Wakuu nimemwita fundi wa kuweka sink kwenye vyoo viwili lakini amechafua kwa kuweka cement na hivyo sink zote zimepoteza ule weupe wake sasa mwenye uelewa wa kuondoa huu uchafu kwenye haya masink anisaidie.
Asante.
Habarini wanandugu.
Nimekuja kwenu naomba ajira mim ni fundi welding nina cheti.
Nina uzoefu kwenye arc pia nina uzoefu wa wastani kwenye MIG welding
Namba yangu hii 0763329715
Habari ndg zangu wana JF,
NAMSHUKURU MUNGU kwa kunipa wazo hili la kuleta ombi la kazi hapa jukwaani,,,mimi ni fundi wa umeme mwenye uzoefu mkubwa. Nimejiajiri mimi mwenyewe, kutokana na hali ilivyo kwa kwa sasa, kwa kifupi sina kazi! Au by the way kazi ni...
Unazikumbuka hizi Learn Back, Make It Rain- Fat Joe, vipi kuhusu the iconic song kutoka westcost Still ya Dr Dre, Just A Lil Bit 50 Cent, Poppin Them Thangs - G unit, Gimme That-Run It za Chris Brown mzee list ni ndefu sanaaaaaaaaa kwa wakati wako google it.
Huyo si mwengine basi ni Scott Scotch...
Habari if! Naomba mwenye kumjua fundi makini wa kuniwekea fog lights kwenye gari yangu Toyota axio kwa Dar au Arusha , mkinifahamisha pia gharama nitashukuru , fog lights za round ( HID bulbs)
Habari za Jioni ndugu wadau.
Nahitaji fundi mtaalamu wa mashine kubwa kubwa za viwandani.
Naomba msaada wa kuonganishwa kama kuna mdau yoyote anayemfahamu.
Ahsante
Cube Operator (Electrical)
Job Description :
Reports To: Production Manager
Serengeti Breweries Limited (SBL) is a fully integrated beverage business in Diageo Africa (supply and demand for beer and spirits). It is a subsidiary of East Africa Breweries Limited (EABL), the largest business unit...
Habarini wakuu
Naomba kujua fundi mzuri na wa kuaminika wa PC Kwa Dsm upande wa hardware na software hasa maeneo Tandika au Temeke ikishindikana maeneo Hayo basi kokote ndani ya Dsm
Nawasilisha
Mimi ni fundi mahiri wa ujenzi. Nifundi mzoefu na mbobezi kwenye kujenga:-
Nyumba za makazi (single storey na double storey house)
Nyumba za biashara
Ujenzi wa mabwawa na
Mfumo wa kisasa wa maji taka ambao haujazi shimo uchafu
PIA
Nafanya renovation ya kubadili nyumba...
Nipo mkoa fulani gari yangu ilipata ajali nmeleta kwa fundi. Hapa niliambiwa ndio mtaalamu wa hizi gari ni Toyota Hilux D4 zenye speed 200. Ilipata rabsha kidogo ikabidi nilete kwa fundi akague kila kitu.
Gari imerekebishwa upande wa body mbele kidogo na chassis ilipinda hivyo ilibidi kushushwa...
Hii ni mara ya pili sasa mafundi nguo wananiharibia nguo zangu!
Namwambia vizuri tu kwa lugha inayoeleweka "...punguza urefu na upana." tunakubaliana... nampa pesa yake nasepa.
Leo nimekuja kuchukua nguo zangu kubabake zimemodolewa zote! Hapa nilipo nimechukia kinoma!
Nahisi sinaga bahati na...
Naomba kwa wale wafanyabiashara wa nguo au watembeaji kama mimi mnaoweza nisaidia kujua ni wapi naweza pata duka la nguo za watoto wa kiume hasa hasa SUTI au pigo zozote za ki ofisi na ki utu uzima uzima naomba mnisaidie location.
Au kama yupo anaemjua fundi mshonaji anaeshona suti kali kali za...
Fundi Nguo anahitajika haraka, awe Ana uwezo wakushona mitindo ya kisasa hasa ya wanawake, mchapakazi mbunifu na mwenyekujituma. Awe na ujuzi wa miaka 3 na ziadi, Mkazi wa Dar..Piga namba hii 0737610682
Sijamaliza hata miezi mitatu tangu nimiliki funguo ile watu wanaichomekaga kwenye ruksi za suruali inaonekana kwa nje hivi, nishaanza kuona 'joto ya jiwe' ya kumiliki usafiri!
Juzi Jumatano nilikua natoka kwa Aziz Ally kumpeleka 'rafiki yangu wa kike'. Wakati narudi ishakua usiku mishale ya...
Ukiachana na mambo ambayo watu wengi wanaangalia wanaponunua magari used ambapo mengine ni madogo. Kuna mambo ambayo huwa ni ya kiufundi zaidi ambayo huwa ni vizuri pia yakaangaliwa. Kwa watu ambao wameshawahi kununua magari na yakawasumbua sana wanaweza kuelewa vizuri zaidi ni kitu gani ambacho...
Nafunga n kurekebisha Ving'amuzi vyote vinavyotumia dish na dish zote za channels za bure iwe KU / C band.
Mzoefu kwenye kufunga / kuchora mchoro wa mfumo wa tv channels ( cable tv ) kwenye apartment / Hotel / Logde / Office n.k.
Kufunga Tv ukutani n Projector.
Ushauri na changamoto yeyote...