mkapa stadium

Tanzania National Main Stadium also known as Mkapa Stadium is a multi-purpose stadium in Dar es Salaam, Tanzania. It opened in 2007 and was built adjacent to Uhuru Stadium, the former national stadium. It hosts major football matches such as the Tanzanian Premier League and home matches of the Tanzania national football team.
With 60,000 seats it is the eleventh largest stadium in Africa and the largest stadium in Tanzania. It is owned by the Tanzanian Government. The stadium was built by Beijing Construction Engineering Group at a cost of $56 million.
A capacity crowd attended the first derby between Simba S.C. and Young Africans S.C. at the stadium in Dar es-Salaam 2008. Both clubs mostly draw low attendances for their other league matches.

View More On Wikipedia.org
  1. Vincenzo Jr

    Yanga SC vs Mamelodi sundowns CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 30/03/2024

    πŒπ”πƒπ€ πƒπ€π˜πŸ”°πŸ™πŸ½ π’πˆπŒπ” π™πˆπˆπ“π„ π–π€ππ€ππ‚π‡πˆ π“π”πŠπ”π“π€ππ„ πŠπ–π€ πŒπŠπ€ππ€πŸ‘ŠπŸ½
  2. kiwatengu

    Yanga Vs Mamelodi Sundowns | CAF CL Quarter Final | Benjamin Mkapa Stadium | 30.09.2024

    Match Day 1st Leg. Robo fainali Yanga vs Mamelodi Muda ni Saa 3 Usiku. 30.03.2024. Hii siku ni njema sana, tuliisubiria sana. Viva Young Africans, Viva Tanzania. #DaimambeleNyumamwiko.#...
  3. Suley2019

    FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

    Match Day 1st Leg. Robo fainali Yanga vs Mamelodi Muda ni Saa 3 Usiku. Kuwa hapa nami kwa update za kabla na wakati wa mchezo Kikosi cha Yanga Kikosi cha Mamelodi Sundowns Mchezo umeanza 10' Mchezo bado una Kasi ndogo, timu zinasomana 20' Wageni wanamiliki mpira muda mwingi lakini Yanga...
  4. Suley2019

    FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

    Leo mnamo majira ya saa 3 usiku Klabu ya Tanzania Simba Sports Club itakuwa nyumbani kumenyana na klabu ya Al Ahly ya Misri katika mechi ya mkondo wa kwanza (First Leg) wa robo fainali wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Maandalizi ya timu zote mbili yameenda vyema, kinachosubiriwa ni mchezo rasmi leo...
  5. Vincenzo Jr

    FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

    πŸ”°ππ„π—π“ π”ππŸ”° πŸ† #CAFCL ⚽️ Young Africans SCπŸ†šCR Belouizdad πŸ“† 24.02.2024 🏟 Benjamin Mkapa πŸ•– 1:00 Usiku Kikosi kinachoanza dhidi ya CR Belouizdad Mpira umeanza Dakika ya 1 Dakika ya 5 0-0 Dakika ya 10 Musonda anakosa goli la wazi Yanga SC wanapata Kona Dakika ya 11 Lomalisa anapewa kadi ya...
  6. M

    Manara: Sherehe ya Harusi itafanyika Benjamin Mkapa Stadium

    Haji Manara amejibu swali la wadau wengi walioliza kuhusu kufanyika kwa sherehe ya ndoa yake aliyofunga na Mrembo Zailyssa. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Manara amesema, "Naulizwa sana kuhusu sherehe ya Harusi, itafanyika au itakuwaje ? Je mtaifanya kwa ukubwa gani kama Engagement Party...
  7. kiwatengu

    FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

    πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† #CAFCL ⚽️ Young Africans SC Vs Medeama SC πŸ“† 20.12.2023 🏟 Benjamin Mkapa πŸ•– 4:00pm Mungu Ibariki Tanzania!! Mungu ibariki Yanga!! #DaimaMbeleNyumamwiko# Kikosi cha Yanga kinachoanza. Kikosi cha Medeama Kinachoanza. Dakika ya 33' Yanga wanapata goli, kupitia kwa Pacome. Yanga 1 -...
  8. Suley2019

    FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

    leo tarehe 19.12.2023 Mnyama anashuka Dimbani kuzisaka alama tatu za kwanza za hatua ya makundi ya Wydada Casablanca. Mechi hizi zitachezwa saa 10:00 jioni. Nini maoni yako kuhusu mchezo huu? Ungana nami katika uzi huu ambao nitakuletea kila kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo. Kikosi...
  9. uran

    Simba SC vs Wydad AC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium| 19.12.2024

    Match Day. Simba vs Wydad. Time 1600hrs. All the Best Mnyama. Nguvu moja
  10. uran

    Ronaldo anatamani kulia

    Ronaldo anatamani kulia Washapigwa 3 na Al Hilal
  11. uran

    FT: Al Hilal 3 - 1 ES Tunis | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 01.12.2023

    Game on Hapa Taifa. Watanzania tumejitahidi kufika. We Love Football. Tunawashangilia Wasudani --- Matokeo mengine Madeama 2 - 1 Belouizdad
  12. Suley2019

    FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

    Leo 25/11/2023 katika dimba la Bnjamini Mkapa Dar es Salaam unatarajiwa kuchezwa mchezo wa kwanza wa Kundi B kati ya Simba SC ya Tanzania dhidi ya Asec Mimosa ya Ivory Coast. Mechi hii itaanza majira ya saa 10 kamili jioni. Upi mtazamo wako kuhusu mechi hii? Dakika ya 44 gooooal Saidoo...
  13. GENTAMYCINE

    Haya Chukueni hii kuhusu 'Derby' ya Kesho ( Leo ) tarehe 5 Novemba, 2023 Mkapa Stadium

    Refa akiwa Mwanamke yule Dada wa Singida ( ambaye ni mwana Simba SC lia lia ) kwa 100% Simba SC anashinda. Refa akiwa Mwanaume ( hasa Aragija ) ambaye pia Kiuhalisia ni mwana Yanga SC lia lia kwa 100% Yanga SC inashinda. Refa akiwa ni Mwanaume ( hasa Eli Sasi ) Mechi itaisha Sare kwakuwa huyu...
  14. uran

    Simba VS Al Ahly | African Football League| Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023

    Ikawa mchana, Ikawa Usiku na hatimaye yametimia. Leo 20.10.2023 Muda ni Saa 12Jioni kwa saa za Afrika Mashariki pale Benjamin Mkapa Stadium Kitawaka sana. Simba vs Al Ahly. All the Best Mnyama. #nguvumoja#
  15. Suley2019

    FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League

    Haya haya ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imewadia. Leo tarehe 20/10/2023 Tanzania itashuhudia mtanange wa kihistoria kati ya timu ya Simba ya Tanzania dhidi ya Al Ahly ya Misri. Mechi hii ni ya ufunguzi wa michuano ya African Football League ambayo inachezwa barani Afrika kwa mara ya...
  16. GENTAMYCINE

    Yafuatayo ni majibu Mujarab ( Sahihi ) ya Ali Mayai wa BMT kwa wanaohusisha Rangi za Mkapa Stadium na Ushoga ( LGBTQ )

    "Walioliibua hili ( GENTAMYCINE nawataja kuwa ni wana Yanga SC ) wana Uelewa mdogo mno wa Mambo. Rangi zote zilizopo zinawakilisha Uafrika Wetu pamoja na Rasilimali zinazopatikana na ukiangalia Kiumakini katika Rangi hizi utaona nyingi ziko hata katika Bendera yetu ya Tanzania ambao tumepewa...
  17. P

    FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

    Updates Half Time Yanga 0-0 Marumo Goal 68" Aziz Ki 70" Yanga 1-0 Marumo Goal 92" Bernard Morison 94" Yanga 2-0 Marumo FT: Yanga 2-0 Marumo Mabingwa wa Tanzania, Dar es Salaam Young Africans maarufu kama Yanga, jioni ya leo watashuka dimbani uwanja wa Benjamini Mkapa kupambana na timu...
  18. L

    Umeme umekatika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati Mechi ya Yanga na Rivers ikiendelea

    Uwanja wa Taifa giza Tena,Mwigulu ansema tupo salama Jamani ,tuwe serious hii Ni mara ya pili. CAF fungieni uu uwanja tafadhali =========== Mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya kombe la Shirikisho Afrika kati ya wenyeji Young Africans SC dhidi ya Rivers United ya Nigeria imesimama kwa...
  19. GENTAMYCINE

    Unadhani ni sababu ipi kati ya zifuatazo inapelekea Umeme Kukatika Mkapa Stadium Mechi zikiendelea?

    1. Meneja wa Uwanja anatafutiwa sababu aondolewe na awekwe anayetakiwa na BMT Mpya 2. Ushirikina / Kutumia muda huo Kupuliza Dawa ( Sumu ) katika Vyumba vya Timu Pinzani ili iwalevye na wakirejea Uwanjani wawe Laini na Wachovu wapigwe Nyingi. 3. Ni hujuma ya kutaka Kuwachonganisha Mawaziri wa...
Back
Top Bottom