Inasikitisha kuona gereji za magari zikifunguliwa holela kwenye maeneo ya makazi.
Toka Dar, Arusha, Mwanza, hadi Mbeya. Zinavunja kuta za majirani, zinatupa mafuta na taka ovyo, zinaleta kelele mbalimbali, zinaziba mitaro kama shimo la kutengenezea magari, zinaegesha magari barabarani na...