nampenda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baba mtakatifu91

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tangu nijiunge na JF nimekuwa nikivutiwa sana na SERAN

    Tangu nijiunge na Jf nimekuwa nikivutiwa sana na wewe 1.Vituko vyako 2.Kujiamini kwako 3.Tabasamu lako😁 4.Wa kishua(umekaa kimjinimjini) 5.Hutaki nginjangija(unajikubali sana) 6.Avatar yako unaonekana ni bonge la totoz na hizo nywele zako za asili nyeusi tiiii 7.Kiukweli usipocomment...
  2. Forrest Gump

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda ‘Seran’ ila nahisi kashachukuliwa na mwana JF fulani hivi?

    Seran wewe ni zabibu na muhibu Wewe ni upendo na mrembo. Tafadhari nipe nafasi hata tufahamiane, unijue. Kama kweli haupo na bwana yule mwenye majina ya initials ya herufi ya kwanza la jina la kwanza ni E na herufi ya kwanza ya jina la mwisho ni C, adui wa kobazi JF Maana nawaona mkicheka...
  3. mager6

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana huyu dada

    min -me nitafutie huyu mwanadada mwanajeshi kwa jina ephen_
  4. ChekoFagia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna mdada nafanya naye kazi ofisi moja, nampenda lakini naogopa kumwambia — nifanye nini?

    Mimi ni mfanyakazi katika moja ya ofisi hapa mkoa wa Arusha. Tunafanya kazi ambayo siyo ngumu sana, mara nyingi ni kutumia kompyuta na kushughulikia majukumu ya kila siku ya ofisi. Ndani ya mazingira haya ya kazi, kuna mdada mmoja ambaye tumekuwa tukifanya kazi pamoja kwa muda sasa. Kwa mwanzo...
  5. Kazanazo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mdada nampenda nimetumia njia zote kanikataa sasa imebaki njia moja tu

    Nimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini...
  6. Mi mi

    JamiiForums Tanzania TRUMP: Nampenda Xi Rais wa China lakini ni mgumu katika kufanya makubaliano Trump asema

    Bila shaka kuna vitu Trump kajifunza kuhusu Xi katika hivi vita vya biashara na ushuru mpaka tulipo fikia hapa inawezekana alikuwa ana mchukulia kawaida Rais wa China Xi kama anavyo vichukulia virais vya nchi masikini kama Tanzania. Donald J. Trump Truth Social 06.04.25 02:17 AM EST I like...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nampenda Rais wangu mana huwa anaongea ukweli. Hatakagi kuongea fix ili kuwafurahisha watu kama mtangulizi wake.

    Samia is real an icon of this particular country and world at large. She speaks her mind truthfully with no lies to make people happy even if they are not happy During the magufuli's regime the government was run on fixes and proxies such that no one was allowed to query even though there...
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda sana humu member anayeitwa tajiri wa kusini ana pesa na roho mzuri wakuu

    Wakuu kusema ukweli nimetokea sana kumpenda Tajiri wa kusini jamoni wewe huyu mkaka nampenda sana jamani ana hela sana yaani kumsalimia tu na kumpa hi tu najikuta natumiwa pesa taslimu 2.5M wakati sijamuomba jamoni huyu ndiyo husband material kabisa Huyu jamaa sijui anafanya mishe gani sijui...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Azim Dewji awajibu wanaomponda Chasambi, adai "mimi mbona nampenda Maxi, je mi ni Yanga?

    Mfadhili wa zamani wa Simba SC, Azim Dewji amesema haoni maana yoyote ya kosa la Ladack Chasambi katika mechi ya Fountain Gate lizue mjadala kwa sababu alishawahi kumtaja mchezaji wa Yanga Maxi Nzengeli kama mchezaji kioo chake. Dewji amesema yeye pia anampenda Maxi Nzengeli na ndiye mchezaji...
  10. DeepPond

    JamiiForums Tanzania Elon Musk: Nampenda TRUMP Kama MWANAUME anavyoweza kumpenda MWANAUME mwenzake

    Siku ya Jana kupitia mtandao wake WA kijamii, maarufu Kama X , Bilionea Elon Musk ameandika kua Anampenda Raisi Donald Trump Kama vile mwanaume anavyoweza kumpenda MWANAUME mwenzake. Aisee, imekaaje hii wakuu au mi ndo sijaelewa🤔
  11. Fazz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda sana mke wangu lakini huu mchepuko nashidwa kabisa kuuacha

    Salaam wakuu Mimi ni mmjawapo wa kijana nisiyekubaliana kabisa na kataa ndoa. Nimeoa na nna mtoto mmoja na mke wangu kipenzi. Uamuzi wa kuoa niliuchukua baada ya kuona kama nimeshamaliza kila kitu nineshaonja za kila aina kumbe nilikua najidanganya maskini mimi. Nilikutana na huyu binti...
  12. Melki Wamatukio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Picha: Amesema kama nampenda tushone hivi kwa gharama zake halafu twende kwao Sinza kwa miguu

    Duh! Ila mabinti wa kishua hasa hawa wa 2000 wana matatizo gani lakini? Aliniambia atanipatia jibu, badala ya jibu akaniambia niingie WhatsApp, akanitumia picha, akaniambia kama kweli namtaka kimahusiano niwe tayari kuvaa hivi kwa gharama zake, kisha tutoke Kagera hadi Sinza kuanzia saa 10 jioni...
  13. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mlio karibu na Iman Luvanga mwambieni nampenda

    Ndugu zangu mficha mauti kifo humuumbua wakuu kuna mtangazaji wa crown media anaitwa Iman Luvanga wakuu nampenda na kumpenda zaidi 🥰🥰🥰🥰 mfikishieni mlio karibu nae aiseee
  14. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Mike Tee ft. Juma Nature - Nampenda Nani

  15. Melki Wamatukio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jirani yangu ana mke mzuri nimetokea kumpenda sana

    Huyu jirani yangu ni playboy, kila baada ya miezi mitatu alikuwa ana-renew wanawake, lakini kwa huyu aliyenaye kwa sasa, anavutia sana. Siku zote nimekuwa nikingoja kifurushi kiishe, ni mwezi wa nne sasa tokea amekuwa naye, hakuna hata dalili. Nimechoka kumchukulia sheria mikononi, siku zote...
  16. RUSTEM PASHA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kesho Agosti 9, 2024 anaenda Urusi kusoma, nimegundua kumbe nampenda

    Aiseee nilikua namsumbua na kumchukulia poa, lakini siku yakesho anaondoka kwenda Urusi kusoma, nimeanza hisi simanzi na upweke moyoni mwangu. Nimegundua kumbe huyu binti nampenda, inaniuma natamani asiondoke lakini ndio haiwezekani.
  17. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nampenda Rais Samia siiungi mkono CCM na mambo yake

    Mimi nampenda Rais Samia kwa dhati yeye kama Rais ila mfumo uliomuweka hapo ambao ni ccm kwakweli sikubaliani nao. Naamini tuko wengi wa aina yangu ndio maana nitabaki kuwa mwana chadema mwaminifu ili nijitofautishe na itikadi na hulka za CCM. Mama Samia Mungu akubariki wewe ila mfumo wako...
  18. The Mongolian Savage

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda sana “To Yeye”

    Nothing to hide here. She's my everything the air I breathe my bread when am feeling hungry. I will cross the ocean for her, I will go bring her the moon, al be her fortress tall and strong. And if there's a mountain to move I will move that mountain for her. I dont fear death Am ready to...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana Nifah

    Ebana wanajamvi inakuwaje? Sina maneno mengi. Though she's taken, she is my dream woman. Secret admirer!
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nampenda member Eph

    Huyu memba nampenda sana, mimi ni yule yule kijana wa makamo 40+. Wewe member nakupenda sana sijali watakachosema mimi na wewe mpaka kiama. Nakupenda Eph kwanza hueleweki mchumba wako ni nani, humu wanakupaparikia ikiwemo mimi, nmekusoma sana kimyakimya lakini sikati tamaa. Sema utakacho dear...
Back
Top Bottom