ufungaji

  1. Stephano Mgendanyi

    Serikali Yaanza Ufungaji Camera Magerezani

    Serikali imeanza Ufungaji wa Kamera maalumu(CCTV) katika maeneo mbalimbali yanayozunguka magereza lengo ikiwa ni Uboreshaji wa Huduma za ulinzi na usalama pamoja na kwenda na dhana nzima ya sayansi na teknolojia katika utoaji na ufuatiliaji wa huduma kwa wadau mbalimbali wanaoshilikiana na Jeshi...
  2. Sundii

    Tofauti ya DVR NA NVR katika ufungaji wa CCTV camera

    Habar. Naomba kueleweshwa kinaga ubaga kuhusu Kaz na utofauti uliopo kati ya NVR na DVR
  3. maroon7

    KERO DAWASA kuna rushwa kwenye ufungaji wa maji

    Wanabodi (Kwa sauti ya Paskali Mayalla), Nasikitika sana kuleta kero yangu kwa hawa DAWASA ambao wameamua kutufanyia uhuni sisi wateja wao wapya. Binafsi nililipia kuunganishiwa maji tangu October 2023 ila tukaambiwa kuna upungufu wa vifaa tusubiri. Tukasubiri hadi mwaka ukaisha tunaambiwa...
  4. LIKUD

    Kwa kasi ya Aziz Ki muda si mrefu Mayele anaenda kuwa exposed kama Tyson aliyokuwa exposed na Evander mwaka 96

    Kabla hajakutana na Evander kila mtu alikuwa anasema Tyson is undisputable. Siku aliyo kutana na Evander akawa ndio ingawa siku yake ya kuwa exposed to the world kwamba , kumbe Tyson ni bondia wa kawaida tu. Usiku you instead ya Tyson kuwa bully kama alivyo zoea yeye ndio akawa bullied...
  5. SankaraBoukaka

    Kila timu inaruhusu goli ila janga kubwa SIMBA ni ufungaji..

    Kila timu duniani inaruhusu goli ila janga KUBWA Simba ni kushindwa kufunga magoli pamoja na nafasi nyingi zinazotengenezwa. Mechi na Wydad kama tungekuwa na washambuliaji wanaojielewa ilikuwa mapema sana ushindi... Nafasi nyingi zilipatikana ila uwezo mdogo nakukosa umakini kunasababishwa na...
  6. Chachu Ombara

    TRA: Hatuhusiki kwa namna yoyote ufungaji wa 'The Cask Bar' jijini Mwanza

    Kupitia taarifa yao waliyoweka kwenye mitandao ya kijamii, Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) imedai kutohusika kwa namna yoyote katika ufungaji wa Bar ya 'The Cask' Imewataka wahusika na umma kwenda kwenye mamlaka husika kuhusu jambo hilo.
  7. D

    Mayele atapokonywa ufungaji bora 2022/23 na Saido?

    Mpaka sasa ubao wa wafungaji bora NBC Premier league unasoma hivi: 𝗠𝗔𝗬𝗘𝗟𝗘➖16 𝗦𝗔𝗜𝗗𝗢➖15 Leo Mayele atakuwa dimbani dhidi ya TZ Prisons huku Saido atakuwa dimbani dhidi ya Coastal Union. Unatabiri nini? Kula Odds za Sokabet hizo Upige Mkwanja!
  8. GENTAMYCINE

    Baada ya kuona hawana chao tena CAFCC sasa wanatambia Ufungaji Bora wa Mayele kama sehemu ya Kujifariji

    Tafadhali tubakie tu katika uchezaji wa Yanga SC na fainali iliyoko na tusizuge sasa kwa kuhamisha goli kujifanya kufungwa kwenu na USM Alger FC jana siyo Muhimu kwenu na kwamba ufungaji bora anaokwenda kuupata Fiston Mayele ndiyo gumzo kuu na Mafanikio yenu huko CAFCC. Kudadadeki...!! Kila la...
  9. A

    DOKEZO Ufungaji holela wa barabara jijini Dar

    Jeshi letu la polisis kupitia askari wa usalama wa barabarani wamekua ni chanzo cha usumbufu barabarani. Eneo la Mbezi Tangi bovu / shule kwa muda mrefu sasa nyakati za asubuhi, polisi wamekuwa wakifunga barabara(service road) kiholela bila vibao au tahadhari yoyote kwa watumiaji wa barabara...
  10. Richard

    DAWASA- kufanya hujuma kuibia wananchi "meter" za maji kisha kuja kutoza gharama za ufungaji wa mita hiyohiyo iloibiwa ni dhuluma

    Moja kwa moja kwenye mada. Kwanza naomba JF isiutoe uzi huu kwani mada hii nafikiri ni muhimu sana kwa mstakabali wa wateja wa DAWASA ambao huko mitaani wamekosa wa kuwasemea. Natambua kuna uzi humu kwa ajili ya DAWASA lakini nimeufuatilia na nimejiridhisha kwamba hauna response nzuri kutoka...
  11. GENTAMYCINE

    Phiri hajawa 100% Fit, ila Presha ya Ufungaji na Mayele inamfanya ajilazimishe Kapona ili apangwe

    Nimemuona Jana tena kwa Jicho langu Kali la Kiuchunguzi na Kimaono na kugundua kuwa Mshambuliaji Moses Phiri bado hajawa Fiti kuanza Kucheza Mechi zozote zile. Najua kuna Majuha ( Fools ) watakuja Kunishambulia na kuhoji je, Mimi GENTAMYCINE ni Daktari mpaka niseme hivi? Majibu yangu Kwao ni...
  12. M

    SoC02 Utitiri na uholela wa ufungaji wa ‘cctv’ katika maeneo mbalimbali unavyohatarisha haki ya faragha ya taarifa za watu

    Suala la ulinzi binafsi ni jambo muhimu sana linalopaswa kupewa kipaumbele cha juu kwenye mtiririko wa Mahitaji ya binadamu katika kipindi hiki ili kujilinda na/au kuepukana na vitendo mbalimbali vya uhalifu ambavyo vimekuwa vikitokea katika jamii zetu kama vile ujambazi, uvamizi, ukatili na...
  13. GENTAMYCINE

    Bodi ya Ligi Hasira zenu za Mayele kukosa Ufungaji Bora msizihamishie katika Tuzo

    Almasi Kassongo ( Boss wa Bodi ya Ligi Kuu ya NBC ) na hilo Bichwa lako Kubwa kama Papai za Mgeta Mkoani Morogoro huo Uyanga wako na hizo Pesa za Kuhongwa na GSM zitakutokea Puani Siku Moja. Bodi ya Ligi ( TPLB ) chini ya Mwenyekiti wake Almasi Kassongo hivi mliwaza nini mpaka mkasena kuwa Tuzo...
  14. BigTall

    Waziri Dkt. Stergomena ashiriki ufungaji zoezi ushirikiano imara Nchini Uganda

    Waziri akiwasili kwa ajili ya kuongea na wawakilishi wa Tanzania walioshiriki Zoezi la Ushirikiano Imara. WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ameshiriki hafla ya ufungaji wa zoezi la kimedani la ‘Ushirikiano Imara’ lililofanyika Jinja Nchini Uganda...
  15. K

    Kibali cha Ufungaji wa mfumo wa gesi Asilia (CNG) kwenye Vyombo vya moto

    Habari ndugu, kuna huu utaalamu wa Ufungaji wa mfumo wa gesi Asilia (CNG) kwenye Vyombo vya moto unaofanyika hapa Tanzania na DIT udsm-engineering (Sina uhakika kama kuna tasisi nyingine imeongezeka). Naomba kufahamu kama kazi hii ni ruksa kufanywa na yeyote mwenye weledi huo au kuna Taasisi...
  16. D

    Wanahitajika mafundi wa door access control

    Isecure Technology ni kampuni inayojishughulisha na kufunga mifumo mbali mbali ya ulinzi maofisini na majumbani. Hii mifumo ni kama CCTV camera, Electric fence, Bio-metric time attendance and Access control. Pia tunajishughulisha na ufungaji wa GPS kwenye magari na Pikipiki Kwa sasa tunahitaji...
  17. L

    Kumbe ufunguzi na ufungaji wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing ni sehemu mbili za sherehe moja!

    Ufunguzi na ufungaji wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing kumbe ni sehemu ya kwanza na ya pili ya sherehe moja. Maonesho ya fataki kwenye ufunguzi wa michezo hiyo yalionesha mchoro wa msonobari unaowakaribisha wageni, na maonesho ya fataki kwenye ufugaji wa michezo hiyo...
  18. SankaraBoukaka

    Aina ya uchezaji wa Kibu Denis na Morrison hauna msaada kwa Simba yenye njaa na mataji

    Simba kama moja ya klabu kubwa Afrika inahitaji kuwa na wachezaji wenye mwendelezo mzuri wa perfomance kiwanjani ili idumu kwenye hadhi na nafasi yake. Tokea msimu huu 2021/22 umeanza imeonekana kwamba Kibu Denis na Bernard Morrison wameingia kwenye kikosi cha kwanza. Ni wachezaji wazuri sana...
  19. 3llyEmma

    Ligi Kuu Tanzania Bara: Nani kuvaa kiatu cha ufungaji bora 2020/2021?

    Baada ya Mshambuliaji hatari wa Simba MEDIE KAGERE kuwa mfungaji Bora kwa misimu miwili (2) mfululizo. Hii ndio List ya Washambuliaji ambao wanafanya vizuri :.. 1. Prince Dube 2. Adam Adam 3. Obrey Chirwa 4. John Bocco 5. Yusuf Mhilu 6. Medie Kagere 7. Michael Sarpong 8. Bigirimana Blaise JE...
  20. Sky Eclat

    Ufungaji wa Tie

    Wale waliosoma shule zenye Cambridge syllabus kufunga tie ilikuwa sehemu ya maisha ya shule. Sisi wa St Kayumba Kwamtogole, tumejifunza ukubwani. Wengine wanalipa watu ili wafungiwe tie,
Back
Top Bottom