Kila timu inaruhusu goli ila janga kubwa SIMBA ni ufungaji..

SankaraBoukaka

JF-Expert Member
Jul 2, 2019
910
1,394
Kila timu duniani inaruhusu goli ila janga KUBWA Simba ni kushindwa kufunga magoli pamoja na nafasi nyingi zinazotengenezwa.

Mechi na Wydad kama tungekuwa na washambuliaji wanaojielewa ilikuwa mapema sana ushindi... Nafasi nyingi zilipatikana ila uwezo mdogo nakukosa umakini kunasababishwa na level za ubora ndo tatizo,,,,

Tatizo hilo hilo mechi zote za karibuni ndo linatugharimu...
Dhidi ya ASEC na JWANENG' ilikuwa haya haya,, nafasi zinatengenezwa lakini mapungufu ni haya haya..

Hata mechi na YANGA kabla ya kufungwa goli la 2 Simba ndo ilitakiwa angalau ipate goli kwa "V-PASS" mbili za Kapombe ambazo zilikosa umaliziaji,, ambapo kwa muda ule ilitakiwa No. 10 au 8 wakae kwenye kinusu duara au "D" mbele ya goli la Yanga..

Baleke hawezi kutimiza jukumu lake mama la kufunga kwa kuleta utoto kwenye mechi serious,,, akili yake ni kupiga CHENGA zisizo na faida na momentum ya timu kwa wakati huo,,, anataka kufanya vitu kwa faida yake na si kwa ajili ya timu...

Kwasababu kuna muda anatakiwa awatengenezee wenzake nafasi wafunge ila YEYE atalazimisha tricks zake za KIJINGA mpaka atapoteza nafasi... Mara nyingi akishaharibu atalazimisha kupiga mashuti tu yasiyo na maana... Kiufupi BALEKE ni striker tukicheza na akina COASTAL UNION na DODOMA......
CHAMA hata kama ndo inasemwa sijui FOOTBALL BRAIN yake ni KUBWA ila kukosa kasi ndo janga lake... , kama huenani na INTENSITY ya hizi mechi KUBWA kwenye level za haya mashindano you are just nothing... Ndo maana mara zote mbili alizojaribu kucheza UARABUNI ameshindwa kuendana na KASI ya SOKA la kaskazini...
KIBU ni kama anabebeshwa zigo lililomzidi uwezo kwa nafasi anayocheza,,, yaani hata kama anahangaika sana uwanjani lakini ni kama hajui anahangaika nini,,,,
WORKRATE with no EFFICIENCY is HOPELESS... Mtaani tunasema NGUVU PIPA AKILI KISODA...

SAIDO naye ni jeshi la mtu mmoja yeye kutoa pasi mapema kwake ni dhambi mpaka abanwe,, sasa ATTACKING MIDFIELDER halafu unakuwa mchoyo????, SAIDO na KIBU ndo wachezaji wanaoongoza kwa kufanyiwa rafu ka Simba kwasababu wanaopenda kukaa sana mpira,,,

ONANA hata apewe miaka 10 ya kuangaliwa, hakuna atakaloongeza kwa Simba hii....

MIQUISSONE tuishie hapo...
 
Point mkuu
 
Umeongea pwenti sana mkuu.

Huu ni mwanzo wa kufanikiwa, sio kipindi kile kila mkifungwa mnatafuta tatizo nje ya timu, mara Yanga kahonga timu pinzani, mara Yanga kamuhonga refa, mara timu zinaikamia Simba, haya yote yamekuwa yanawapa upofu hamuoni tatizo la kweli.

Now you are talking.
 
Back
Top Bottom