ubingwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mngony

    JamiiForums Tanzania Simba mnaweza kusajili vizuri, mkaweka motisha kwa wachezaji lakini mkikubali ARAGIJA akacheza mechi zenu msahau Ubingwa

    Wenyewe mnaona katika misimu miwili iliyoisha, Ubingwa unaenda kujilikana mpaka siku ya mwisho kwa maana ya kuwa tofauti ndogo kabisa ya Point zisizodi 3 ndio huwatengenisha na Mabingwa. Najua uamauzi wa kusajili na kuandaa timu vizuri mnalichukulia kwa Uzito ili kufanya vizuri mashindano ya...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ushabiki wa Simba na Yanga Kila Wikiendi: Je, ni Upendo wa Mpira, Tiba ya Stress za Maisha, au ni Mtego wa Kisiasa na Kibepari Unaomnyonya Kijana?

    Wakuu, inakuwaje? Wikiendi hii jiji la Dar es Salaam limetawaliwa na kile kinachoweza kuitwa "vurugu za makombe mtaani." Kwanza tuliona Paredi la Yanga SC la kusherehekea Ubingwa wao, likiongozwa na Rais wao Eng. Hersi Said aliyeibuka juu ya gari la wazi akidunda na mataji mbele ya mitaa ya...
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Serikali ipo Upande wetu sisi Wanayanga. Simba isahau kuhusu kuchukua Ubingwa

    Nlisema as long as Samia ni Rais basi Yanga tuta enjoy Misimu yote Ubingwa. Maana hilo lipo ndani ya uwezo wetu.
  4. Southern Highland

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kulikua na makosa ya kibinadamu kwa waamuzi LAKINI SIO SABABU YA KUKOSA UBINGWA

    Nimemsikiliza jana Crecentius Magori (Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba) alihojiwa na Azam baada ya mechi yao na Azam FC kuisha anasema kusingekua na makosa ya kibinadamu hata ligi ya NBC wangebeba. kwenye ligi ya NBC na kombe la shirikisho CRDB Tanzania bara kumekua na malalamiko kadha...
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Simba haiwezi chukua Ubingwa kwa Azam Zanzibar

    Nilisema na nasema tena. Simba haimfungi Azam Zanzibar. Kupeleka kule ni mkakati Maalum Azam kwao ni Zanzibar kama hamjui. Nimekaa hapa
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano pablo martin akabeba ubingwa morocco

    Aliyekuwa kocha wa zamani wa Simba Pablo Martin anaweza kubeba ubingwa wa Botola ligi kama inavyojulikana ligi ya Morocco baada ya kuongoza kwa pointi 56 na wapinzani wake wa karibu RS Berkane na As Rabat wakifuatia kwa pointi 54 kwa 53 ikiwa imebaki mechi moja. Kocha huyu aliondoka Simba...
  7. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Kimazingira Arsenal kabebwa ubingwa EPL 2025/26

    Baada ya rejea mbalimbali za matukio ikiwemo penati,faulo na kadi nyekundu katika ligi kuu ya uingereza msimu wa 2025/26. Imebainika kwamba Manchester city walitakiwa kuongoza ligi kwa pointi mbili akifuatiwa na arsenal kabla ya mechi ya mwisho . Matukio mawili muhimu: 1.Dalot alitakiwa kupewa...
  8. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Nimefurahishwa na Serengeti Boys kutotwaa ubingwa, raha tupu yaani!

    Numeona nianzishe Uzi kama huu, maana wenzangu wengi wameshafungua nyuzi za kuipongeza Serengeti Boys kutema ubingwa. Nimeona nami nisibaki nyuma katika hili. Hongera Serengeti boiz 👏👏👏👏.
  9. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Arsenal Kushinda Ubingwa ni dalili kuwa EPL imeshuka viwango

    Arsenal ni sawa na JKT au TRA! Matusi hayaruhusiwi hapa
  10. loose Nut

    JamiiForums Tanzania Hata Merino ambaye ni majeruhi alirukaruka kwa furaha baada ya Arsenal kutwaa ubingwa

    Kwenye Video hapo chini usiku wa kuamkia leo Kikosi kizima cha Arsenal kilikuwa Kwenye chumba uwanjani kwao Emirates wakifuatilia mubashara mechi kati ya City na Bournemouth. Unaweza kumuona Martinelli akikata tamaa baada ya Haarland kusawazisha goli. Lakini baada ya kipenga cha mwisho ni...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mpira leo naona utaitendea haki Arsenal: Itapata ubingwa ikiwa imekaa sebuleni!

    Imepita zaidi ya miaka 20 tangu Arsenal iteae ubingwa wa ligi kuu nchini Uingereza. Pamoja na kucheza soka safi la kuburudisha huwa wanaishia kunawa tu! Lakini hatimaye inaelekea soka linaenda kuitendea haki Arsenal itwae ubingwa ikiwa nje ya uwanja. Hadi muda huu Man city kachapwa 1-0. Matokeo...
  12. Chibike

    JamiiForums Tanzania Imefahamika: Wamoroko walishinikiza CAF wawape ubingwa ili waweze kuandaa WAFCON, sababu nyingine mbili zisome hapa chini

    Ukweli ndio huo ndugu zangu waafrika. Imebainika hivyo ya kwamba michuano ya WAFCON kwa wanawake ilimsimamishwa ghafla kwa sababu ambazo hazikuwekwa wazi, ila imekuja kubainika ya kua kumbe wamoroko walitoa mashinikizo makubwa na vitisho kwa CAF kuhusu rufaa yao kua wanaitaji kushinda na wawe...
  13. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Nimefurahishwa na maamuzi ya CAF kumvua ubingwa Senegal

    Senegali walifanya tukio la aibu mbele ya wageni na dunia nzima. Wakati mpira wa Afrika ukianza kuimarika na kutazamwa na watu wote dunia wao Senegal hawakuona hilo na wala hawakuweza kufikiri nini kinafuata. Mpira ni biashara na hatima za maelfu ya watu unawezaje kufanya blander kama ile...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Senegal wapokwa ubingwa wa AFCON 2025 na CAF, apewa Morocco

    Morocco imetawazwa kuwa mabingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika la 2025 baada ya uamuzi mzito siku ya Jumanne kueleza kuwa ushindi wa bao 1-0 wa Senegal kwenye fainali umebatilishwa. Senegal ilikuwa imeshinda mechi hiyo huku Pape Gueye akifunga bao la ushindi katika muda wa nyongeza, lakini...
  15. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Arsenal wakitwaa ubingwa wa EPL haya yatatokea.

    Endapo Arsenal itatwwa ubingwa wa EPL mambo mengi yanaweza kutokea/kubadilika. Haya 👇ni baadhi tu. 1. Paul kagame atakuwa kibonge maana Arsenal ndo club aioendayo duniani. 3. Mashabiki wa manjesta unaited watazidi kukonda japokuwa uwezekano wa wa kumaliza kwenye top four ni mkubwa kwao. 4...
  16. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Fabian Joseph ndo Mtanzania wa kwanza kupata medali ya dhahabu kwenye mashindano ya ubingwa wa Dunia

    Medali aliyoshinda Simbu ni ya kwanza Tanzania kwa mbio za marathon na siyo ya kwanza kupatikana kutoka IAAF World Athletics championship. Mwanariadha Fabiano Joseph alikuwa mtanzania wa kwanza kuipatia Tanzania medali ya dhahabu kwenye World Athletics Championship mwaka 2005 jijini Edmonton...
  17. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Tokyo, Japan: Alphonce Simbu ashinda Medali ya Dhahabu ya kwanza nchini kwa kushinda mbio za Dunia za Marathoni

    Mtanzania Alphonce Felix Simbu ameshika nafasi ya kwanza na kushinda Medali ya Dhahabu katika mbio za Marathoni Kilometa 42.195 upande wa Wanaume katika mashindano ya Dunia ya World Athletics Championships 2025 akimshinda Mjerumani Amanal Petros. Simbu ametumia Saa 2:09:48 akipishana na Petros...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Kumbe kifo cha kipepeo mkuu kilikuwa njama ya kumchafua "Daftari kuu" ili ubingwa wa SISEMI uonekane umepangwa

    Taarifa za uongo zilizosambazwa mtandaoni hivi karibuni kuhusu kifo cha Mkurugenzi Mkuu wa Vipepeo zimeibua gumzo kubwa baada ya Mstaafu wa Kyuba kutoa neno jana. Kilichoshangaza wengi ni namna jina la Mkuu wa Daftari, "Bw. Kajimu," lilivyoandikwa mara moja kama mrithi wa bustani ya vipepeo...
  19. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro ya Sweden yatwaa ubingwa wa bonanza la Serengeti nchini Ubelgiji

    KILIMANJARO YA SWEDEN YATWAA UBINGWA WA BONANZA LA SERENGETI NCHINI UBELGIJI Na Mwandishi Wetu, Antwerp, Ubelgiji. Timu ya soka ya Watanzania iitwayo Kilimanjaro kutoka Sweden imetwaa tena kwa mara ya nne mfululizo ubingwa wa kombe la Bonanza la Serengeti katika michuano iliyofanyika tarehe...
  20. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Kwa huu usajili wa the red devil ubingwa lazima

    Msimu utakua wa moto maniue akichukua ndooo UCL na upuuzi mwingine
Back
Top Bottom