Jioni ya jana nilitumia muda mwingi kusoma mapinduzi makubwa yaliyotokea katika nchi nyingi duniani. Nikaanza na ya Urusi pale wananchi walipoitoa madarakani serikali ya mabwanyenye na kumuweka Vladimir Lenin madarakani ya mwaka 1917, baadaye nikahamia mapinduzi makubwa ya Iran ya mwaka 1979...
Ndoto imekuwa ni sehemu ya maisha ya mwanadamu na hata wanyama huota ndoto kutokana na shughuri zao za kila siku...!!
Binadamu tumeungwa katika ulimwengu ambao unaweza kutujulisha yajayo na ndio maana watu hutabiri na kuona maono ya matukio yajayo.
Mungu huongea katika ndoto na hata shetani...
Usiku wa manane, unashtuka kutoka kwenye usingizi mzito ukiwa unavuja jasho na moyo unakwenda mbio.
Kwenye ndoto yako ya kwanza, unajikuta umekaa tena kwenye benchi la mbao darasani. Saa ukutani inatembea kwa kasi, karatasi ya mtihani iko mbele yako, lakini hujui hata swali moja. au pengine...
kijana kutoka nchini Nigeria, Chukwudi Godday Eze, amekuwa gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kufanikiwa kutengeneza gari lenye muonekano wa kipekee unaofanana na gari la kifahari aina ya Mercedes-Benz G-Wagon kwa kutumia vifaa vya ndani.
Chukwudi alianza mradi huo wa ubunifu akiwa...
Kupata mwanamke mzungu ,tena akakupa kipaumbele kwenye maisha yake ni rahisi mno.
Tena wapo wengi mno ,ila ni wale rijecti ambao kwenye nchi zao soko lao ni finyu mno.
Yani wewe utaambulia tukunyema , manyama uzembe , na lizee lililo achika kwenye ndoa yake.
Ila vile vichunchuda vya...
Ndio maana wengi utawakuta wakisifu wanawake wa zamani walikuwa wife material lakini ukiangalia kwa ndani wanawake hao walifunzwa au walilazimika kuwa submissive kwa wanaume wao.
Mwanaume hasa kijana ambae yupo mwanzo wa ndoa anapenda kunyenyekewa, ndicho kitu humvuruga akili kuzidi hata game...
Kuna tofauti kati ya ndoto ya Mungu na ya shetani
Maarifa yanayohusiana na ndoto ni mapana. Hata hivyo, kwa ufupi, zipo ndoto za aina tatu.
1. Ndoto zinazotokana na shughuli unazofanya
Ndoto hizi ndizo mara nyingi zinamjia mtu. Kwa mfano: mtu alikuwa anafanya shughuli fulani siku nzima, usiku...
Nilikuwa nimeandaa 3m mwaka huu niweze kuingia PT
Ila nazidi kufunguka akili kutokana na maoni ya wananchi juu ya polisi
Lakini pia hali ya uchumi na mishahara naona kabisa hii kazi
Ngoja nitafute connection TAMISEMI sasa
Hii ni sababu kuu kwanini singo maza wanaongezeka kila kukicha hakuna mwanaume mwenye akili zake timamu atakubali kutawaliwa na mwanamke
Wanawake wa sasa wanataka watupindue wao ndio wawe vichwa vya familia afu sisi wanaume tuwe kama watoto .
Wapo wanawake wengine wanafika mbali wanaroga...
Wakati wa michuano ya kombe la dunia niliota ndoto nikiwa navuta bangi na lionel messi, niliiwaza sana ndoto hii baada ya kuamka lakini sikuweza kupata maana yake .
Na kuna siku pia niliota ndoto kuwa diamond platnumz alikuja geto kwangu kunikopa 5000. Je hizi ndoto tafsiri yake ni nini au ni...
Ndugu zangu..
Yule jirani amefanikiwa kuliwa, na alikuwa ana taka sana kumbe...!
Asubuhi ya leo niliamshwa na ngo ngo ngo....mlangoni mwa mchumba changu.
Binafsi nilidhani ni jamaa wa taka, kufika mlangoni alikuwa yule jirani niliye wasimulia jana.
Anasema simu yake imegoma ku unlock, kumbe...
Bingwa wa Olimpiki wa mbio za kuruka mbali, Tara Davis amelazimika kusitisha msimu wake wa riadha wa mwaka 2026 kufuatia kupata mshtuko mkali wa ubongo uliosababishwa na ajali ya gari.
Uamuzi huo unamaanisha kuwa mwanariadha huyo Mmarekani mwenye umri wa miaka 27, hatashiriki katika Mashindano...
Hamjambo!
Mtibeli ni Mwalimu wa wote. Utake usitake. Ukishupaza shingo Kafie mbele na lazima jambo baya litakukuta.
Mwanaume hawezi kuwa na urafiki na rafiki anayemtamani Mkewe. Hiyo ni Kanuni.
Ukishakuwa mtawala utaelewa hili. Sisi Watibeli tunafahamu saikolojia ya mtu mwenye mamlaka na...
Mwenyezi Mungu Amekasirika sana ndoto niliyooteshwa siyo ya kawaida ni ndoto ngumu na nzito inayoenda kukitikisa nchi X damu isiyo na hatia bado inadai haki, kwa hiyo ni muda wa kukesha na kuomba hili lisitokee katika nchi X
Watu wengi mtandaoni wamekuwa wakipiga kelele wakiamini kuwa China au Marekani zinaweza kusimama peke yake bila kusaidiwa na mtu, au kwamba nchi hizi zinaweza kutengana kirahisi tu. Huu ni upofu wa kifikra unaoletwa na kukosa data na kutazama dunia kupitia vioo vya simu.
1. Kwa nini Marekani...
Nimeota ndoto kubwa sana kwamba namba nne Hana makucha Tena
Ndoto ilienda mbali zaidi kuwa nguvu zimebaki kwa mtoto wa namba sita.
Ndoto ikaenda mbali zaidi kuwa namba nne alitaka aweke mtoto wake pale kwenye namba mbili na amegonga mwamba.
Kibaya zaidi mtoto wa namba sita ndiye mkuu wa idara...
Habar za wikiend wanajamvi.
Poleni na pirika za wiki nzima na misukosuko ya kila aina. Haijalishi umeivuka kwa namna gani lkn upaswa kumshukuru alie juu.
Naandika bandiko hili kuomba ushauri wa dhati kabisa.
Ni muda mrefu sasa zaidi ya miaka minne, nimekuwa nikiota ndoto.
Ndoto hii mara zote...
Huyu bwana ni mauti yanayotembea
Kuwapo kwake kwa muda mrefu ni kutokana na kutengeneza network ya kuua upinzani.
Amehusika na muaji ya watu wengi huko syria na kurd
Sasa anataka akawaue na wa israel
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.