1: Wamiliki wanapaswa kufosiwa kuuza timu maana kwa miaka 9 walitumika katika kufanya utapeli.
2; Kuvuliwa mataji yote walio shinda na kupewa timu zilizo kuwa nyuma yao au kushindana nazo katika fainali
3; Kushushwa daraja
4: Kupigwa faini nzito
Ni mimi mtaaalamu wa sheria kutoka nyarung'ombe.
Nchini Canada, wanafanyia majaribio sheria mpya ya offside inayojulikana kama ‘Wenger Rule’ na katika tukio hili, bao LILIKUBALIWA kwasababu mchezaji hakuwa ameotea!
Kwa sheria hii, mshambuliaji atahesabika kuwa ameotea (offside) pale tu kunapokuwa na nafasi ya wazi (daylight) kati yake na...
Shirikisho la Soka Kenya (FKF) limeahirisha tena kuanza kwa msimu wa 2026/27 wa FKF Premier League, ambao ulikuwa uanze leo Jumamosi, Septemba 19, 2026.
FKF iliwasilisha taarifa kwa wenyeviti na maafisa wakuu wa vilabu Ijumaa usiku, ikisema ligi imesitishwa hadi taarifa zaidi itakapotolewa...
Huyu kijana anayeitwa SOKA ALIFANYA jambo gani baya mpaka akauwawa au kupotezwa na wenye mamlaka? Aliwakosea nini? Naomba kufahamu maana binafsi nimemjua baada ya kutekwa na SI kabla ya hapo. Ahsanteni.
Tumeona ya jana jinsi kocha wa Gaborone alivyopigwa ngumi na staff wa Yanga bila sababu yoyote ya msingi.Hiyo nawaambia ni trela tu picha lenyewe linakuja pale nyuma mwiko watakapopoteza mechi muhimu kwenye hii ligi wanayoitawala nje na baadae ndani ya uwanja.
Huyu mtu amefanikiwa kuufanya...
Kwa wale wahenga ambao tulikutananna harakati za Mchina kuingia kwenye soko laa kuuza visimbusi vyake basi tutakuwa tunakumbuka namna ambavyo Kampuni ya StarTimes ilivyoingia nchini. Mwaka 2009 mpaka 2010 wakati watoto Wa Madiba wapo busy kuandaa michuano ya Kombe la Dunia.
Basi StarTimes naye...
Timu iliyojaa mashabiki wanaotegemea uchawi na nguvu za serikali ni dalili za woga na kutojiamini katika mpira.
Mashabiki wanamtukana mchezaji mmoja kwa ushirikiano na wadangaji wa kwenye mitandao huku wakimtisha eti timu yao ina watu na mkono mrefu hadi serikalini?!!
Huku ni kuonesha udhaifu...
Mtangazaji maarufu wa soka nchini Tanzania, Baraka Mpenja, amejikuta katikati ya kimbunga cha malalamiko kutoka kwa mashabiki wa soka nchini baada ya kutuhumiwa kuonyesha upendeleo wa wazi na kusifu uwekezaji wa Gharib Said Mohamed (GSM) ndani ya Yanga SC badala ya kuzingatia utangazaji, mbinu...
Arsenal, Manchester City na Al-Hilal zinamvizia winga wa Chelsea, Pedro Neto, na zinaweza kuwasilisha ofa kwa mchezaji huyo wa kimataifa wa Ureno mwenye umri wa miaka 26 katika dirisha la usajili la Januari.
Chelsea inataka kukamilisha usajili wa kiungo wa Bournemouth, Alex Scott, mapema, huku...
Messi mwenye umri wa miaka 39, ambaye ana mkataba na Inter Miami hadi mwaka 2028, alitangaza Jumatatu kuwa kipindi chake cha mafanikio na timu ya taifa ya Argentina kimefikia mwisho baada ya zaidi ya miaka 20.
Messi amesema alikuwa akitafakari kuhusu mustakabali wake katika soka kufuatia kifo...
Tarehe 24 Agosti imeacha alama kubwa katika historia ya soka, kuanzia rekodi za Arsenal, hat-trick ya Thierry Henry hadi mafanikio makubwa ya Bayern Munich. Haya ni baadhi ya matukio muhimu yaliyotokea siku hii:
1997: THIERRY HENRY AWEKA ALAMA LIGUE 1
Akiwa na miaka 20 tu na akiichezea AS...
Habari zilizo tikisa dunia ya kandanda ni kitendo cha Ronaldinho gaucho, kurekea UWANJANI kuichezea Ravenna fc ya italia serie c.
Akizungumza mwenyekiti wa klabu hiyo kaongeza kua Ronaldinho asajiliwa Kwa AJILI ya mpira wa ushindani na si maswala ya matangazo. Hivo mashabiki wajiandae kuona...
Timu ya taifa ya mpira wa miguu ya watu wenye kimo kifupi nchini Sudan, inapambania ndoto yake ya kucheza Kombe la Dunia licha ya vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo.
Timu hiyo inajiandaa kwa ajili ya Kombe la Dunia la Mpira wa Miguu la Watu Wenye Kimo Kifupi 2026, linalotarajiwa kufanyika...
Kuanzia bakharesa, Azim Dewij , Yusuph Manji, Ghalib Mohammed na hata ukienda ulaya na duniani kote matajiri wote wawekezaji Katika soka wanapenda kubaki kama mashujaa nyuma ya camera, na sio kubwabwaja bwabwaja hovyo na kutafuta justification na public sympathy kama huyu muhindi mzaramo.
Au...
Mfanyabiashara Mohamed Dewji amezungumzia suala la mchango wa shilingi bilioni 30, huku baadhi ya watu wakitoa maoni mbalimbali kuhusu hatua hiyo. Wakosoaji wamemkosoa kwa kauli kali, wakidai kuwa utajiri wake haupaswi kumfanya awapuuze wananchi.
Nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya Uganda, Emmanuel Arnold Okwi, ametangaza rasmi kustaafu soka la kulipwa baada ya miaka mingi ya mafanikio uwanjani. Kupitia ujumbe wake, Okwi amesema uamuzi huo ni miongoni mwa maamuzi magumu zaidi maishani mwake, akieleza kuwa soka halikuwa kazi tu bali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.