tpa

  1. Pfizer

    Ushirikiano wa TPA na DP World kuongeza shehena na kuleta ufanisi Bandari ya Dar

    Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imejipanga kushirikiana na Kampujni ya DP World ili kuongeza ufanisi wa huduma za kibandari na kuwezesha ongezeko la Meli na Shehena katika Bandari ya Dar es Salaam Akizungumza katika Kikao cha Wadau wa Bandari na Sekta ya Uchukuzi...
  2. K

    Kuhamia DP World au Kubaki TPA: Ushauri kwa wafanyakazi wa TPA

    Majuzi kumetokea tangazo kwa wafanyakazi wa TPA kuchagua kubaki TPA au kuhamia DP World. Hili ni jambo zuri lakini binafsi nina ushauri kwa wafanyakazi wa TPA. Kwanza uamuzi wa jambo hili lifanyike kwa umaakini mkubwa na ninashauri kama ifuatavyo: (1) Kampuni yeyote inapofanya kazi nia kubwa...
  3. Kiboko ya Jiwe

    Ushauri kwa watumishi wa TPA

    Hello! Kutokana na notice mbili za mfululilizo zilizotolewa na uongozi wa Mamlaka ya usimamizi wa Bandari (TPA) nawashauri watumishi wa TPA kutumia akili na kuwa fast. Mambo yananadilika, hakuna mtu au kikundi cha watu kinaweza kushindana na serikali. Acheni kusikiliza watu wa nje, acheni maneno...
  4. Suley2019

    Mamlaka ya Bandari (TPA) yatoa ufafanuzi kuhusu hali ya ajira za Watumishi wa Bandari ya Dar es Salaam

    UFAFANUZI KUHUSU HALI YA AJIRA ZA WATUMISHI KAΤΙΚΑ BANDARI YA DAR ES SALAAM Ijumaa 22 Machi, 2024 DAR ES SALAAM Jumatano tarehe 20 Machi, 2024 Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) ilitoa taarifa kwa Watumishi wake kuhusiana na mabadiliko ya uendeshaji wa Bandari ya Dar es Salaam, Gati...
  5. K

    DP World kuanza mchakato wa kuajiri, Wafanyakazi wa TPA wadaiwa kutakiwa kuchagua kwenda DPW au kubaki TPA

    Wale waliokuwa wakitetea kuwa DP World wakija hawatapunguza watu kazi njooni hapa mtueleze. Jamaa ndio wameishauziwa taratibu wanaanza kuondoa watu. Kiko wapi? --- Tarehe 22 Oktoba, 2023 Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) iliingia Mkataba na Kampuni ya DP World ya Falme ya Dubai...
  6. Pfizer

    TPA yatoa ufafanuzi kuhusu tozo ya WHARFAGE

    TPA yatoa ufafanuzi kuhusu tozo ya WHARFAGE
  7. Pfizer

    TPA: Hakuna Mgomo katika Bandari ya Dar es Salaam

    Jumapili Machi 03, 2024 kupitia mitandao ya kijamii na makundi sogozi, zilisambaa taarifa za kudorora kwa utendaji kazi ya kuhudumia Meli na Shehena katika Bandari ya Dar es Salaam kunakohusishwa na mgomo wa wafanyakazi wenye madai mbalimbali likiwemo kufutiwa mikataba yao ya kazi. Kufuatia...
  8. Replica

    Maafisa TPA watuhumiwa kupokea rushwa ya $800,000 kutoa tenda ya $6.6m

    Mamlaka za Marekani zimeipiga faini ya dola milioni 222 kampuni ya programu kwa kutoa rushwa katika nchi kadhaa za Afrika ikiwemo Tanzania, nchi nyingine ni Kenya, Afrika Kusini, Ghana, Malawi. Pia zipo Azerbaijan na Indonesia. Maafisa wa mamlaka ya bandari Tanzania(TPA) wanatuhumiwa kupokea...
  9. Dam55

    Bandarini Dar: Madereva wa Malori wamegoma kutokana na utendaji mbovu na system ya TPA

    Kwa habari za kuaminika nikwamba kwasasa kuna mgomo unaendelea TPA Terminal II (TICTS) Madereva wamegoma kutokana na utendaji mbovu na system ya TPA kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi kutoka TPA I na TPA II. Mamlaka ziseme ukweli na zitafute ufumbuzi haraka wa hili tatizo. Kuzuia waandishi wa...
  10. M

    TPA kwanini system zenu zipo chini (Wharfage azisomi kwenye ICD zenu haswa Tabata)?

    Moja kwa moja bila kupoteza muda ni kwamba hivi karibuni magari niliyowaagizia wateja yamekwama kutokana na system kuwa chini (Wharfage aziomi kwa wakati). Swali langu kwenu ni lini tabia hii ya uzembe itaondoka na kuepusha kero hizi ili kurahisisha biashara kusonga mbele na kuondoa mizozano...
  11. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Kihenzile: TPA Tunahitaji Bandari Maalum ya Mifugo

    Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile ameielekeza Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kuhakikisha inaanzisha bandari maalum kwa ajili ya mifugo kwenye maeneo kama vile Tanga, Pangani au katika maeneo ambayo itaona yanafaa. Akizungumza wakati wa ziara yake alipotembelea bandari ya Lindi...
  12. BARD AI

    Mamlaka ya Bandari (TPA) imeanza kutangaza Zabuni kwaajili Ujenzi wa Bandari

    Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imetangaza zabuni mbili za ujenzi wa bandari ya Kisiwa Mgao mkoani Mtwara, Mbegani wilayani Bagamoyo, kadhalika bandari ya Tanga. Zabuni hizo, zinatangazwa kipindi ambacho kumekuwa na hoja kutoka kwa watu mbalimbali juu ya bandari zote nchini kukabidhiwa kwa...
  13. Lord denning

    Baada ya TPA kutangaza tenda kuhusu uwekezaji Terminal 2, Bado mnaamini Bandari zote zimeuzwa?

    Kwa wachache tuliobarikiwa kuielewa vizuri nchi hii na jamii yake pamoja na siasa zake tunaposimamia jambo kwa maslahi ya taifa naomba tuheshimiwe na tueleweke vizuri. Kwa miezi 2 sasa kuna kikundi cha wanasiasa na viongozi wa dini, kwa maslahi binafsi na kutumiwa na watu ambao kila siku...
  14. Christopher Wallace

    TPA: Tutajenga Uwanja Mkubwa wa Kisasa wa Mpira wa Michezo hapa Kizimkazi

    Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka za Bandari Tanzania Bara (TPA) ameahidi kujenga uwanja mkubwa na wa kisasa wa michezo katika eneo la Kizimkazi, Zanzibar. Mkurugenzi Mkuu wa TPA ameyasema hayo leo katika kilele cha Tamasha la Kizimkazi huku mgeni rasmi akiwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  15. Msanii

    Tetesi: Machache aliyonieleza mfanyakazi wa TPA yana ukweli?

    Naeleza kwa ufupi. Wenye kuelewa haraka hongereni. Bajeti ya Bandari inakata Sept 2023 ambapo kwa mujibu wake anasema kuanzia Oktoba TPA itakuwa ktk wakati mgumu kwenye kujiendesha DPW walipaswa kuanza shuguli bandarini mnamo Oktoba 2023. Lakini mpaka sasa seems deal halijafikia muafaka. Siyo...
  16. R

    TPA inapewa tuzo ya utendaji bora Duniani then tunakodisha kwa ajili gani?

    Kama ufanisi wa bandari umepelekea wapewe tuzo kwanini tunalazimisha kukodisha? Mbona hatukodishi mashirika ambayo hayafanyi vizuri? Tunasema bandarini kuna rushwa; DP World ni TAKUKURU yakiwekezaji? Wanatumia uchawi gani kupambana na rushwa?
  17. Victoire

    TPA wamepokea tuzo kwa kuwa shirika bora Tanzania, jamani ni aibu kulete DP kwa kweli

    Nikiwa naangali TV, kule kwenye mkutano wa mashirika ya umma. Mara ninaona wakati wa kupewa tuzo TPA wamepewa tuzo kama shirika lilinaloiingiza mpunga mrefu Tanzania baada tu ya TCRA. Kumbe TPA wanafanya vizuri kabisa, Waziri wa ujenzi kumbe alitudanganya. Again no tu uwekezaji TPA. TPA wapo...
  18. M

    Matangazo mengi ya TPA kwenye digital platforms ni ya nini?

    Kalibia mwezi mzima sasa naona matangazo mengi ya TPA kwenye digital platforms hasa hasa Google Ads(Youtube, search engine, e.t.c). Nashindwa kuelewa, haya matangazo ni ya nini? Na mbona hatujawahi ona matangazo yenu kipindi cha nyuma? Hata kama tunaitaji mwekezaji. Huyu DP World hawezi kuwa...
  19. tutafikatu

    Huu si upotevu wa fedha - Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kuweka tangazo DSTV

    Kama Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inadai tumeshindwa kuendesha bandari, na hivyo DP World wanapewa waendeshe, kuna umuhimu gani wa TPA kuwa na tangazo DSTV, wakati hawana ufanisi na wanakwenda kuwaachia waarabu waendeshe? Naona tangazo lake likiunguruma Dstv channel 223.
  20. Kiboko ya Jiwe

    Karibu kinaumana huku. Jirani kamdanganya mke wake kuwa anafanya kazi TPA kumbe jamaa hana kazi

    Nyie kuna watu waongo aisee. Binti mrembo kajua kaolewa na mwasibu wa TPA kumbe jamaa ni day worker tu huko TPA. Ni kuli ambaye zikipatikana kazi makuli wenzake wanamshitua. Kuna wakati kazi za ukuli zikichanganya jamaa home haonekani kabisa. Sasa hivi zimekata. Binti mjamzito pesa imekwisha...
Back
Top Bottom