Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (pia huitwa kwa Kiingereza: Tanzania Communications Regulatory Authority ambapo mara nyingi huitwa kwa kifupi: TCRA) ni taasisi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yenye majukumu ya kusimamia sekta za mawasiliano na utangazaji.
TCRA Ilianzishwa kwa Sheria ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Na. 12 ya mwaka 2003 kusimamia huduma za kielektroniki na posta na masafa ya mawasiliano nchini Tanzania. Mamlaka ilianza kazi tarehe 1 Novemba 2003 na inafanya shughuli za zilizokuwa Tume ya Mawasiliano Tanzania (TCC) na Tume ya Utangazaji Tanzania (TBC).
Mamlaka ya TCRA ni kusimamia sekta ya posta, mawasiliano ya kielektroniki na utangazaji katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ikiwa ni pamoja na:
Kuzifanya shughuli za TCRA kuwa za kisasa kwa kutumia teknolojia sahihi;kuimarisha tafiti zenye ubora katika huduma zinazodhibitiwa, uwezo na umahiri wa watumishi.
Kukuza ufanisi; kuaminika na kuhakikisha usalama wa miundombinu ya mawasiliano na matumizi yake.
Kukuza ufanisi na unafuu wa huduma za Mawasiliano na kuongeza upatikanaji wa huduma za Posta na TEHAMA katika maeneo yasiyohudumiwa ipasavyo na yale yasiyo na huduma kabisa.
Kulinda maslahi ya wadau na kukuza uelewa wa haki na wajibu wao.
Kufuatilia utendaji wa huduma zinazosimamiwa na kuhakikisha utekelezaji wa Sheria na Kanuni kwa viwango vinavyostahili.
Kuratibu utekelezaji wa ahadi za kisekta kitaifa, kikanda na kimataifa.
Kufikia kiwango cha juu ya kuridhisha wateja kama ilivyoainishwa kwenye Mkataba wa Huduma kwa Mteja wa TCRA.
Kuendelea kuzingatia matakwa ya kisheria na kiusimamizi.
Sera zinazoathiri utendaji kazi wa TCRA ni pamoja na:
Ikiwa ni siku chache tangu chombo cha habari cha kimataifa cha BBC News kuchapisha makala iliyomhusu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, zimeendelea kusambaa taarifa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa Rais mstaafu wa Awamu ya Nne wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, ametoa kauli ya kutaka...
Sio vizuri kutaja kampuni ila hizi kampuni za mitandao zipo chini ya usimamizi wa TCRA.
Technology kila siku inabadilika na maitaji yanazidi kuwa tofauti.
Kampuni nyingi za mawasiliano udanganya kuwa huduma hizo wameshaweka ila ukichunguza kama wanabadilisha jina ila kifaa ni kile kile.
Leo...
Mara ya kwanza mwezi juni 2026 TCRA wali block account zote na pages za Facebook na hivyo Civilian-Coin alitengeneza akaunti mpya na pages zingine. Juzi Tena wali block Account ya Asubuhi News na pages zake: ANS, TVO, Celebrity, Advertisement, Marketing and Promotion, C-C Digital Pro, C-C Daily...
Daa, hadi mwili unatetemeka.
Leo nimepata very classified information kutoka Tanzania kuhusiana na kutekwa Kwa Hamphley Polepole.
Polepole alikuwa mwiba mchungu Kwa CCM na Samia. Na hali hii ilipelekea serikali kupambana usiku na mchana kumuwinda.
Familia ya Polepole na Polepole mwenyewe...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo akizungumza Bungeni, Aprili 30, 2026, ambapo ametoa ushauri kuhusu Serikali kupitia Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano (TCRA CCC) kuingilia kati kusaidia Wananchi ambao ameeleza kuwa wana manung'uniko kuhusu 'bando' za simu.
Amesema hayo...
Wakuu,
Huyu baba nlikuwa simpendi jamaniiiiii, bora wamekiondoa, kila kitu cha digitali kwake ni kama haramu, mbwa kabisa!!
YAH: UTEUZI NA KUPANGIWA KITUO BALOZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na kumpangia kituo Balozi. Kwa mujibu wa...
Jamani kuna jambo linahitaji majibu ya wazi.
Mwaka jana TCRA waliifungia JamiiForums kwa takriban siku 90, wakisema ni adhabu. Sawa, adhabu ikaisha. Lakini mpaka leo, ili kuingia kwenye hii platform bado watu wengi wanalazimika kutumia VPN.
Swali langu ni hili: kama adhabu iliisha rasmi...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu gazeti la mwananchi la leo
https://www.mwananchi.co.tz/mw/kolamu/kwa-nini-tunahitaji-kuulinda-uhuru-wa-vyombo-vya-habari-5417540
Hili ni Swali: Media tukiendelea kuunyamazia unyanyasaji huu wa uhuru wa habari na uhuru wa maoni kwa mujibu wa Ibara ya 18 ya Katiba...
Hii ndio uozo mwingine wa taasisi za serikali nchini.
Ona hawa TCRA. Wana page kwenye website yao kwamba ikiwa una malalamiko dhidi ya kampuni yeyote ya mawasiliano nchini basi watumie ujumbe kupitia page hii hapa chini.
Sasa uozo uliopo ni kwamba wao wenyewe hii page yao ipo kama pambo...
Wanabodi
Leo tumemuaga mwana tasnia ya habari, Dennis Busulwa kwa jina maarufu la Ssebo
Hii ni Tribute yangu to Dennis Busulwa (Ssebo), aliiheshimu sana TCRA na kuiita Baba!. Alitamani TCRA isiitwe Mamlaka ya Udhibiti, iitwe Mamlaka ya Ulezi wa Tasnia ya Utangazaji!, na kuiita Baba Mlezi wa...
Mliwafungia miezi 3 , wametiii sheria bila shuruti, sasa tatizo liko wapi?
Tueleze na sisi umma tujue tatizo ni nini!? Hii ni very very important news outlet kwa Tanzania na dunia kwa ujumla kwa watanzania walio je ya Tanzania na wadau wanaotaka kijia what is happening in Tanzania.
Meneja wa Huduma kwa Wateja na Watumiaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Kadaya Baluhye, amesema kuwa kuwaandaa watoto kukabiliana na ulimwengu wa kidijitali ni njia bora ya kuwalinda kwa pamoja kama kundi na kama jamii.
Ameeleza kuwa badala ya kuwazuia watoto kutumia vifaa vya...
Meneja wa Huduma kwa Wateja na Watumiaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Mhandisi Kadaya Baluhye, amewataka waathirika wa unyanyasaji mitandaoni, ikiwemo uvujaji wa picha za utupu, kutoa taarifa kwa Jeshi la Polisi ili wapate msaada unaostahili.
Wito huo umetolewa wakati wa...
Nimepitia ripoti ya robo ya pili ya mwaka ya mamlaka ya mawasiliano Tanzania nimeona TCRA wametujulisha kuhusu kushuka kwa ubora wa mawasiliano ya simu nchini lakini hawajasema wanafanya nini baada ya mawasiliano hayo ubora wake kushuka.
Ripoti imekaa vizuri sana na hawajataka kuficha kitu...
Wakuu,
Inaonekana platform yetu pendwa bado imezuiliwa ingawa kifungo hicho kiliondolewa rasmi zaidi ya mwezi mmoja sasa. Bila VPN hutoboi...
Tuunganishe nguvu zetu ili kuwafahamisha watu wengi zaidi jinsi ya kuingia JF, kama jinsi akina Erythrocyte walivyopotea mwanzoni, yaani tuhakikishe...
TAARIFA KWA UMMA
Mnamo Septemba 6, 2025, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilisitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums na kuzuia upatikanaji wa jukwaa kwa siku 90, kwa madai ya ukiukwaji wa Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta. Pamoja na kutambua athari kwa haki ya...
Kuna wakati Gerson Msigwa alikuwa mstari wa mbele kuwasema waandishi wa habari kujikita katika kuleta habari zenye uhakika na zenye kuzingatia balance na uhakiki, na zisizo zua taharuki kwa jamii, Watanzania wazalendo tunashangaa si tu kwa press hizi za Wanaojiita wakatoliki ambao si tu kwamba...
Jamii Forums ilifungiwa siku 90 ambayo adhabu hiyo imeisha tarehe 6 December, 2025
Hadi Leo hii Taasisi unahujumu jamii forums Kwa kiburi tu bila sababu ya msingi.
1. Jamii forums ni walipa Kodi wa serikali, kwanini wazuie huduma kibabe, bila taarifa Kwa umma
2. Jamii forums imeajiri vijana...
Watu wamejikuta wakitapeliwa kwa singizio cha unafuu.
Hapa serikali ya wapaka mikorogo na ushungu wa FFU uwezi kuona wakisema ili.
Embu tupate Futuhi ya watoa mikopo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.