup.
“Watu wanaweza kusema chochote wanachotaka… lakini kwangu, kuipa Portugal Euro ilikuwa na uzito sawa na World Cup kwa hiyo, nina furaha.” alisikika "MBUZI" huyo.
Je kwanini Ronaldo wa 20's still anaonekana bora licha ya kuwa kitakwimu zinambeba Mbappe
Jibu fupi ni: Ronaldo wa 20’s zake alipimwa kwa zaidi ya “namba”, Mbappé anapimwa zaidi kwa “takwimu”. Na hayo mawili si kitu kilekile.
Hebu tuchambue 👇
1. Muktadha wa zama (era tofauti)
Ronaldo (CR7)...
Cristiano Ronaldo sasa ndiye mfungaji bora zaidi wa Portugal kwenye historia ya World Cup 🔥
Baada ya mabao yake mawili dhidi ya Uzbekistan:
Ronaldo amefikisha mabao 10 ya World Cup 🔥
Akimvuka gwiji wa zamani wa nchi hiyo Eusébio da Silva Ferreira aliyekuwa na mabao 9
Jamaa anadai amerudi...
Cristiano Ronaldo aliisaidia Portugal kuifunga Uzbekistan 5-0 baada ya kufunga mabao 2 kwenye mchezo huo.
Mabao hayo:
Yamekatisha ukame wake wa mechi 10 bila kufunga kwenye mashindano makubwa.
Na pia yakamfanya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga kwenye World Cup 6 tofauti.
Ronaldo sasa...
Paul Scholes ameibua mjadala mkubwa baada ya kumchana Cristiano Ronaldo kufuatia mwanzo mbovu wa Portugal kwenye World Cup.
Akiongea kwenye podcast ya The Good, The Bad & The Football, gwiji huyo wa Manchester United alisema:
“ Nadhani ni ngumu kwa kocha… nilimuuliza Roberto Martinez...
Baada ya kutupia mabao mawili jana dhidi ya Croatia, Harry Kane sasa amefikisha mabao 10 ya World Cup na kumuacha Cristiano Ronaldo mwenye mabao 8 😅🔥
Kabla ya World Cup hii kuanza wote walikuwa sawa na mabao 8 lakini Hurricane mwenyewe kaamua kutemana na Penaldo fasta tu ⚽🔥
Captain Kane...
Kuna wakati kulikuwa na ubishi nani mkali kati ya dogo Sisko(jini) na Ronaldo (mwanasayansi) kiukweli kwa kipindi kile angalau angalau angefurukuta ila alikuwa kila akiwekewa dau acheze naye anakimbia au akijua kwenye mashindano Sisko yupo jamaa hashiriki hayo mashindano.
Sasa bwana jamaa hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.