south africa

  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania Unyanyapaa Kwa Watanganyika waliorudishwa kutoka South Africa ni tendo la kipumbavu

    Binafsi nalaani unyanyapaa na roho mbaya Kwa wenzetu waliotoka South Africa Hii inaonyesha ni namna Gani Watanzania wana tatizo la kufurahia anguko la wenzao Tukumbuke hawa wenzetu walijaribu kwenda kusaka maisha lakini kinyume na matarajio Yao waliangukia pia, sio busara kuwazodoa mtandaoni...
  2. Gospel KTV

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya uchomaji taka (kusoma matakataka) kwenye makazi ya watu hapa Dar es Salaam

    Wakuu, habari za mchana huu. Kuna changamoto naona inazidi kushamiri kwenye mitaa yetu mingi hapa Dar es Salaam, nayo ni tabia ya baadhi ya watu kuchoma moto taka katikati ya makazi ya watu. Lugha ya mtaani wengi wanasema "kusoma matakataka." Kimsingi, jambo hili limekuwa likisababisha moshi...
  3. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Hawa ndugu zetu waliotoka South Africa, ni aina Gani za ajira walizokuwa wanasema wamezichukua mpaka kufukuzwa?

    Je , ni aina Gani ya ajira ambazo wasouth Africa au wapopo wamekuwa wakiwalalamikia wageni kuwa wamezichukua? Je ni ajira zipi. Najaribu kuangalia hili swala
  4. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Serikali imeweka mikakati gani kuwasaidia Watanzania wanaorudi kutoka Afrika Kusini?

    Je, Watanzania wote waliorejea nchini kutoka Afrika Kusini kwa msaada wa Serikali wana makazi ya kudumu? Ikiwa si wote wana makazi ya kudumu, Serikali imeweka mikakati gani ya kuwasaidia kupata makazi pamoja na mahitaji muhimu ya maisha, ili waweze kuanza upya na kujitegemea?
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwa kejeli na dhihaka zinazoendelea mtandaoni kuhusu waliorudishwa kutoka South Africa. Wabeba Boksi hiyo ni alert

    Habari za Sabato! Leo huko Tiktok, instagram, na Facebook habari kuu ni mabaharia waliorudishwa kutoka South Afrika. Aiseeh! Uwanja wa comments watu wanamwaga upupu sio poa. Kejeli Dhihaka Matusi. Basi ilimradi. Ni kweli ni uhuru wa maoni lakini tuangalie jamani. Hawa ndugu zetu ni kama...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Tanzania to Begin Voluntary Repatriation of Citizens from South Africa on August 26

    Tanzania will begin the voluntary repatriation of citizens living in South Africa’s KwaZulu-Natal province on August 26, with the first group returning aboard an Air Tanzania Company Limited (ATCL) flight from King Shaka International Airport in Durban. The Tanzanian High Commission in Pretoria...
  7. Yesha

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe hands over SADC chairmanship to South Africa

    Zimbabwe has formally handed over the chairpersonship of the Southern African Development Community (SADC) to South Africa, marking the conclusion of President Emmerson Mnangagwa’s tenure at the helm of the regional bloc. The handover took place on Monday at the 46th Ordinary SADC Summit in...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tuwakaribishe wenzetu waliorudishwa kutoka South Africa

    Na hii ndio ile inaiitwa bila kupepesa macho https://www.facebook.com/reel/4466513103637269
  9. Yesha

    JamiiForums Tanzania Zimbabweans Must Now Apply for U.S. Visas in South Africa

    Zimbabweans seeking to travel to the United States will now have to apply for visas in South Africa after the U.S. Department of State moved routine visa processing from Harare to regional visa centres. The new arrangement came into effect on August 1, 2026, ending routine visa services at the...
  10. Yesha

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe Repatriates From South Africa Surpass 115,000

    More than 115,000 Zimbabweans have returned home from South Africa as the government scales up its repatriation and reintegration programme, Cabinet has announced. Speaking during Tuesday's post-Cabinet media briefing, Minister of Information, Publicity and Broadcasting Services Soda Zhemu...
  11. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Baadhi ya Watanzania na Wakenya waunganisha nguvu kuisaka familia ya Mafwele Afrika Kusini

    Hajaisha mpaka iishe. Nimepata very classified information kuwa pamoja na Mafwele kutenda makosa makubwa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu( Crime against humanity), alijua kabisa ipo siku atawindwa. Sasa Ili Aishi Kwa amani alihamisha familia yake Uko South Africa. Sasa kama mjuavyo ubaya haudumu...
  12. Yesha

    JamiiForums Tanzania Government Releases US$2 Million to Support Zimbabweans Returning from South Africa

    The Government has allocated US$2 million to assist Zimbabwean nationals returning home from South Africa amid growing concerns over rising anti-immigrant sentiment and fears of a resurgence of xenophobic violence. The announcement was made by Nathan Nkomo, Chief Director of the Civil...
  13. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania FALSE Europe has imposed an entry ban on South African citizens

    A video circulating on social media platforms, particularly TikTok and Facebook, claims that Europe has banned South African citizens from entering the continent.
  14. Da Dona

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda UPDATE: President Museveni in Kyankwanzi to preside over pass-out of Ugandan returnees from South Africa

    President Yoweri Museveni has arrived in Kyankwanzi to preside over the pass-out ceremony of Ugandan returnees from South Africa who have completed a rehabilitation and ideological orientation programme at the National Leadership Institute (NALI). Background: The returnees, including men...
  15. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Aliyeua Baba Zake, alikuwa anatuma Pesa akiwa South Africa Wakazitafuna

    Huyu jamaa aliyewapeleka Baba zake (Baba mzazi na Baba Mdogo) akhera a.k.a mbinguni inasemekana alikuwa Afrika Kusini akawa anasukuma harakati zake huko kwa mkabulu. Kama mnavyojua kwa mkabulu ukienda kama foreigner asiyekuwa taaluma basi utapiga kazi za kila aina, waswahili wanasema utakuwa...
  16. Eronda

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda UPDF Considers Recruiting Skilled Ugandan Returnees from South Africa

    Government is considering recruiting skilled Ugandans recently repatriated from South Africa into the Uganda Peoples' Defence Forces (UPDF) as part of broader efforts to reintegrate them into the country's workforce. The Minister for Gender, Labour and Social Development, Lt Gen. Henry...
  17. Lovious Dav Safaris

    JamiiForums Tanzania Top 10 National Parks to Visit on South Africa Safari

    Travel Company: Dav Safaris Website: www.davsafaris.com Email: info@davsafaris.com Tel: +256757795781 or +256701412430 Visit the top 10 parks on a South Africa Safari, enjoying Big Five wildlife, dramatic landscapes, coastal reserves, hiking, and unforgettable nature experiences. A South...
  18. O

    JamiiForums Kenya Junior Starlets Qualify for FIFA U17 World Cup Again After Stunning South Africa 3-1

    Kenya imeandika historia tena! . The Junior Starlets have secured qualification to the FIFA U17 Women's World Cup for the second consecutive time after defeating South Africa 3-1 at a packed Nyayo National Stadium on Sunday. Licha ya South Africa kufunga mapema kupitia Katlebo Malehana, the...
  19. Nyendo

    JamiiForums Tanzania TANZIA Nyota wa Mamelodi na timu ya taifa ya South Africa, Jayden Adams (25) amefariki dunia leo, Julai 11, 2026

    Nyota wa Mamelodi na timu ya taifa ya South Africa, Jayden Adams (25) amefariki dunia leo. Kiungo huyo amefariki dunia siku chache baada ya kushiriki fainali za kombe la Dunia, Marekani lakini mpaka sasa chanzo cha Kifo chake hakijawekwa wazi. R.I.P Jayden Adams For English Speakers South...
  20. Eronda

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda 153 More Ugandans Evacuated From South Africa

    Another 153 Ugandan nationals evacuated from South Africa have arrived home as the government continues its voluntary repatriation exercise following a wave of anti-migrant violence that has left Ugandans dead and others displaced. The evacuees arrived at Entebbe International Airport at...
Back
Top Bottom