mke wa mtu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Tuweni makini na wake za watu, kuna mtu kaumizwa kisa kutembea na mke wa mtu

    Mwenyezi Mungu ameumba idadi kubwa sana ya wanawake kuliko wanaume. Yani uwiano wa mwanamke kwa mwanaume ni 3:1 na hata sayansi (genetics) imetuthibitishia hilo. Sasa tamaa za kimwili zikizidi matokeo yake majuto yasiyokwisha maisha yako yote mpaka unaingia kaburini. Hakuna kitu cha aibu kama...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ni aibu sana kijana wa kiume kujisifia kuwa unatongozana na mke wa mtu. Hizi tabia mlijifunzia wapi?

    "Nyakati ngumu huunda wanaume wenye nguvu, wanaume wenye nguvu huunda nyakati nzuri, nyakati nzuri huunda wanaume dhaifu, na wanaume dhaifu huunda nyakati ngumu." Kipindi unakuwa uliwahi kusikia wakubwa zako wanashare stories za kula na kutongoza wake za watu? Mke wa mtu ni uchungu uliojificha...
  3. technically

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni upuuzi: Mke wa mtu anasema ananipenda Sana

    Ndoa kweli zimeisha, zimeisha ndoa zilikuwa zile za mababu na baba zetu ndoa Sasa hakuna. Imagine mke wa mtu anasema ananipenda Sana na anasema hawezi kuniacha anasema anataka muda wa kutosha na Mimi Leo nilikuwa naye namsikiliza. Mtu waliyevalishana Pete anamponda je ndoa sio upuuzi? Ndio...
  4. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Sitasahau nilipokuwa natembea na mke wa mtu

    Watanganyika msidanganyike Zanzibar ni nchi ina sifa zote za kuwa nchi tujipange kudai taifa letu la Tanganyika, Zanzibar wana rais, bunge, mahakama zao, vitambulisho vyao vya taifa lao, wana taasisi zao za kiserikali, wana haki nyingi wakiwa huku Tanganyika kama kununua ardhi, kuwa viongozi...
  5. tpaul

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM achota mke wa mtu; wananchi wamemkataa

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwenyekiti wa CCM huko Kilimanjaro (Chugga) amemrubuni mke wa mtu na kumuoa (bibi harusi). Kufuatia kadhia hiyo, wananchi wa eneo hilo wamecharuka vibaya sana wakimtaka mwenyekiti huyo awajibike kwa ukware wake wa kuchukua wake za watu mara kwa mara huku akijua...
  6. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu mwanamke ni mke wa mtu kweli wakuu?

    Siko hapa kujitapa kuwa usafiri wangu ni wa ndege kama ambavyo baadhi yenu mnaweza kutafsiri. Ila issue nzima iko hivi leo asubuhi nilikua na flight ya kuelekea mikoa ya nyanda za juu kusini. Pembeni yangu alikaa binti mmoja mrembo aliyekua katulia tuli..katika uchokozi wangu nikagundua yule...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa sana na mke wa mtu alienidhamiria bila kuchoka, nawezaje kumfanya ajue haitawezekana bila kuvunja urafiki wetu?

    Kuna binti mmoja, ni mke wa mtu, lakini ananiumiza kichwa sana siku hizi. Mume wake alimfungulia duka kubwa tu awe anakuwa bize, na kwa kuwa hata mimi nina duka katika mitaa hiyo, tulianza kuzoeana kama majirani. Kila nilipopita na kumuona, sikusita kumsalimia na mara nyingi tulikuwa tunapiga...
  8. bwawani90

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kufanya kazi ofisi moja, mke wa mtu ambaye ni mtumishi wa serikali akanitrap

    Kufanya stori iwe fupi Huyu nitampa jina la Mfp, mumewe alifanya kazi benk flan sitaitaja, mrembo cheusi flan, kakikuwa na matatizo ya kiafya kakaomba light work na mambo kadhaa. Ni mara kwanza kumuona alidai yeye ananifaham na mifano ya maeneo tukopishana. Basi nikaona tu huu ni mtego, Kwa...
  9. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi first date na mke wa mtu inatakiwa kuwa vipi?

    Nina miadi na mke wa mtu leo (date) ila sijui namna ya kuhandle situation. Wajuzi nisaidieni.
  10. Isenye

    JamiiForums Tanzania Kuna ambae ana uzoefu wa kuzaa na mke wa mtu humu?

    Jamani wakubwa zangu shikamooni. Mdogo wenu nimeyakanyaga, kuna mwanamke ni mke wa mtu tena wa ndoa kabisa. Katika kuendekeza ngono zembe nimejikuta nimempiga mimba. Cha kushangaza yeye anaonekana hana hata wasiwasi,nimemuambia tuichomoe kakataa. Wakuu,hii kesi naimaliza vipi?
  11. haszu

    JamiiForums Tanzania Ni kweli ukitembea na mke wa mtu na wewe wakwako wanatembea nae?

    Wadada wananitongoza sana ikiwemo wake za watu, ila kuna mmoja huyo naona nitajitolea muhanga, mana ni mzuri kisha ananisumbua sana. Tatizo moja tu, nasikia ukitembea na mke wa mtu na wako anafanyiwa, hicho ndio kinaniwazisha mana nina wivu sana, je wadau ni kweli au nitimishe matamanio ya...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Wanaume wengi Wanajihusisha na Mahusiano na Mke wa Mtu?

    Nimekuwa nikijiuliza swali hii kwa muda sana! naomba wadau tujadili kwa pamoja Kwa Nini wanaume Wanajihusisha na Mahusiano na Mke wa Mtu? Na wengine utakuta anamke wake ila atatembea na mke wa mtu mwingine:cool:
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu anapokuambia amekumiss anakuwa na maana gani haswa wakuu?

    Za saizi wajumbe? Nilikua safari kama week moja hivi sikua nyumbani. Sasa leo nimerudi, mpangaji mwenzengu ambae ni mke mtu aliponiona akaniambia "Waooo, Kyanyangwe nilikumiss sana " Sasa wakuu, mke wa mtu kukuambia kakumiss ina maana gani haswa?
  14. Isenye

    JamiiForums Tanzania Huyu ni mke wa mtu na yuko tayari kuniuzia.

    Kuna manzi nilikua na mazoea nae,sasa leo nimemtest kumuomba k,na yeye karidhia kuniuzia. Kataa ndoa wana haki ya kuponda ndoa kwa hali hii.
  15. shuka chini

    JamiiForums Tanzania Kumbe na mchepuko mke wa mtu anawivu

    habari wadau. Poleni na majukumu ya kilasiku. Stori ipo hivi kuna dada fulani alijilengesha nikaomba mzigo akanikubalia tukaenda kupima tukakuta tupo fresh tukaanza kukutanisha vikojoleo. Kumbe ni mke wa mtu mimi nilikuwa sijui.nilikuja kujua baadae .nikamuuliza kama kweli nimke wa mtu...
  16. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Wenye Guest House na Lodge Siye Tunaochepuka na Wake za Watu – Tunaomba Muondoe Magrill Madishani!

    Wapendwa wamiliki wa Guest House na Lodge kote nchini, Kwa heshima zote, nyenyekevu, na kwa maumivu ambayo hayawezi kuelezwa kwa lugha ya kawaida, tunawaomba kwa moyo wa dhati MUONDOE MAGRILL MADIRISHANI! Hili siyo ombi la kawaida. Huu ni wito wa dharura kutoka kwa sisi watu wa vishughuli vya...
  17. Maleven

    JamiiForums Tanzania Unapomkopesha mke wa mtu kisha haoneshi dalili ya kulipa unafanyaje?

    Nimeongia mtego flan, kuna mke wa mtu amenikopa hela, karudisha laki mbili na nusu bado namdai nyingine, ahadi ya kulipa imefika lakini ananikwepa, mume wake hafahamu haya. Nifanyeje?
  18. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Mwanaume usilale na Mke wa mtu Hili ni deni litakaloitesa damu yako milele, Usiwe na mahusiano na Boss wakoMkigombana utapoteza

    🚨MWANAUME👂 1- Usilale na Mke wa mtu Hili ni deni litakaloitesa damu yako milele 2 - Usiwe na mahusiano na Boss wako Mkigombana utapoteza mapenzi & maisha 3 - Usije kupendana na EX wa mshikaji wako Akiachwa na msela, ameachwa na Familia🙌 4 - Ndugu yako akikufundisha Kuvua KAMWE usirushe nyavu...
  19. haszu

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu ame “crush” kwangu hadi namuonea huruma.

    Nikienda dukani kwakwe anachanganyikiwa sana, kuna muda anaongeza change, kuna muda ata haelewi anafanya nini. Hata anapopima vitu, anazidisha sana. Yani mke wa mtu anampenda ghafra mwanaume mwengine hadi anachanganyikiwa. Nadhan hajazoea kukutana na ma handsome, mana sio kwa kuvurugwa huku...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Njombe: Erasto Raphael kabupa mwenye miaka 50 afariki dunia akishiriki tendo na mke wa mtu baada kuzidiwa ghafla

    Erasto Raphaely Kabupa (50) mkazi wa kijiji cha Igelehedza kata ya Ilembula wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe amedaiwa kufariki Dunia wakati akishiriki tendo la ndoa na mke wa mtu katika nyumba ya kulala wageni. Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Njombe Mahamoud Banga amethibitisha taarifa za...
Back
Top Bottom