Unakuta mtu alipokuwa mtumishi alikuwa busy anakula pombe na watumishi wenzake.
Baada ya kustaafu anakuwa anazunguka kwenye mabaa na kuombelez pombe kama omba omba
Hii ni picha mbaya sana. Hasa kwa waalimu.
Kwa mujibu wa Taarifa ya habari ya Radio one ya saa mbili usiku wa leo
Kenya imeajiri waalimu laki moja ndani ya miaka mitatu na inatarajia kuajiri wengine 20,000 kabla ya mwisho wa mwaka huu; kufanya iwe imeajiri waalimu takribani 40,000 kila mwaka kwa miaka mitatu mfululizo. Nafikiri hii...
Sisi Waalimu wa Halmashauri ya Mkinga -Tanga, Tumekua Tukiahidiwa Pesa ya Kujikimu kuwa tutapewa lakini mpka Sasa pesa hiyo imekua ni danadana, Halmashauri wamekua na maneno Matamu ya KESHO , KESHO na ukizingatia Tunafanya kazi katika mazingira magumu Sana, Awali tuliambiwa Tusaini fomu , fomu...
Anonymous
Thread
halmashauri
kujikimu
pesa
pesa ya kujikimu
tanga
waalimu
Walimu wa Shule za Sekondari katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida (Singida DC) tuna malalamiko yetu kadhaa hasa yanayohusu kutolipwa malimbikizo ya fedha za kujikimu kwa muda mrefu.
Tatizo la Malipo
Wengi wetu tumefanya kazi kwa zaidi ya mwaka mmoja tangu tulipoanza kazi mwezi Januari 2025...
Anonymous
Thread
fedha
fedha za kujikimu
hazina
katika
kujikimu
matumizi
singida
waalimu
Serikali imeanza mpango wa kupanga upya walimu kulingana na viwango vyao vya elimu, ambapo walimu wenye stashahada watapangiwa kufundisha katika shule za msingi huku wale wenye shahada wakielekezwa kufundisha ngazi ya sekondari.
Hatua hiyo inalenga kuongeza ufanisi katika ufundishaji kwa...
Shule za serikali kwa mujibu wa takwimu za TAMISEMI ni kuwa mikoa yote Tanzania ina shule ambazo zinawalimu chini ya 10. Hata hivyo Lindi inaongoza kwa kuwa na shule nyingi zenye waalimu chini ya 10.
Aidha shule 21 zina walimu 5 au chini ya hapo na shule 2 zilizoko mkoani Mara zinawalimu...
Kwa wale tuliozaliwa na kukulia Arusha na Manyara lazima wengi wetu tunaijua au kuisikia shule ya msingi Manyara Ranch ilivyokuwa enzi hizo. Miaka ya 90 nikiwa mwanafunzi wa shule ya msingi hiyo shule ilikuwa kama vile shule maalum ya watoto watukutu... ikumbukwe shule ilikuwa porini makuyuni...
Wanabodi
N.B:Wakati bandiko hili linaandikwa kumbe tayari CJ。Prof. Ibrahim Juma ameisha staafu rasmi na Jaji Mkuu mpya ameisha teuliwa, hivyo hoja ya CJ Prof. Ibrahim Juma is by passed by events!
1. Utangulizi
Binadamu hatufanani, kuna watu ni wenye bahati, very fortunate, wengine wako kama...
Wakuu wasaalaam !
Kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza. Kuna Mwanafunzi anahitaji kufundishwa masomo ya Economics na Mathematics Advanced level kwa mitaala ya Cambridge.
Kwa yeyote aliye na ujuzi wa kufundisha hayo masomo kwa mtaala wa Cambridge ana PM ili nimuunganishe na Mzazi wa huyo...
Mahakama ya Wilaya ya Lushoto, imemhukumu mwalimu wa Madrasa Abuubakar Hamis, mkazi wa eneo la Dule B lililopo Jimbo la Bumbuli wilayani humo, baada ya kukutwa na hatia ya Kumlawiti mara kwa mara Mtoto wa kaka yake wa kiume, ambaye ni Mwanafunzi wa darasa la pili na kumsababishia athari kubwa...
Ile siku ya majonzi na vimbwanga kwa kada dhoofu ualimu imefika.
Waalimu watasombwa kama mihogo wakiwa na matishirt yao ya CWT wakiwa wamepauka na kukomdeana, wataandaliwa lisala ya kumsifia mama weeee!
Baada ya hapo watarudishwa kwao wakiwa wamejazwa kwenye malori kama matahila.
Mwendo ule...
Kwa miaka mingi pengine tangia awamu ya tatu, masomo ya sayansi yamekuwa na ufaulu usio mzuri kutokana na ukosefu wa waalimu
Ukifuatilia huko shule za Msingi hawana waalimu wa Hesabu, sekondari hawana waalimu wa Hesabu, Physics, Chemistry na Biology wa kutosha.
Binafsi ninavyosikia Serikali...
Ushauri
Chama cha waalimu wasio na ajira, Non employed Teachers Organization (NETO)
Kingeongesa wigo na kukusanya vijana wengi zaidi na kiwe Chama cha vijana wasio na ajira, Non employed Youth Organization (NEYO)
Karibuni kwa maoni
===================
Tayari kuna chama kimeanzishwa kinaitwa...
Nasikitika kwa kile kinachotokea kwa Chama chetu cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA), Manispaa ya Mpanda, Mkoa wa Katavi kwa baadhi ya viongozi kuona sasa chama hiki kugeuzwa kuwa mradi wa viongozi wa chama Manispaa ya Mpanda kujipatia fedha.
Tumechagua viongozi kwa...
Waziri Simbachawene unapaswa uone aibu, unatangaza nafasi 14,000 tu za Walimu wakati waombaji wapo Walimu 200,000? Huoni haya, hawa 186,000 wataenda wapi? YAANI MNACHUKUA ASILIMIA 7 TU YA WALIOOMBA? Wengine wataenda wapi?
Hii kada mwajiri mkubwa ni Serikali, pamoja na wizara ya afya, hao...
Mheshimiwa waziri wa elimu.
Kama ilivyokawaida kwa kila shule ya bweni lazima pawepo na matron ambaye majukumu yake makuu;
1. Kutunza nidhamu bwenini
2. Usalama wa wasichana na mengineyo.
Shule iliyotajwa hapo juu
Makongoro high school iliyopo Nyamiswa bunda, Mkoa wa Mara, haina matron badala...
KUHUSU USAILI WA WALIMU
Inasemekana kuwa wanatakiwa kuwa na documents zenye majina yanayofanana. Hii inamaanisha kuwa vyeti vya taaluma na vile visivyo vya taaluma vifanane majina. Yaani kama cheti Cha kuzaliwa kina majina full pasipo initial na vya taaluma view vivyo hivyo.
Sasa concern yangu...
Ni Erick Kabendera tena! Akihojiwa na muandishi Ghassan kuhusu kitabu chake IN THE NAME OF THE PRESIDENT, amesema alifanya mahojiano na waalimu wa JPM pale Katoke Seminary, wakamwambia kwamba JPM alifukuzwa seminary kutona na uvutaji bangi, na utovu wa nidhamu uliosababisha kuvunja dirisha la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.