dstv

 1. Wuondruok

  Hivi hawa Azam TV, Startimes, Zuku na DSTV huwa wanalipa kiasi gani cha fedha kwa filamu moja ya kibongo?

  Yoyote anayefahamu Azam TV, Startimes, Zuku na DSTV huwa wanalipa kiasi gani cha fedha kwa filamu moja ya kibongo anifahamishe..
 2. THE BREED

  Dstv mjipange!kwanini Msirushe live bundesliga hapo kesho??

  Bado mnatukera wateja wenu!hasa katika kipindi ambacho ligi zimesimama lakini wateja tumelipia bill kama kawaida huku tukiangalia vipindi vinavyo boa hata kutazama na watoto havina burudani yoyote!kwanini msitujali wateja kwa kurusha bundesliga live???Tuliolipia decorder kipindi hiki cha corona...
 3. THE BREED

  Kilio changu kwa DSTV Tanzania

  Mnajua fika nyie ni kampuni pendwa lakini mmekalia ukoloni na unyonyaji kwa Watanzania. Hivi kinachowafanya msiweke local chanels zote za Tanzania ni nini? Kama ITV, CLOUDS, STAR TV n.k mbona hazipo? Nimejaribu kuweka na redio za tanzania tena Nikiwa nimelipia dstv compact Hakuna Redio station...
 4. kavulata

  Azam & DStv punguzeni kidogo vifurushi vyenu kipindi hiki Cha CORONA.

  Wateja wenu wanapitia hali nguvu kiafya na kiuchumi, hebu punguzeni kidogo bei za vifurushi Kama sehemu ya kuungana na wateja wenu kwenye hili. Hii ni pamoja na makampuni ya simu za mikononi kwakuwa wateja wenu inawabiti kufanyakazi wakiwa majumbani kupitia simu au Internet. Msijifanye Kama...
 5. D

  Hivi ni Kwanini Dstv wamejaza matangazo kwenye channels zote wakati tunalipia vifurushi?

  Huwa najiuliza sana, ni kwa nini DStv wanajaza sana matangazo kwenye channels zake zote, wakati kila mwezi tunalipia vifurushi vyao? \ Au tunalipia ili tuangalie matangazo?
 6. L

  Ombi langu kwa DStv wekeni na habari za URUSI kupitia TV yao ya kiingereza ya RT yaani Russia Today

  Kuna tatizo lolote kati ya RT na DSTV? Kama hakuna tatizo naomba mimi Kama mteja mtuwekee na vipindi kutoka Urusi, sisi wengine ni wapenzi wa habari za kimataifa, pia hupenda kufanya ulinganifu wa taarifa. Kwa bahati nzuri DStv mnarusha habari za dunia kupitia CNN,BBC,DW,FRANCE, na TV nyingine...
 7. kavulata

  Samatta wa sasa ni fursa kwa DStv

  DStv inaonyesha ligi ya England, EPL. Samatta kuchezea EPL kutaongeza watanzania ambao wataangalia EPL kwaajili ya kumuona kijana wao Samatat. Hii itaongeza wadau wa DStv, hivyo huu ni muda wa DStv kuangalia upya bei za vifurushi vyake ili watu wengi zaidi hata vijijini wamudu kulipia na...
 8. Kabelwa

  Jinsi ya kushare DStv kwenye simu

  Habari wadau, mwenye kufahamu namna ya kushare dish la DStv kwenda kwenye simu naomba maelekezo, asante.
 9. Mwenda pole hajikwai

  Nauza kingamuzi cha dstv

  Kipo DSM Kina HDMI Tsh 50000 0693179844
 10. CHEF

  Sera za kibiashara za DStv na media zingine zinakera

  Kwa ukweli kuna sera zingine za kibiashara zinakera sana, mfano DStv unakuta wanataka malipo ya kifurushi cha mwezi wakati unakuta kwa mwezi mtu anapata muda wa kuangalia TV mara mbili au tatu. Sasa kwanini kusiwe na kifurushi cha siku, wiki na mwezi kulingana na mtumiaji atahitaji kifurushi...
 11. Mustapha maDish

  INAUZWA Offer mpya ya DSTV Tsh 79,000

  Kwa Tsh 79,000 unapata:- - Dish - Decoder - Cable mt20 - LNB - HDMI cable - Kifurushi cha Compact - Unaletewa bure Kufungiwa Tsh 20,000 tu! Piga 0627985436
 12. Sibonike

  Tatizo visimbuzi Azam na DStv

  Toka jana mchana visimbuzi au visimbusi? vya Azam na DStv vimegoma. Message ni ya aina moja. Smart Card haijakaa vizuri. Sijui kama kuna wengine wamepata tatizo hili na ufumbuzi wake umekuwaje.
 13. Nedago

  Wasafi TV ndani ya DSTV, katika nchi zote za Afrika

  Habari wakuu?,I hope you do good. Diamond platnumz leo wakati wa kutambulisha watangazaji wapya wa vipindi vya michezo pale Wasafi HQs. Mbele ya wageni waalikwa na mgeni rasmi waziri wa michezo Mh, Dkt.Mwakyembe. Ametangaza kuwa ndani siku chache zijazo yaani 3, Wasafi TV itakuwa inaonekana...
 14. chelesi

  INAUZWA Nauza Kisembuzi cha DStv used full set

  Niko Mbeya Imetumika mwezi mmoja tu,ipo katika hali nzuri sana bado ina upya wake,ichukue kwa Tsh. 85,000 tu ,maelewano yapo nicheki kwa 0767142928 Utapata dstv decoder,remote yake,dish lake,waya wa dish kwenda kwenye decoder,hdmi cable,nuts na bolts
 15. lembu

  DSTV Tanzania Kushusha Bei ya Vifurushi Kuanzia Tarehe 1 Septemba 2019

  Kwa Wasomaji wa Kiswahili DSTV Tanzania Kushusha Bei ya Vifurushi Kuanzia Tarehe 1 Septemba 2019 Bei mpya za vifurushi vya DTSV vitakuwa ni: Jina la Kifurushi Idadi ya Chaneli Bei ya Zamani Bei Mpya Bomba 45+ 19,000 19,000 Family 57+ 39,000 29,000 Compact 90+ 69,000 44,000 Compact...
 16. K

  NAUZA KABATI, STABLIZER, ZULIA NA KING'AMUZI DSTV + VUNGO WAKE NA KWA TSH 400,000 VYOTE

  Ningependa niwatakie heri ya sikukuu za Christmas na mwaka mpya wadau wote wa Jamii forums, najua wengi wetu tutakuwa tumejumuika na familia zetu, basi ningependa ofa hii ambayo naweza nikasema sawa na bure isikupite. Kama utakuwa mfuatiliaji wa threads zangu ni kwamba hapo awali niliorodhesha...
Top Bottom