filamu

  1. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Mnaomtuhumu M/M/kiti CHADEMA - Tanganyika Mh John Heche; Rudini studio tena, mkarekodi upya filamu yenu. This one is very ridiculous...!

    Na mkirudia tena, basi ingalau jaribuni kufuata mwongozo ufuatao mnapoandaa filamu yenu; 1. Kama kuna pesa za tonetone amepokea kupitia Bank Account yake binafsi, na kwa kuwa mna access na Bank Account binafsi ya mtu, basi filamu yenu ieleze na kuonesha waziwazi haya👇 ✓Ni Bank Account Number...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwanini filamu zetu (Bongo) hazigusi hisia za watazamaji kikamilifu? Changamoto ya cultural immersion katika Bongo Movie

    KWA NINI FILAMU ZETU HAZIGUSI HISIA ZA WATAZAMAJI KIKAMILIFU? BONGO MOVIE NA CHANGAMOTO YA CULTURAL IMMERSION Anaandika Robert Heriel Mtibeli. Mwanasaikolojia Mtunzi. Leo Mtibeli nitaleta mjadala kuhusu Tasnia ya filamu. Ambapo Tasnia hii ni moja ya Tasnia iliyoajiri vijana wetu wengi sana. Na...
  3. marcoveratti

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Marvel Inaonekana Bora Kuliko DC Katika Ulimwengu wa Filamu

    Kwa zaidi ya muongo mmoja, Marvel Studios imefanikiwa kujijenga kama kampuni inayoongoza katika utengenezaji wa filamu za mashujaa duniani. Ingawa DC ina baadhi ya wahusika maarufu zaidi kuwahi kuundwa kama Batman, Superman na Wonder Woman, bado Marvel imeweza kutawala soko la filamu kwa kiwango...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Je hizi ndizo filamu 10 zinazotisha zaidi Duniani?

    Filamu ya kutisha Ya Sinister imeongoza katika orodha ya filamu za kutisha Kwa Mujibu wa utafiti wa kisayansi. Katika nafasi ya pili ni The Ring, ikifuatiwa na Skinamarink. Katika List hii kinachoangaliwa si maoni ya Watu, tuzo Zilizoshinda au mapato ya filamu. Badala yake, watafiti huangalia...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Katika maisha halisi, unaweza kutunza siri ukiteswa kisawa sawa kama tunavyoona kwenye filamu.

    Kwenye muvi huwa tunaona watu wanapokaatwa wanaweza kuvumilia mateso makali Katika maisha halisi utaweza kukaa kimya baada ya mateso ? kwa upande wangu naweza kuvumilia mateso kama ngumi, mateke, viboko, n.k. lakini kuna baadhi ya mateso nikishaona kuna dalili ya kutumika kwangu sioni nikitoboa
  6. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania UDOM yashinda Tuzo ya Filamu Beijing kupitia Mhadhiri wake

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kinatoa pongezi za dhati kwa Bw. Suleiman Risasi, Mhadhiri Msaidizi kutoka Ndaki ya Sayansi za Jamii (CHSS), Idara ya Sanaa na Taaluma za Habari (AMS), kwa kufanikisha ushindi wa tuzo ya Makala Fupi Bora (Best Short Documentary) kupitia kazi yake “The Spirit of the...
  7. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Ni kweli filamu ya Ottoman inaoneshwa Azam tv ili kuudhalilisha ukristo?

    Mdau ametufata inbox na kutoa dukuduku lake kama ifuatavyo:- "Tamthilia ya Kituruki Ottoman, ambayo inaoneshwa kupitia Az@m Media, imekuwa gumzo kubwa miongoni mwa watazamaji wengi nchini Tanzania. Licha ya kuvutia kwa hadithi yake ya kihistoria, baadhi ya watu wameanza kuhoji maudhui yake na...
  8. Jeremiah Stephin

    JamiiForums Tanzania Filamu fikirishi kuhusu Dini, Falsafa na Saikolojia

    Wale watu wa Philosophy,Psychology na Great Thinkers,Hizi ni baadhi ya movies ambazo ukiziangalia Lazima ufikirishe sana ubongo na kujiuliza hivi walifikiria nini kucheza hizi filamu. 1.The da vinci Code(kutoka kwenye riwaya ya Dan Brown) Movie inazungumzia siri zilizo fichwa kwa kutumia...
  9. Richard

    JamiiForums Tanzania Filamu ya Spy X wengi wamejiuliza kwanini mchezaji wake wa kike Anya hupenda sana kula karanga. Na Anya akiri kupenda karanga zaidi kuliko karoti

    https://www.youtube.com/watch?v=wuuDdOeI--k "X Spy Family" ni filamu nzuri ya watoto na ina mhusika mkuu mmoja aitwae Anya ambae katika vyakula vyote avipendavo huwa hakosi Karanga. Haijulikani hadi leo sababu kubwa ya Anya kupenda mno kitafunwa hicho maarufu cha karanga. Jana nilimwona mmoja...
  10. SirAlfred006

    JamiiForums Tanzania Filamu 50 bora za watu wazima

    BEST 50 MOVIES FOR MATURED AUDIENCES 🔞‼️😱 Bookmark & Enjoy…….10/10😱🔞 1. Gone Girl 🇺🇸 2. Fight Club 🇺🇸 3. Se7en 🇺🇸 4. The Prestige 🇺🇸🇬🇧 5. Shutter Island 🇺🇸 6. Inception 🇺🇸🇬🇧 7. The Matrix 🇺🇸 8. Parasite 🇰🇷 9. The Handmaiden 🇰🇷 10. Mulholland Drive 🇺🇸 11. Perfect Blue 🇯🇵 12. Timecrimes 🇪🇸 13...
  11. X

    JamiiForums Tanzania ByteDance wamekuja na A.I inayoitwa Seedance 2.0 inatengeneza video bora unaweza kusema ni video halisi. Soko la watengeneza filamu liko mashakani?

    Kwa sasa kwenye ulimwengu wa AI gumzo duniani ni Seedance 2.0 Hapa Wachina wa ByteDance ambao ndio wamiliki wa TikTok wamekuja kuweka rekodi ya dunia. Ukibahatika kuziona video za AI zilizotengenezwa na Seedance 2.0 utagundua ByteDance they are miles ahead. Miongoni mwa clips zilizotia fora...
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Kati ya filamu hizi ni ipi ilikuacha mdomo wazi mpaka unatamani ungepoteza kumbukumbu uianze upya?

    Mdau ......Kati ya filamu hizi ni ipi ilikuacha mdomo wazi mpaka unatamani ungepoteza kumbukumbu uianze upya?
  13. Damaso

    JamiiForums Tanzania TANZIA Leung Choi-Sang nyota wa filamu ya kung-fu hustle afariki dunia

    Ndugu wana jukwaa, Leo ni siku ya huzuni tunapopokea habari za kuondoka kwa mmoja wa magwiji wa kweli wa filamu za mapigano kutoka Hong Kong—Leung Choi-sang. Kwa wale tuliozaliwa na kukua tukitazama mikanda ya VHS na filamu za kusisimua za miaka ya 70 na 80, Leung hakuwa mwigizaji tu, bali...
  14. mshamba_mwingine

    JamiiForums Tanzania Ni zipi filamu zako bora za mwaka 2025?

    Filamu zangu za mwaka ni; 1. Superman(2025) Wamemuonesha superman kwa usahihi kama alivyo kwenye vitabu. Mpole, anayejali watu na ni ishara ya matumaini. 2. Mickey 17(2025) Inaelezea vizuri kuhusu thamani ya utu. Inafikirisha kuhusu baadhi ya vitu, inachekesha pia 3. Edge of Tomorrow(2014)...
  15. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Mugizaji wa filamu Tagawa AKA kubwa la maadui Amafariki dunia

    Binafsi namkumbuka Tagawa kwenye filamu ya Bridge of Dragons, humu alicheza kama General Ruechang, moja uhusika katili sana, jamaa alikuwa "acheki na wowote" Kwenye hii filamu alimpa mahangaiko sana ndugu yetu Dolph lundgren aliyeigiza kama Warchild Tujikumbueshe hapa kwa kuutazama uhusika...
  16. kaisar19

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa filamu, waandishi wa hadithi, Director,wachekeshi, Hili linawahusu

    kama kichwa cha habari kisemavyo tukutane hapa👇👇🎥KIBAO-CHA-SANAA 🎬🍿 Tujenge historia ya bongo movie
  17. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mange Kimambi na Maria Sarungi mpo serious kweli?

    Hi Nimesikiliza sana mazungumzo ya mitandaoni ya Mange kimambi na Maria Sarungi wakihamasisha kuwa tutoke kwa wingi tena tujitahidi sana na wala tusiogope . NAJIULIZA YAFUATAYO? 1. Maria Sarungi wewe ni jasiri kweli mbona hukuja kumzika baba yako? Si ungeingia ukishikwa uwe na watu wa vyombo...
  18. Damaso

    JamiiForums Tanzania Je unatazama filamu za mauaji mara kwa mara, ukiwa peke yako na kufurahia? Wahi Hospitali mapema

    Kuna kundi la watu linalokua kwa kasi ya ajabu sana katika ulimwengu wa burudani – wale wanaopenda kutazama filamu na tamthilia za wauaji (serial killers). Wengine wanajitapa kwamba wameangalia na kupenda sana kutazama filamu kama Zodiac, Hannibal, Mindhunter, au I Saw the Devil mara kumi au...
  19. Chibike

    JamiiForums Tanzania Hivi watanzania mnawa-follow wasanii wa muziki na filamu ili iweje?

    Hii ndio nayosema kua tuna shida kubwa sana sana,,,ndio mana hata cartels wakitubagaza wanajua aah Hawa wanafatilia wasanii Instagram na TikTok wamelala hawa... kuna manufaa yoyote unapata mtanzania haswa kijana kumfollow msanii wa muziki ? Yani Kuna pesa unawekewa kwenye akaunti yako ama ni...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Kuna kikubwa cha kujifunza kwenye mtindo wa China wa kufunza historia kupitia mashuleni na kwenye filamu na tamthilia

    Filamu ya "Dead To Rights," inayohusu Mauaji ya Nanjing wakati wa Vita vya Pili vya Dunia, imeendelea kutawala katika mauzo ya filamu ya China ya majira ya joto, ikiingiza zaidi ya yuan bilioni 1.5 (kama dola za Kimarekani milioni 210) ndani ya siku 10 tu tangu ianze kuoneshwa Julai 25. Kwa...
Back
Top Bottom