• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

kujifunza

 1. Richard

  Kwanini Ujerumani ina idadi ndogo ya vifo vinavyotokana na ugonjwa wa COVID -19? Tanzania tuna cha kujifunza

  Wakati ugonjwa unaosababishwa na kirusi cha Corona ukiendelea kusambaa na kuua watu wengi duniani, nchini Ujerumani idadi ya watu walokufa ni ndogo kulinganisha na nchi zingine barani Ulaya na duniani kwa ujumla Kwa mujibu wa taasisi ya Robert Koch hadi kufikia Ijumaa asubuhi watu 13,957...
 2. LIKUD

  Kuna Dogo anataka kujifunza usonara

  Bwana Mdogo kamaliza Chuo, hataki kuajiriwa. Anataka kujiajiri mwenyewe na kazi ambayo ameichagua NI kuwa sonara Anatafuta sehemu ambayo anaweza kujifunza usonara. Kwa mwenye Abc kuhusu usonara plz afunguke hapa. Sonara yupi anatoa mafunzo ya usonara. Gharama zake zikoje na kupata basic...
 3. M

  Wanawake mlio na ndoa someni hapa kuna la kujifunza

  *MWANAMKE ALIYEACHIKA ANAANDIKA* Ninaandika haya ili uelewe kwamba ni vizuri kuwatambua wenza wetu na mchango wao licha ya mapungufu yao. Nina umri wa miaka 32. Mimi na mume wangu tulikaa kwenye uchumba kwa miaka 6. Tulikuwa marafiki sana. Nilimsubiri mpaka alipomaliza masomo yake ya chuo na...
 4. F

  Mapato ya Zanzibar yafikia shilingi bilioni 2874, sawa na trilioni 2.874 kwa mwaka. Tanzania Bara tunayo ya kujifunza kutoka Zanzibar

  Rais wa Zanzibar, Dr. Mohamed Shein, ameeleza kuwa mapato ya Zanzibar kwa mwaka yamefikia Tanzania Shillings Bilioni 2874, sawa na Trilioni 2.874. Taarifa hii inaonyesha waziwazi kuwa Tanzania Bara tukijifunza kutoka Zanzibar, mapato ya Mikoa yetu inaweza kuongeza mapato yake ya ndani kwa...
 5. balimar

  Natafuta mahali ninapoweza kujifunza usindikaji wa maziwa na bidhaa zake

  Salamu!! Jamani natafuta mahali au chuo au hata mtu binafsi anaweza kunifundisha namna ya kusindika maziwa. Nimejaribu SIDO wanasema wao wanafundisha usindikaji wa vyakula na milolongo kibao na procedures za kufa mtu. Kupitia jukwaa hili nisaidieni jamani anayefahamu mahali au mtu binafsi au...
 6. R

  Mtu mwenye degree anapoenda kujifunza kazi ya waliokosa Elimu ni ujumbe gani tunapata kuhusu Elimu yetu?

  Nimetoka kuzungumza na mpwa wangu sasa hivi anaomba msaada wa cherehani akajifunze kushona nguo, ndio mradi aliobuni baada ya kusota miaka 2 bila ajira. Amesoma ana degree Bachelor of Arts in Community and Development Studies. Kaniambia ameshapata mtu wa kumfundisha na mahali pa kujifunzia...
 7. Pascal Mayalla

  Misafara ya viongozi inachosha, inatesa na kurudisha nyuma maendeleo, IGP Sirro peleka Traffic Sweden kujifunza misafara ya wenzetu, Time is Money!

  Wanabodi, Leo tena nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" Ukiondoa thamani ya uhai, hakuna kitu kingine duniani chenye thamani kama muda, time is money, kupotezeana muda ni kuzorotesha maendeleo. Niko njia ya Bagamoyo eneo la Mbezi Tangi Bovu, tumesimamishwa...
 8. CalvinKimaro

  Je, CHADEMA imenufaika au imepata hasara na ujio wa Mawaziri Wakuu wastaafu? Je, ina la kujifunza?

  Nadhani huyu ndiye atakuwa Waziri Mkuu mstaafu wa mwisho kuwepo Chadema. Nikitizama Salim, Warioba, Msuya, Pinda na hata Majaliwa sioni uwezekano wowote wa Chadema kupewa fursa ya kumhifadhi Waziri Mkuu mstaafu tena. Ukichunguza kwa makini utabaini kuwa ujio wa mawaziri wakuu umeiumiza mno...
 9. Synthesizer

  Shirika la ndege la South Africa (SAA) liko hoi lakaribia kuwa mufilisi - Tanzania tuna jambo la kujifunza?

  Shirika la ndege la ndege la South Africa, lenye jumla ya ndege karibu 50 kubwa, za kati na ndogo, liko katika hali mbaya kiuchumi kiasi linakaribia kuwa mufilisi. Shirika hili kwa miaka mingi limekuwa likijiendesha kwa kutegemea ruzuku za serikali bila kuwa na uwezo wa kusimama kwa miguu yake...
 10. kajengwa

  Ali Kiba ana cha kujifunza kwa Wizkid na Diamond, sanaa sio uadui

  Mdogo Wangu Ally Kiba acha uzazwa, umoja ni nguvu. Wizkid na mafanikio yote yuko humble na ameweza kuonesha upendo kwa kuimba na Diamond Platnumz lakini wewe unajiona mkubwa kuliko Wizkid. Kaka jishushe ili Mungu akupandishe
 11. J

  Rais Kenyatta amteua mzee wa miaka 91 kuwa mkurugenzi wa Vijana na michezo. Tanzania tuna cha kujifunza

  Rais Kenyatta amemteua raia mwenye umri wa miaka 91 kuwa mkurugenzi wa vijana na michezo. Uteuzi huo umepingwa mahakamani na mwanaharakati mmoja kijana lakini Rais Kenyatta amesema hataubadilisha kwa kuwa vijana ni wabadhirifu wa fedha za umma hivyo amemteua huyo mzee ili fedha isiibwe na...
 12. Director Chuma

  Sasa nafundisha TV & video production katika chuo cha bagamoyo

  Kwa wanaotaka kujifunza zaidi ya online kupitia YouTube channel yangu ya Director chuma mnaweza kujiunga na chuo ninachofundisha bagamoyo kwa sasa karibuni sana
 13. Director Chuma

  Darasa la VIDEO PRODUCTION kwa Lugha ya Kiswahili

  Nikiwa kama Mtanzania mwenzenu nimejitolea kutoa mafunzo ya Video production bure YouTube kwa Lugha ya Kiswahili (ingia YouTube tafuta Director Chuma) Kwa kile nilichonacho nimeona ni bora kushiriki nanyi ili tupige hatua katika sekta za filamu na burudani zote kupitia video nchini kwetu Kama...
Top