epl

 1. babalao 2

  Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2020

  Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda. Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu...
 2. kimbendengu

  Magoli mazuri ya EPL

  Wadau nimejaribu kufikiri hivi haya magoli yaliyofungwa misimu ya nyuma naona leo kile king'amuzi kingekitaa kabisa maana ni hatareee kama sio balaa
 3. K

  Eti liverpool ndio bingwa wa EPL 2019/20? (msijidanganye)

  Habari wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, ni makosa makubwa sana kudhani kuwa eti liverpool tayari ameshakuwa bingwa mpya wa epl msimu huu.. Kwa navyomuona PEP na man city yake naona kama ndio aenda kuimarika zaidi kuliko msimu ulipokuwa unaanza. kinachonipa wasiwasi kuona...
 4. Titicomb

  Wale wazee wa Livarpool inabebwa ichukue ubingwa wapo kimya week hii!

  Baada ya Sadio Mane kuporwa goli lake na VAR, eti paja sijui kwapa lake limezidi last defense line humu jukwaani na JF na mitandao mingine imekuwa kimya kabisa. Mara ya pili hii VAR inasema mchezaji wa Liverpool FC amezidi mstari (ameotea). Timu yao pendwa imetoka sare na kitimu kidogo. Jamaa...
 5. I

  Ni ipi ligi bora kati ya La Liga na EPL?

  Kumekuwa na mjadala mkubwa sana kuhusu ipi ni ligi bora kati ya la liga na EPL. Niseme kitu kimoja ambacho kinawachanganya watu ni vitu viwili: ushindani na ubora, watu wameshindwa kutofautisha both things. Ligi ya Uingereza ni ligi ya ushindani lakini si bora, ukiangalia team kama Man U na...
 6. Titicomb

  Shabiki wa Liverpool wampa jina jipya mchezaji Kun Aguero

  Habari wadau wa michezo? Mashabiki wa damu wa Liverpool wana hasira sana na Aguero sababu ya unyama anao watendea mara kwa mara wakati timu yao LFC inapokutana uwanjani na Manchester City FC. Sasa katika kupoza machungu na kushangilia hasimu wao kupoteza pointi 2 jana tarehe 17/08/2019 Man City...
 7. lembu

  Sadio Mane: My parents told me pursuing football was a waste of time

  Sadio Mane (Liverpool star) said that his parents have been telling him pursuit football career was a waste of time, right up until he signed his first contract in 2011 with Metz, before moving to Red Bull Salzburg and Southampton prior to his Liverpool switch. Mane, 26yrs old, has developed...
Top