Search results

  1. PAZIA 3

    Hizi ni baadhi ya fursa za ajira upande wa Soka ukiachana na uwezo wa kucheza mpira

    Habari za uzima, Tukiwa kama wadau wa michezo, naomba tuoneshe fursa mbalimbali ambazo zipo zinazoweza kuwasaidia Vijana kupata ajira au kutengeneza pesa kupitia michezo. Moja ya changamoto wanazozipitia Vijana wengi ni uchaguzi wa nini wafanye katika khari ya kujikwamua ki maisha, pamoja na...
  2. PAZIA 3

    Jina 'Machinga' chimbuko lake ni nini?

    Habari kwenu wanajamii wote. Nataka kujua na kwa faida ya wengine, hivi jina " Machinga lina asili gani? Kwanini Machinga awe na jina lake badala ya kuitwa tu mchuuzi au mjasiliamali? Mwenye uelewa zaidi na asili ya jina "Machinga" atusaidie.
  3. PAZIA 3

    Kwanini mpaka sasa ratiba ya nusu fainali ya CAFCL haijatoka?

    Nyota njema huonekana asubuhi. Mpaka Sasa Caf hawajapanga tarehe ya nusu fainali ya club bingwa Africa. Hii inaashilia barua ya Yanga inafanyiwa kazi. Mungu si Athuman, lolote laweza kutokea.
  4. PAZIA 3

    Kuna Kila dalili za upangaji matokeo robo fainali ya Yanga na mamelod second leg

    Poleni sana Wana Yanga, natumai mmejifunza kitu kuhusu michuano hii ya @cafafrica. Bila kupepesa macho, mechi ya round ya pili ilipangwa iwe na matokeo ya upande mmoja. Utaona kwa namna ambavyo maofisa wa VAR walivyomshawishi refa atoe kadi nyekundu kwa Lomalisa, sema aliona aibu. Lakini pia...
  5. PAZIA 3

    Baada ya kuhitimu elimu ya msingi, wanafunzi wasikae nyumbani

    Habari, naitwa mwalimu HERMAN LAMECK MANYILIZU, naomba kushare nanyi wazo hili. TUMLINDE MTOTO WA KIKE BAADA YA KUHITIMU ELIMU YA MSINGI Kama mjuavyo, wanafunzi wa Darasa la Saba wanahitimu elimu ya msingi leo tarehe 14 Septemba. Nashauri wanafunzi hawa wasikae nyumbani kusubili matokeo na...
  6. PAZIA 3

    Ajira mpya wapata mishahala wengine bado

    Ni Jambo la kufurahisha, tayari baadhi ya watumishi serikalini,ajira mpya 2023 wamepata mishahara yao ndani ya mwezi wa sita baada ya kuripoti kwa wakati, japo wapo watumishi wengine wengi nao mchakato unaendelea. Kongole kwa serikali kwa kujua mazingira magumu ya watumishi wapya na kuwawaishia...
  7. PAZIA 3

    Kwa wanandoa tu: Hivi mwanaume ( baba wa familia hula chakula cha siku anachokipenda yeye mwenyewe au anacho/ atakacho kitaka mke wake?

    Bila shaka title inajieleza, Najua wanaume wengi ni watafutaji, mara nyingi warudipo nyumbani hukuta chakula tayari kimekwisha kuandaliwa na msimamizi mkuu ni mama ( mke). Swali, je, nikweli huwa mwanaume unakula chakula unachokitamani kwa siku hiyo? Mara nyingi akina mama hata Kama...
  8. PAZIA 3

    Mkesha wa VUKA NA CHAKO: Kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa na prophet Boniphace Mwamposa - 16/12/2022

    Bwana Yesu asifiwe? Bila shaka asilimia 70 ya watanzania wamchao Mungu, muda huu wenye tvs watakuwa live kufuatilia kongamano kubwa la VUKA NA CHAKO ikiwa ni maono ya mtumishi Boniphace Mwamposa yenye maudhui ya kuupokea mwaka mpya ukiwa tayari umeshapokea Baraka, uponyaji, Rehema na Mambo...
  9. PAZIA 3

    Je, ni halali kwa kisimbusi cha Azam kuiondoa TBC kwenye free local channels?

    Rejea kichwa Cha taarifa, Azam kisimbusi wameitoa tbc 1 kwenye orodha ya free local channels, hakuna sababu zilizotolewa isipokuwa watu wanahisi ni sababu za kuonyesha kombe la Dunia, je, inaweza kuwa ndiyo sababu ya kisheria? ===== Updates Waziri Nape Nnauye ameandika Twitter, amesema tayari...
  10. PAZIA 3

    Je, inawezekana Bodi ya Mikopo kuwakata wanufaika kwa kurusha/ skipping baadhi ya miezi?

    Kwenu wataalamu, rejea kichwa cha thread hii. Maisha ni magumu Sana, je, loan board wanaweza kukata 15% ya deni kutoka kwa mwajiriwa kwa kurusha baadhi ya miezi? Mfano: 1-3-5-7 au namna nyingine? Nawasilisha
  11. PAZIA 3

    Hakuna muda wa kupoteza, YANGA inatakiwa icheze mechi za kirafiki za kimataifa kipindi hiki Cha mapumziko mafupi

    Ni ushauri tu. Ili kuwaongezea morali wachezaji wa Yanga kuelekea mechi ya hatua ya Kwanza, zidi ya Al hilal, Yanga icheze mechi za kirafiki angalau mbili ili kujiridhisha na ubora wa kikosi Cha team yake kimataifa. Tumeona jinsi Tp mazembe alivyopania kuvuka hatua hii maana tayari Jana kacheza...
  12. PAZIA 3

    Mechi ya Simba vs Nyasa Big Bullet itakuwa ngumu sana, na huenda Simba ikafungwa lakini itavuka

    Hii ni taa ya tahadhari, Big Bullet walifungwa kwao goal mbili kwa bila, lakini haimaanishi ni wabovu. Matokeo yao hayo yalichagizwa pia na uwanja wao wenyewe, siyo mzuri Sana Kama ule wa Mkapa. Uwanja wa Taifa ni mzuri kiasi kwamba team yeyote inaweza kuutumia. Mechi ya marudiano kati ya...
  13. PAZIA 3

    SoC02 Serikali ibadili 10% ya mikopo kwa Vijana na wanawake kwenye Haimashauri, badala yake itumike kuendeshea masoko na minada kwenye Halmashauri husika

    Naandika kwa kujiamini kwasababu ni mzima wa afya, na natumai hata msomaji wangu u mzima. Pamoja na changamoto nyingi za maisha, lakini yatupasa kumshukuru M /Mungu maana yeye ndiye atupaye akili za kufikiri. Baada ya UTANGULIZI huo, ngoja nijikite kwenye mada. Bila shaka, Kama wewe no...
  14. PAZIA 3

    Tuisila Kisinda is yellow and green

    Yanga sc imemtambulisha kiungo wake wa zamani, Tuisila Kisinda kuwa amerudi kikosini kabla ya dirisha la usajili kufungwa 31/08/2022. Mashabiki wengi wa Yanga wamefurahishwa na ujio wa Tuisila Kisinda. Jambo ambalo hawalijui ni Nani kampisha Tuisila kwasababu usajili wa wachezaji kutoka nje ya...
  15. PAZIA 3

    SoC02 Vijana tufanye kazi, nyakati zinabadilika, uchumi wako unategemea utendaji kazi wako

    Salaam kwenu wapenda maendeleo. Najua Kuna wakati tunawachosha kwa makala nyingi za mfululizo , tusichoke kushiriki Hanna kwasababu kupitia platform hii, Kuna watu wanabadili mitazamo. Kuna wengine tunaandika siyo tu kwaajili ya shindano la story of change, No, wengine tunaitumia platform hii...
  16. PAZIA 3

    SoC02 Serikali iondoe usiri wa zoezi la SENSA ili ifanikishe kwa asilimia 100

    Hili ni andiko juu ya sensa na makazi KUHUSU kuwepo kwa uwazi wa zoezi lenyewe. Nimeamua kukumbushia hili maana tayari zimebakia siku 7 tu ili wananchi wapate kuhesabiwa. Zoezi hili Lina manufaa mengi Sana na linaigharimu serikali yetu mamilioni ya pesa. Hizo pesa ni kodi zetu na endapo zoezi...
  17. PAZIA 3

    SoC02 Starehe muhimu za mwanadamu na umuhimu wake Katika saikolojia

    Katika maisha ya mwanadamu, Kuna vitu 4 vikubwa vinavyompa RAHA/FURAHA ( HAPPINESS). 1. MAPENZI 2. PESA 3.CHAKULA 4. MZIKI 1.MAPENZI; Hii ni furaha ya kwanza kabisa katika maisha ya mwanadamu kuanzia akiwa mtoto mpaka anakufa, mapenzi hayajali hari yoyote, uwe chizi, mgonjwa, masikini au...
  18. PAZIA 3

    SoC02 Kipi kipewe kipaumbele kati ya Elimu-Taaluma na Elimu- Ufundi hapa Tanzania?

    UTANGULIZI Elimu ni njia utumiwayo na jamii kusambaza maarifa, ujuzi, mitazamo na maendeleo. Elimu hutolewa kwa njia kuu mbili, elimu rasmi ( itolewayo shuleni kwa miongozo maalumu) na Elimu isiyokuwa rasmi ( hutolewa nje ya darasa ( pasipo kufuata miongozo maalumu) Hapa Tanzania, elimu...
Back
Top Bottom