Rangelo Maria Janga (born 16 April 1992) is a Curaçaoan professional footballer, who plays for NEC Nijmegen, on loan from Astana, and the Curaçao national team.
Musevi kasema hajui kinachoendelea mradi wa Tanga. Hii ni nchi ambayo mpaka leo hakuna plant ya kusafisha gas maana wale Norway na wamarekani wamegoma kuwapa 10% viongozi wetu toka wakati wa kikwete.
Yaani Tanzania tumepata gas miaka mingi lakini hata umeme wa uhakika hatujapata mpaka bawa la nyerere!. Uganda angalieni walivyoendeleza miradi ya mafuta kuanzia uchimbaji wa mafuta, bomba la usafirishaji na usafishaji. Kenya hawana hata mafuta ya maana wanajengewa mradi wa $17B. Sasa yaani hii...
Wanajamvi natumaini mu wazima na mnaendelea vyema sana....!!
Taifa la malawi lishawahi kupitia changamoto kubwa kipindi cha COVID na moja ya kiongozi wa taifa hilo alipiga kelele na kupaza sauti akiwasihi raia na waumini wa dini zote kumuomba Mungu atende miujiza taifa livuke salama...!
Lakini...
Miaka 10 iliyopita, Serikali ilipiga marufuku viroba vilivyokuwa vikitumika kuhifadhia na kuuza pombe kali, ambavyo vilitajwa kuwaathiri zaidi vijana na watoto kutokana na kupatikana kwa urahisi. Hatua hiyo ilichukuliwa miongoni mwa juhudi za Serikali za kudhibiti matumizi ya pombe na wakati huo...
Anonymous
Thread
afya
hatua
janga
kabla
katika
mamlaka
mpya
nchini
sura
tishio
tishio kwa afya
vijana
viroba
Kabla ya AI kwa ujumla kila developer ambaye alikuwa na access ya computer na internet alikuwa na uwezo wa kuandika software kutegemea na uwezo na juhudi zake mwenyewe, tools karibia zote za programming, ide, compiler, frameworks learning material zilikuwa zinapatikana bure au kulikuwa na...
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Huyu baharia wa "SAUZI" akitumika vizuri na Polisi/Uhamiaji, anaweza kuwa Balozi wa maana sana katika kupambana na janga la vijana wadogo kuvuka mipaka bila utaratibu.
Ndugu Katibu Mkuu, Wizara ya mambo ya ndani.
Natumai barua pepe hii inakukuta ukiwa mzima wa...
Social networks zimezalisha kundi kubwa sana la watu wanaojiita wataalamu wa kila kitu. Leo anakushauri kuhusu afya, kesho mahusiano, keshokutwa biashara, halafu Jumapili imani na maisha kwa ujumla.
Tatizo lao kubwa ni moja: wanatoa ushauri wa jumla kwenye matatizo ambayo yanahitaji kueleweka...
Kichwa cha Habari: Uchambuzi: Kamari ya Hatari ya Benchi la Ufundi Yanga kwa Diarra—Je, Hawakujifunza Kitu Kwenye Janga la Pacôme Zouzoua?
Wakuu salamu, Nimekaa na kutafakari sana mwenendo wa idara yetu ya ugolikipa pale Jangwani, na kwa kweli kama shabiki na mdau wa soka, siko sawa hata...
Kamari imekuwa janga kubwa, hasa kwa vijana na watu wengi kwa ujumla. Imeua ndoto nyingi na kusababisha watu kupoteza mali, kazi na hata maisha.
Zaidi, michezo ya kubashiri mtandaoni kama casino, Aviator, JetX na mingine imekuwa changamoto kubwa kutokana na urahisi wa kuifikia.
Hakuna dalili...
🚨 Breaking News 😳💔💔
50 Cent says marriage is the worst contract a man can sign — “it’s a bad deal!” 😳
50 Cent recently made it clear that he views marriage as a “bad contract” — and he’s urging men to think twice before signing on the dotted line.
What He Said:
· Marriage is the worst...
Watanzania wanolipa income tax ni kama million 2 hivi kati ya watu million karibia 70
Kuna post mtu alisema watanzania wanaolipa kodi ni million 2 cha ajabu watu wakamshambulia sana kwamba tunalipa kodi
Ila nilichogundua watanzania bado wapo gizani na wengi hawaelewi kwamba kuna kodi za aina...
Habari wakuu
Niende kwenye ujumbe moja kwa moja kumekuwa na tatizo ambalo tunalichukulia kwa masiahara sana kwa sababu madhara yake sio yanaweza kuonekana kwa macho na kwa haraka, tunajifariji kuwa betting ni Ajira, hili ni bomu ambalo baada ya miaka kumi mbele tunakuwa na jamii ya watu wenye...
Mohamed Said anakumbuka wimbo waliokuwa wakiimba utotoni huko Mnazi Mmoja, Dar es Salaam, walipokuwa wakicheza kwenye mapembea:
"...tukikaa kwenye kile tulikuwa tunaimba mchimba kisima akaingia mwenyewe wewe kaingia mchimba kisima ndoa hii mchimba kisima kaingia mwenyewe fedha hii..."...
Vikwazo maana yake ni kutengwa na mataifa katika nyanja mbalimbali
Vikwazo ni hatari sana,ni janga na vinatesa sana.
Kuna aina nyingi sana za vikwazo lkn vikwazo kwa kiuchumi na kisiasa ni hatari kuliko vyote.
-Kuna vikwazo vya nchi moja kuiwekea vikwazo nchi nyingine,mfano Marekani kuiwekea...
Niliwahi kuandika humu kuhusu biashara ya WIFI kwenye jukwaa la story of change lakini watu walipokea kitofauti kwenye jukwaa lakini kiuhalisia iligusa wengi na watu wanajipatia kipato. Biashara hiyo 1 imezalisha biashara au ajira zaidi ya wazo hilo.
Sasa nasikitika sana kampuni ya serikali...
Mimi ni mdau wa elimu na ninaomba utambulisho wangu ubaki kuwa siri kwa sababu za usalama.
Naomba mamlaka husika zifanye uchunguzi wa kina kuhusu mwenendo wa Mkuu wa shule huyu kutokana na tuhuma zifuatazo:
Matumizi mabaya ya fedha za umma: Inadaiwa hutumia fedha za shule bila idhini ya vikao...
Asalam aleiko
Moja kwa moja kwenye Mada
Siku za hivi karibuni nimeanzisha harakati za kuzitandika mbususu ipasavyo na tena bila huruma.
Sasa cha ajabu kati ya mbususu 10 ninazokutana nazo basi 8 lazima ziwe kavu.
Soo nauliza ni mimi ndio nina bahati mbaya au k kavu ishakua janga la taifa?
Wanajamvi
Kumekuwa na ongezeko kubwa la vyakula kuwa na michanga hasa sukari na unga wa ngano au ugali na sijui shida ni nini
Tunaomba mamlaka zinazohisika zijaribu kulifatilia hili suala kwa ukaribu ili kupunguza madhara ya kiafya yanayoweza kujitokeza baadaya kwa walaji
Imekuwa ni jambo la...
Wanahisi wamekuwa neglected katika jamii inayowazunguka ambayo imekataa ku-prioritize afya ya akili.
Sasa ndani ya JF with hidden identity anaona ndio pahala sahihi pa ku-shout out🗣🗣makunyazi yake, sio kwamba apunguze stress ila bila kujua ana jihukumu kwa namna alivyo kwa kuyasema mambo mazito...
Maendeleo ya sayansi na teknolojia ni hatua muhimu sana kwa ustawi wa binadamu na ni njia rahisi ya kufikia malengo endelevu ya kidunia "'sustainable development goals" lakini lipo swali la kujiuliza nyuma ya yote hayo.
Sayansi na teknolojia imechangia urahisishaji wa maisha ya binadamu kuliko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.