daktari

Daktari (Swahili for "doctor") is an American family drama series that aired on CBS between 1966 and 1969. The series is an Ivan Tors Films Production in association with MGM Television starring Marshall Thompson as Dr. Marsh Tracy, a veterinarian at the fictional Wameru Study Centre for Animal Behaviour in East Africa.

View More On Wikipedia.org
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Uzazi Bila Maumivu: Daktari Bingwa Aeleza Epidural

    Daktari Bingwa wa Usingizi na Ganzi Tiba, Lugano Wilson, kutoka Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodona anatupitisha zaidi kwenye hduma hii kuanzia historia yake, sababu za kuanzishwa kwa huduma hii ya uzazi, faida yake, malengo ya huduma hii kwa miezi sita ya kwanza na usalama wa huduma hii...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Daktari Mkapa Hospital Afafanua Huduma ya Epidural

    Daktari Bingwa wa Usingizi na Ganzi Tiba, Lugano Wilson, kutoka Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma anatupitisha zaidi kwenye huduma hii kuanzia historia yake, sababu za kuanzishwa kwa huduma hii ya uzazi, faida yake, malengo ya huduma hii kwa miezi sita ya kwanza na usalama wa huduma hii...
  3. fact only

    JamiiForums Tanzania Hii ina-maana Daktari alikuwa sahihi kumshushia KIPIGO Trafiki?

    Hellow wana JF. Kutokana na sakata linalo endelea hivi sasa la madereva wa Tanzania kugoma kutoa hudumu za usafirishaji. Kutokana na sababu mbalimbali na lawama kubwa kwa Matrafiki wa barabarani. Je ina-maana bwana Daktari alikuwa sahihi kumshushia kipondo kizito Trafiki?
  4. Milvik Tanzania

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Afya Nchini na Jinsi ya Kupata Payo la Daktari Bila Kufuata Folani

    Habari za muda huu Wana-JamiiForums, Katika siku za hivi karibuni, tumeshuhudia ongezeko kubwa la changamoto mbalimbali za afya nchini kwetu—kuanzia magonjwa yasiyo ya kuambukiza kama vile presha na kisukari, mpaka yale ya msimu kama vile malaria na matatizo ya mfumo wa chakula. Moja ya...
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ukweli mtupu: Nchi inaweza kuwa bila Daktari kwa zaidi ya mwezi mmoja lakini haiwezi kuwa bila askari hata kwa siku 5 tu.

    Nyie ambao mlimtweza yule askari wa usalama barabarani na aliyeangushwa na yule Daktari mwenye kisukari cha kupanda na kushuka lazima mkubali huu ukweli. Jamii yoyote, mtu yeyote ana nature ya uasifa tabibu. Mtu akipata ugonjwa kama hana pesa au bima ya kwenda hospital atapata njia mbadala...
  6. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Kama ulikua hujui kuwa kua Dr dogoli AMEWAHI KUTAPELIWA PIKIPIKI KIZEMBE wacha nikufahamishe;- Dogoli huyu kabla ya kuwa daktari

    Kama ulikua hujui kuwa kua Dr dogoli AMEWAHI KUTAPELIWA PIKIPIKI KIZEMBE wacha nikufahamishe;- Dogoli huyu kabla ya kuwa daktari, Amewahi kufanya kazi tofauti tofauti kama ilivyo kwa vijana wengine, Na moja ya kazi niliowahi kuifanya ni kazi ya bodaboda, Ambayo mwisho wa siku...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Advocate Mtatiro: Polisi wamemtesa sana na kumuumiza Daktari aliyepigana na Traffic

    Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram ameandika: "Kuna msamaria mwema ndani ya Jeshi la Polisi kanijulisha kwamba Doctor Conrad Agonza ambae alipigana na Traffic yupo kituo cha Polisi Oysterbay. Anasema juzi baada ya Wanajeshi wa JWTZ kuachanisha ugomvi huo, walimchukua Dr. Conrad...
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Wananchi wenye hasira walivyompiga Daktari Bingwa wa Mloganzila aliyemshambulia Askari

    Ikumbukwe kuwa tukio hilo lilitokea Septemba 8, 2026, baadaye Jeshi la Polisi likatoa taarifa kuwa linamshikilia dereva huyo ambaye alitambulika kuwa ni Conrad Agonza Kayoza (35), Daktari Bingwa Magonjwa ya Ndani katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila na mkazi wa Lugalo na Mloganzila...
  9. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha Ugomvi wa jana kati ya Trafiki na Daktari ni rushwa. Rushwa imekuwa haki ya askari wa usalama barabarani.

    Itoshe kusema taifa limeshaanguka tayari. Hakuna tena mamla na taifa limeingia kwenye hatari isiyoelezeka. Kwa ufupi tumekwisha.
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Chama cha Madaktari Tanzania watoa Tamko Juu ya Kukamatwa kwa Dkt. Conrad Agonza Kahyoza

    Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) kimepokea taarifa kuhusu tukio lililotokea tarehe 8 September 2026 katika eneo la Lugalako, Kinondoni, Dar es Salaam, linalomhusisha Dkt. Conrad Agonza Kahyoza ambaye ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani katika Hospitali ya Taifa Muhimbili - Mloganzila na...
  11. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Polisi form four failure wanataka kumuua Daktari Bingwa

    Wamempiga sana na kumfanyia unyama wa kila aina na sasa yuko hoi katika chumba cha ICU. Daktari mmoja bingwa ni zaidi ya polisi 3000
  12. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Polisi wamempiga daktari mwenzetu mpaka kalazwa ICU

    Yule jamaa aliyeonekana wakitoshana na traffic pale mwenye ni Daktari bingwa wa internal medicine,kwenye gari alikuwa ameweka koti jeupi nyuma ya kiti, wanajeshi wakamchukua, hatujui walimpeleka wapi, na jamaaa alikuwa anawahi kazini mloganzila. Taarifa ni kwamba yupo hospital ICU, sasa ndugu...
  13. Teremaro

    JamiiForums Tanzania Daktari wa maswala ya uzazi kwa mwanaume

    Habari Wana JamiiForums, naomba kujua Daktari mzuri ama hospital inayotibu maswala ya uzazi wa mwanaume! Asante sana
  14. Dr. Wansegamila

    JamiiForums Tanzania Je, huwa unahakikisha kuwa daktari aliyekuhudumia ni daktari bingwa kwa kadri ulivyolipia kuonwa na daktari bingwa?

    Hospitali, hasa hospitali binafsi, huwa zinatoza ada tofauti kwa huduma za daktari wa ujumla (Medical Doctor/GP), daktari bingwa na daktari bingwa bobezi. Kama umeomba na kulipia kuonwa na daktari bingwa (Specialist), ni muhimu kuthibitisha kuwa huduma uliyopokea ndiyo uliyolipia. Nimegundua...
  15. betting machine

    JamiiForums Tanzania Nahitaji namba ya daktari wa afya ya uzazi kwa wanaume , nasumbuliwa na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume

    Nahitaji daktari humu ndani niwasiliane nae naombeni msaada wenu tafadhali
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usihangaike na maridhiano, hawa hawakutaki tu kwa sababu zao

    Walikukataa hata kabla hujawa Rais. Hawakutaka uapishwe kuwa Rais baada ya kifo cha Rais Magufuli, hawakutaka ugombee nafasi ya urais, hawakutata uchaguzi ufanyike. hata baada ya uchaguzi hawakutaka uapishwe na hata baada ya kuapishwa hawataki uongoze nchi na nchi isitawalike. Maridhiano nao...
  17. V

    JamiiForums Tanzania KERO JKCI na ADA ya kumwona DAKTARI

    Hivi inakuaje pale JKCI unatozwa viwango tofauti vya kumwona daktar kutokana na kifurushi cha bima, mfano ukiwa na kifurushi cha bima cha juu wanakutoza 100,000/= ukiwa na bima kifurushi cha chini wanakutoza 60,000/= je hii sio kuumiza wananchi au ikoje!? Makato ni ya juu halafu unaingia kwa...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya Madaktari na Wafamasia wenye 'access' ya dawa kwenye maeneo yao ya kazi, hutumia fursa hiyo kuzidokoa na kupeleka kwenye maduka yao

    Mimi ambaye nipo kwenye utumishi wa umma mwaka wa 11 sasa ndani ya ofisi 3 tofauti za serikali inatosha kuitwa mkomavu. WAFANYAKAZI wengi wa umma wanakwenda kazini aidha kupiga deal tu na wengine ambao ofisi zao hazina mafuta mafuta huenda kazini kutimiza tu wajibu ili wasifukuzwe kazi walijua...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO "Gharama za Kumuona Daktari" NI MSEMO ULIOFICHIKA

    Ni ukweli kwamba gharama zinazotajwa ili uweze kuonana na daktari hazijawahi kuwa za daktari na waala daktari hajawahi kuzipokea ila ni gharama ambazo zimewekwa ili kusaidia uendeshaji wa huduma za afya na vitu vingine kwenye kituo husika. Na kama serikali inamaanisha kuwa ni gharama za...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Inakuaje mbunge Hajui kwamba hela ya kumuona daktari ni ya serikali yao CCM

    Habari . Kwanini wabunge watanzania wanachangia hoja pasipo kuwa wafuatiliaji wa mambo. Leo nimeona mbunge mmoja anaongea kuhusiana na hela ya kumuona Daktari (consultation fees) Hii ni fedha muongozo wake ulipitishwa bungeni na wabunge wakakubali. Kingine hela ya kumuona Daktari haingii...
Back
Top Bottom