tbc

To be announced (TBA), to be confirmed or continued (TBC), to be determined or decided or declared (TBD), and other variations, are placeholder terms used very broadly in event planning to indicate that although something is scheduled or expected to happen, a particular aspect of that remains to be arranged or confirmed.

View More On Wikipedia.org
 1. Replica

  Dkt. Ayub Rioba akanusha vikali kuondoka TBC, awaomba Watanzania wapuuze uvumi

  Dkt. Ayub Rioba jana alipata fursa ya kuongea kwenye kipindi cha Jambo Tanzania kinachorushwa na TBC 1 na kuelezea mambo mengi yanayolihusu shirika ikiwemo kuanzisha chaneli ya kiingereza kuwakabili watu wanaoisema vibaya Tanzania huko duniani. Pia lilikuwepo swali la tetesi za yeye kuachia...
 2. luangalila

  Kero: TBC punguzeni kutuwekea nyimbo za taarabu asili mnaboa

  Hakika sikio la Kufa halisikii dawa Hali inazidi kuwa mbaya, Sasa ivi wakubwa Hawa wamejikita kupinga NYIMBO za taarabu asili Kama mvuaaaa yaan inashangaza kidogo Kwann Sasa ivi Hawa wakubwa Wana piga Sana NYIMBO za taarabu asili iv lengo lao Nini hasaaa Acheni mambo yenu TBC embu...
 3. MakinikiA

  Hivi TBC mnajielewa kweli? Saa 4 usiku mnaonyesha cartoons wakati watoto wameshalala

  Kwa kweli mna bore muda huu hata mngeweka picha ya Bushman ingependeza mnaweka cartoons kweli Kodi zetu ndio mnazitumia hivyo?
 4. N

  Tuhuma za ufisadi zinazodaiwa kumpelekea Dkt. Ryoba kubwaga manyanga

  BAADHI YA TUHUMA ZINAZODAIWA KUMPELEKEA DR. AYUBU RYOBA KUJIUZULU Yeye binafsi hana tuhuma za moja kwa moja, anawajibika kwa matumizi mabaya ya ofisi yaliyofanywa na wasaidizi wake. Wasaidizi hao kwa uchache ni Mkurugenzi wa Manunuzi na Mkuu wa Satellite. Tayari baadhi yao wamekuwa wakihojiwa...
 5. Mung Chris

  TBC na aliye watuma kuleta story ya siku nyingi ya mstaafu kutapeliwa sio hekima

  Jana TBC wameleta story ya Mwalimu mstaafu kutapeliwa, hii story ya mafao ya huyu mama Kulipwa sio ya leo, kwanini msilete sotry ya hivi karibuni, yote haya mnayaleta kuhadaa watu kwamba wastaafu wanalipwa mafao yao na wanatapeliwa hili ameshalizungumzia Msemaji wa serikali mwezi jana tukamkosoa...
 6. luangalila

  Kipindi cha Jambo Tanzania cha TBC kimepoteza mvuto

  Wadau habari za usiku !! Mbali na mabadiliko waliyo fanya TBC bado kituo hicho kinakosa vipindi vyenye mvuto kabisaa pamoja na watangazaji pia hawana bashasha na haiba. TBC wana kipindi kinaitwa Jambo Tanzania (Good morning Tanzania) hiki kipindi hivi karibun kimekuwa kina endeshwa kiajabu...
 7. Ta Muganyizi

  Anayefanya kazi Maktaba ya Muziki TBC 1 achunguzwe

  Habari Wadau Yawezekana kabisa kuna watu siju hizi hawaangalii TBC 1. Lakini kuna ambao kila siku kuanzia saa 10 usiku tunaiangalia TBC 1 kutokana na shughuli tunzokuwa tunazifanya. Muda woe huo kipindi cha mwaka mzima huwa zinapigwa nyimbo hizo hizo mpaka tumezikariri. Wimbo zinapigwa kila...
 8. luangalila

  TBC ni kituo cha kwanza duniani kuwa na studio yenye jiko

  Wadau habari zenu !! Siku ya leo majira ya asubuhi nilioata wasaa wa kutazama chombo chetu cha habari cha taifa TBC TV katika hali ya kustaajibisha leo nikaona studio yao ina jiko kitu ambacho nimekiona cha ajabu sana,. Nimebahatika kutazama vituo kadhaa vikubwaa mfano CNN, BBC, Al jazeera...
 9. Bujibuji Simba Nyanaume

  Kwanini TBC wasifungue YouTube channel waweke nyimbo za zamani?

  Radio Tanzania/ TBC FM wao ndio Wana archive kubwa kabisa ya nyimbo za zamani, kwani bendi zote za muziki, vikundi vya taarab na kwaya vilirekodi kwenye studio za RTD. Kuna nyimbo nyingi sana hazipatikani YouTube wala sehemu yoyote Ile, hivyo Basi wapenzi wa muziki ya kwetu hatuna pa kulipata...
 10. Sky Eclat

  TBC Madonna na Tupac Shakur

 11. Mohamed Said

  Nyerere Day Baba Kabwela UNO 1955

  NYERERE DAY BABA KABWELA UNO 1955 Mwisho wa kipindi cha Aridhio TBC 1 kuanzia leo hadi Nyerere Day yenyewe wataweka kipindi kifupi kutoka mahojiano niliyofanya na Mtangazaji Safina Yasin.
 12. C

  Matangazo ya TPL ya TBC ni utopolo mtupu

  Kwa kweli na miss sana Ufm kwenye kutangaza hizi mechi, bahati mbaya haya majamaa ya tbccm yameshinda tenda ya kutangaza ligi redioni. Yaani kwanza mechi zote lazima dakika 5 zinapotea kwenye matangazo sijui wanashindwaje ku balance muda, ikifika half time uchambuzi ni hovyo kabisa ukitoa Jesse...
 13. Jamii Opportunities

  Engineer II (Electrical) at TBC

  POST: ENGINEER II (ELECTRICAL) – 1 POST POST CATEGORY(S): ENGINEERING AND CONSTRUCTION EMPLOYER: Tanzania Broadcasting Corporation (TBC) APPLICATION TIMELINE: 2021-09-23 2021-10-06 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES To execute electrical installations under a Professional Engineer To...
 14. Mung Chris

  TBC acheni tamaa hamuwezi kurusha vipindi viwili live kwa mara moja TV moja

  Benki ya NBC imedhamini live miaka 40 ya shririka la World Vision Tanzania, Mhe Rais yupo Bagamoyo wanarusha live pia, sasa najiuliza kwann hawa TBC wasingesema kwa muda huo hawataweza kurusha kipindi cha World vision live, sasa inakuwa wakate huku waunganishe huku watuonyeshe badae wakate huku...
 15. Erythrocyte

  Hivi hawa wakiamua kuondoka, mtatumia mtandao wa TBC?

  Sasa ni dhahiri Mwigulu anaelekea mwisho wake, hizi tozo zake anazotaka kuleta zitazua balaa kubwa, hivi hawa Google na wengine wakiamua kuiondoa Tanzania kwa sababu ya tozo zake za ajabu anadhani sisi tutaishije?
 16. Lupweko

  Kapumbu anyimwa goli lake na TBC, apewa Sikaumbwe

  Katika hali ya kushangaza, programu ya TBC online katika mitandao ya kijamii imeripoti kwamba goli la pili la timu ya Zanaco ya Zambia dhidi ya Yanga ya Tanzania katika tamasha la kilele cha wiki ya mwananchi, kwamba lilifungwa na mchezaji anayeitwa Sikaumbwe, kinyume kabisa na matangazo ya TV...
 17. MAGALLAH R

  IGP Sirro kinachofanywa leo na TBC ndicho kitakachofanywa na CHADEMA siku ya 4/09 huko Mara hivyo huna haja ya kuzuia

  Leo 18/09 TBC wapo mubashara wakijadiri katiba mpya katika kipindi chao cha MIZANI. Tena wameita watu mbalimbali wakiwepo,Prof. Mahalu,Prof.Lipumba,mhe.Hamad Rashid na Dkt.Kinunda wakiongozwa Dkt.Rioba. Sasa na CHADEMA nao watajadiri hivyo hivyo katiba mpya siku ya tarehe 04/09 huko Mara...
 18. Lord OSAGYEFO

  TBC Tanzania badilikeni, hiyo ni televisheni ya taifa -- vyama vyote vina haki sawa

  Rais mteule Hakainde Hichilema. Jana Amelihutubia Taifa na kusema Yafuatayo [emoji117]TV ya TAIFA haikuonyesha MIKUTANO ya UPINZANI [emoji117]Msipoyaonyesha Watazamaji Watapungua [emoji117]Watazamaji Wakipungua hamtapata Matangazo [emoji117]Mkikosa Matangazo Mtakufa na Mtafunga [emoji117]Mwisho...
 19. Erythrocyte

  Mkataba wa miaka 10 wa haki za kutangaza ligi kuu kati ya TFF na TBC uchunguzwe

  Kuingia mkataba mrefu wa miaka 10 na Taasisi moja tena Taasisi yenyewe kama TBC, ambayo siku yoyote yaweza kukatisha matangazo ya soka kwa vile kuna kiongozi anazindua vyoo vya Stendi lazima tuchunguze, hawa TBC hawako huru kiasi cha kuingia mkataba na mtu yeyote. Kwanza walishindanishwa na...
 20. M

  TBC acheni fake news, acheni michezo ya kitoto!

  Inasikitisha kwa TV ya Taifa kutumika kusambaza uongo, kuwa vijana wa Chadema hawataki katiba mpya Hii michezo yenu ni ya kudanganya umma, mnafanya propaganda za kitoto na mnavunja katiba ya nchi na sheria za utangazaji kwa sababu mnalisha wananchi taarifa za uongo, matukio yaliyo staged. TBC...
Top Bottom