traffic

  1. 2 of Amerikaz most wanted

    Cities with the worst traffic 🚥 in the World

    1. Lagos 🇳🇬 2. Los Angeles 🇺🇸 3. Colombo 🇱🇰 4. Dhaka 🇧🇩 5. Delhi 🇮🇳 6. San Francisco 🇺🇸 7. Kolkata 🇮🇳 8. Washington DC 🇺🇸 9. Mexico City 🇲🇽 10. Mumbai 🇮🇳 ~ 12. Bangalore 🇮🇳 15. Tehran 🇮🇷 16. Cairo 🇪🇬 17. Melbourne 🇦🇺 19. Istanbul 🇹🇷 20. Sao Paulo 🇧🇷 24. Lima 🇵🇪 36. Moscow 🇷🇺 40. Buenos Aires 🇦🇷...
  2. Songambele

    Waziri Masauni tupunguzie Traffic Polisi barabarani

    Miaka ya 2010 World Bank walitoa ripoti ya kufanya biashara nchini Tanzania na kwa viwango vya wakati ule tulishika nafasi kama ya 121 kama sijakosea. Raisi wa wakati ule Mh. Jakaya hakuridhishwa na hiyo ranking na kuchukua hatua at least tufikie 2 digits yaani tuwe chini ya 100. Majirani zetu...
  3. Mjanja M1

    Video: Traffic akoswa na kifo Barabarani

    Ofisa wa usalama barabarani nchini Marekani amenusurika kufa kwenye ajali wakati akiwa kwenye majukumu yake mji wa Oklahoma. Traffic huyo anaonekana akizungumza na dereva wa gari aliyoisimamisha, na ghafla gari nyingine inatokea na kuigonga ile iliyosimama. ANGALIA VIDEO HAPA Written by...
  4. peno hasegawa

    RPC KILIMANJARO: Traffic anakusanyia rushwa, barabara ilipo nje ya ofisi ya RC geti la kutoka na geti la kuingilia DED wa Moshi Manispaa

    Kuna askari traffic wawili wa kike ni wasumbufu na kero huko MOSHI MANISPAA. Askari hao wanasumbua hadi magari ya serikali yanayoingia ofisi za mkuu wa mkoa na mkurugenzi wa Moshi Manispaa. Cha kufurahisha zaidi bendera inapepea nje ya ofisi ya mkuu wa mkoa nao wanapokelea hapo hapo rushwa...
  5. Roving Journalist

    Mwananchi ampa Traffic Police Tsh. 500,000 kwa kutekeleza vyema majukumu yake kazini

    Askari wa Kikosi cha Usalama barabarani Mkoa wa Arusha, Sajenti Anna Kidenge amepongezwa na kupewa fedha Shilingi 500,000 kwa kutoa huduma bora barabarani. Mwananchi aliyetoa zawadi hiyo amesema ameguswa na namna ambavyo Askari huyo amekuwa akimwona wakati akitekeleza majukumu yake ya usalama...
  6. G

    DOKEZO TAKUKURU mbona hamuwakamati trafiki wanaochukua rushwa hadharani?

    Muda huu saa sita kamili mchana hapa Stendi ya Morroco (Dar es Salaam) kuna askari watatu wanakusanya hela hadharani kwa kila Daladala inayosimama kituoni. TAKUKURU tokeni maofisini muwakamate hawa majambazi katika nguo nyeupe. Ninachojiuliza mbona wanaofanya hivyo hadharani hawachukuliwi hatua?
  7. R

    Kwanini traffic wengi ustaafu wakiwa maskini na wasioweza kujitegemea?

    Marafiki zangu wengi waliokuwa wakifanya kazi ya usalama barabarani (trafiki) hawana marafiki baada ya kustaafu, wanageuka kuwa walinzi wa makampuni binafsi na baadhi ushindwa kuishi kwenye jamii kutokana na kukosa skills za kujiimarisha kiuchumi Lakini pia nadhani wengi wanalipwa pensheni...
  8. Miss Zomboko

    Road traffic injuries - leading killer of people aged 5-29 years

    The Global status report on road safety, launched by WHO in December 2018, highlights that the number of annual road traffic deaths has reached 1.35 million. Road traffic injuries are now the leading killer of people aged 5-29 years. The burden is disproportionately borne by pedestrians...
  9. M

    Kuna mengi ambayo askari wa usalama barabarani wa Tanzania wanapaswa kujifunza kutoka kwa wenzao wa Rwanda

    Nimerudi juzi Jumapili kutoka Kigali, Rwanda ambako nilikwenda na wenzangu 3 kwa shughuli za biashara. Tulikwenda kwa usafiri wa gari binafsi. Tulikaa huko siku 3. Nilishuhudia kitu kimoja kuhusu traffic polisi wa huko, jambo ambalo lilinifanya nitafakari na kulinganisha na traffic polisi wa...
  10. Teko Modise

    Traffic: Uganda Vs Tanzania

    Hawa ndio Traffic wa Uganda dhidi ya Tanzania. Traffic wapi wanavutia zaidi kwa sare zao? Tanzania
  11. Magufuli 05

    Traffic Kanda Maalumu Dar es Salaam mlichowafanyia bodaboda leo ni uhuni mtupu

    Mmewakamata asubuhi kwa makosa ya usalama barabarani, Yes ni sahihi kabisa, lakini kwanini mnafanya oparesheni kwa matukio. Leo mmeendesha oparesheni ya kihuni kwa kisingizio kwamba mwenzao Jana Kagongwa na mwendokasi. Hivyo mmepata maagizo kutoka juu muwashugulikie. Nyinyi askari mnachangia...
  12. LA7

    Arusha: Taa za barabarani🚥hazifanyi kazi muda sasa

    Ni ile njia kuu ya kati unakuta muda wowote inawaka taa ya njano pekee hali inayosababisha kuharibu utaratibu kwa watembea kwa miguu hasa wanaotoka Stendi Kuu kuelekea kupanda gari zinazoenda sehemu mbali mbali ndani ya jiji, Mara nyingi wavuka kwa miguu ni wengi muda wowote hivyo huvuka baada...
  13. S

    Ushuru wa Maegesho na penati za Traffic imekuwa kero kubwa Dar es Salaam

    USHURU MAEGESHO + TRAFFIC PENALTY JIJINI DAR VIMEKUWA KERO KUBWA SANA Tunaomba wizara husika ziangalie upya hizi taratibu 1. Gari moja inaweza kuta ina madeni ya miaka hadi 3. 2. Kiwango ni kukubwa mno, madeni yasiolipika. 3. Inaturudisha kwenye tatizo la zamani la Motor Vehicle...
  14. Elli

    Ni lini Traffic Police watatumia akili? Maamuzi kama haya ni ya kipumbavu

    Tumetoka Dar Shekilango saa 11 alfajiri na Bus la Kampuni ya New Force No. T 236 EBK kuelekea Mbeya. Tumefika Msolwa tumesimamishwa na askari kuwa Kuna msafara wa makamu wa raisi. Tumesimama hadi saa mbili na dakika kadhaa. Tumeondoka muda magari yakawa mengi, malori, mabasi na magari binafsi...
  15. The Burning Spear

    Ni aibu majiji yetu kukosa traffic cameras

    Tupo kwenye Karne ya science na technology, Karne ya information age Karne Ambayo vitu vinatakiwa viende Kwa Kasi. Sasa huwa najiuliza hawa watendaji wetu mbona wamelala usingizi mzito. Ni ushamba au kutokutaka kutimiza wajibu wao. Hawa hawa watumishi kwenye majumba Yao kuna Camera kila Kona...
  16. Jidu La Mabambasi

    Polisi Trafiki na Ukaguzi wa Leseni hawafanyi kazi kwa weledi!

    Tumesikia hivi karibuni, tangazo la Polisi Trafiki kupitia kwa Kamanda wa Trafiki Ramadhani Ng'azi kuwa dereva aje na leseni, kitambulisho cha NIDA, kitambulishi cha mlipa kodi TIN, cheti cha afya na shada ya shule aliyisomea udereva! Kwa hayo masharti tu, unagundua kuwa kitengo chetu kina...
  17. Ngongo

    Traffic maeneo ya Bomang’ombe kuelekea Daraja la Kikavu wanavuna hela bila uoga

    Sasa ni wazi kila mtu anakula kulingana na urefu wa Kamba yake. Askari wa usalama barabarani eneo la Bomang’ombe kuelekea daraja la kikavu wamekuwa wakikwapua fedha za maderava bila uoga wa aibu. Wamekuwa wakiendeleza tabia mbovu na mbaya kama wale jamaa waliofungua Account China. Ukifika...
  18. Wadiz

    WIMBI LA MAKATO YASIYOELEWEKA BENKI: Je, benki zimepewa mamlaka ya kukata fine za trafiki, deni, tozo ya luku na malipo ya maegesho kwa TARURA?

    Benki zina wajibu mkubwa sana juu ya kuheshimu misingi ya kazi zao na mikataba na miongozo ya kuanzisha kwake. Ambao hamjashtukia hivi karibuni kumekuwa na wimbi la watu Kupokea meseji za makato mbalimbali kutoka kwenye mabenki kama CRDB, NMB, na etc. Kwa msiojua kuna namna mamlaka za serikali...
Back
Top Bottom