chimbuko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania TUKIRUDI KWENYE CHIMBUKO LA MFUMO HUU TUTAONA MAONO YA NYERERE HAYAKUWA KUMJENGA MTU BALI KUJENGA TAIFA LENYE UONGOZI UNAOWEZA KUTENDA

    Tunapojadili leo kwamba Rais ana mamlaka makubwa hivyo Tanzania inahitaji Katiba Mpya ni muhimu sana kurudi nyuma na kujiuliza Kwa nini Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alichagua mfumo wa Rais mwenye mamlaka ya kiutendaji baada ya Tanganyika kuwa Jamhuri mwaka 1962? Tanganyika ilipojipatia...
  2. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Hujuma kubwa dhidi ya reli mpya ya SGR inayofanywa na wanaccm na ndilo chimbuko la kukataa katiba mpya.

    Utawala wa hayati Magufuli uliona tatizo la gharama za matengenezo ya barabara zinazoelekea bandarini, hivyo rais Magufuli akaamua kujenga bandari kavu mkoa wa pwani eneo la Kwala, na ili itumike ikaamuliwa iunganishwe na reli ya sgr. Uwepo wa reli hiyo ungeiingizia mapato serikali ambayo...
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Chimbuko la uchawa ni mishahara midogo sana kazini

    Kazi yangu mimi ni biashara ya genge, nauza mboga. Nilichogundua hapa kijijini kwetu ukiona noti mpya nyingi zinakuja gengeni kununua bidhaa ujue watumishi wamelipwa misharaha yao. Wingi wa hela hizi nyingi na mpya unapotea ndani ya siku 7 hadi kumi tu. Nikamuuliza mwenzangu anaemiliki glossary...
  4. OMKEIT 93

    JamiiForums Tanzania Uislamu ni Chimbuko la Tabia Njema na Matendo ya Kuigwa

    Uislamu ni dini inayomlea mwanadamu kuwa na tabia njema, huruma, uadilifu na heshima kwa watu wote. Katika mafundisho ya Kiislamu, ibada hazihusiani tu na kuswali au kufunga, bali pia zinahusisha mwenendo mwema katika maisha ya kila siku. Muhammad alisema kuwa lengo kubwa la ujumbe wake...
  5. Kyungai

    JamiiForums Tanzania Chimbuko la Wameru

    Leo nimepata kusikiliza chimbuko la kabila linalopatikana Arusha chini ya vilima vidogo vidogo chili ya Mlima mkuu Meru Asili Kabila hili limetoka katika milima ya usambara na kusogea katika mkoa wa kilimanjaro miaka 800 iliyopita ambapo kila walilpo pita waliacha alama, ambapo waliishi na...
  6. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Show ya CARD B huko Saudi Arabia lilipo chimbuko la Uislamu yazua Gumzo

    Hivi Karibuni Rapper kutoka Marekani Card B ameonekana akipiga show jijini Riyadh katika nchi ya Saudi Arabia ambapo ndipo chimbuko la Uislamu. Watu wamehoji kuwa misingi ya Uislamu katika nchi yenye chimbuko la Uislamu imeenda wapi, wengine wakisema Waislamu wanapambana kupeleka Uislamu...
  7. Shakira M. Selemani

    JamiiForums Tanzania Chimbuko la Freemasonry Khemet

    CHIMBUKO LA FREEMASONRY KEMET. Ujuzi ni nguvu, maarifa ni nguvu na yanawakilisha kiasi kilicho patikana cha kujifunza, ambacho wa Kemet wa kale walikuwa wamefikia katika uwezo wa kutumia kikamilifu nguvu ya ubunifu (creative force) iliyopo kwenye Tezi ya Penueli - jicho la tatu (hii ni...
  8. immortanity

    JamiiForums Tanzania Nini chimbuko la Israel?

    Jamii intellegence naomba kujua ni nini asilia ya taifa la Israel?
  9. The redemeer

    JamiiForums Tanzania CHIMBUKO LA VIATU VYA CROCS

    “Wakati kila mtu alicheka viatu vyangu… tayari nilikuwa naota kuuza mamilioni.” 🥿🚀 Mwanzoni mwa miaka ya 2000, mimi pamoja na washirika wangu Scott Seamans na George Boedecker tuligundua Croslite—aina ya plastiki ya ajabu, nyepesi kama manyoya, iliyohisi kama kutembea juu ya mawingu. Watu...
  10. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Chimbuko na Asili ya kabila la wa Chagga

    Chimbuko na Asili ya kabila la wa Chagga inaonyesha kua walitokea Afrika kaskazini upande wa Mashariki mwa Afrika yaani pande za Ethiopia/Uhabeshi, asili yao kuu waliitwa wa salsha hilo ni neno la kiyahudi ikimaanisha wayahudi wa kale ambao walichanganyika na wakushi walioondolewa uyahudi...
  11. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kwanini dini hizi UYAHUDI, UKRISTO na UISLAMU zinatofautiana siku ya kusali wakati chimbuko lao Moja (Abrahamic Religions)

    Kama wote tunavyojua, Dini ni miongozo ya kiimani hapa Duniani, mafundisho yake utupa njia na namna ya kuishi hapa duniani kwa kufuata miongozo ya mnae mwabudu. Leo nitazungumzia kwa nini siku za Kuabudu utofautiana katika kila Dini na nitajikita zaidi kwenye Dini zenye chimbuko la Ibrahimu au...
  12. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ifahamu chibuku, na chimbuko lake!

    THE HISTORY OF CHIBUKU BEER. Chibuku was the brainchild of a German man who did business in Kitwe. He was the man who actually built the original Nkana Hotel. His name was Heinrich. Heinrich used to trade a lot in the African mining townships on the Copperbelt and realised that the miners who...
  13. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Historia na Asili ya Chimbuko la Sherehe za Halloween

    Halloween ni tamasha la kila mwaka linaloadhimishwa Oktoba 31. Asili yake inarejea kwenye sherehe za zamani za Ki-Celtic, hasa sherehe zilizojulikana kama Samhain, ambapo Wacelt (ambao walikuwa ni watu wa zamani wa Ulaya Kaskazini, Uingereza, na Ireland) walikuwa wakisherehekea mwisho wa majira...
  14. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sijawahi Kuua "Mtu" Bali Naua "Sisimizi" Walio Chimbuko la Nguvu Hasi ya Upinzani Dhidi ya Ccm na Serikali Yake

    "Mkiambiwa kwamba Mwenyekiti wa CCM na Rais wenu Samia ni mwuaji waambie ni kweli bila hofu. Ninaua Sisimizi wenye nguvu hasi ya Upinzani dhidi ya serikali ya CCM, ninaua Sisimizi waletao umasikini, ninaua Sisimizi wenye mambo hasi ya kuturudisha nyuma kiuchumi, ninaua Sisimizi waletao giza...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Harusi na Michango yake chimbuko jipya la mitaji ya biashara Kwa vijana

    Nimeona niongelee hili jambo, kwani linatrend sana, tatizo la ajira limekuwa kubwa sana, kiasi kwamba vijana wengi wameshindwa kuajiriwa au kujiajiri Kwa ukosefu wa mitaji. Nafurahi pia Kusema kuwa ,utaratibu uliopo Tanzania wa kuchangiana Kila Kijana anapotaka kuoa imekuwa ni mkombilozi Kwa...
  16. Logikos

    JamiiForums Tanzania Tanzania (Cradle of Humanity na Moja ya Chimbuko la Mapinduzi Afrika) - The Untapped Cash Cow kupitia Utalii

    Tanzania - Chanzo cha Binadamu Kwanza kabisa ya Kaisari tumuachie Kaisari....; Tukifuata Historia Tanzania ni kwamba Chimbuko la Binadamu wa Kwanza ni nchini Tanzania Olduvai Gorge.., Ni kwamba hapa ndio Chanzo cha Binadamu na wote tumetokea hapa....; - Sasa hapo utaona kama vile watu...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Jokate: Chimbuko la CCM ni Mashina

    ✳️ CHIMBUKO LA CHAMA CHA MAPINDUZI NI MASHINA; CDE JOKATE 🗓️ 04 Mei, 2024 📍Geita Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Komredi Jokate Urban Mwegelo (MNEC) amesema Chimbuko la Chama cha Mapinduzi ni kutoka kwenye Mashina kwani huko ndipo kwenye Wanachama na...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Shivji: Chimbuko la wasiokuwa na Hoja au uthubutu wa Kuhoji, linalo ligharimu Taifa (Part 2)

    Sanjari na alivyokuwa akisisitza Nyerere (RIP): "Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania. Tunataka vijana waasi...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Shivji: Chimbuko la wasiokuwa na Hoja au uthubutu wa Kuhoji, linalo ligharimu Taifa (Part 1)

    Yalisemwa na Prof Shivji (9 Apr 2024, SUA, Morogoro) kuhusiana na athari kwa taifa kutokana na kukosekana kwa vijana wenye kukosa hoja na hata uthubutu wa kuhoji: Kuepuka andiko hili kuwa refu mno na bila kuathiri ufasaha wake, ninalikata andiko hili kuwa katika sehemu mbili; zikiwa ni nyuzi...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Upenzi uliotopea na ufia vyama vya siasa ndio kiini na chimbuko la kusuasua kwa uchumi wa nchi yetu! Iko tutapatiwa kiongozi mbovu sana

    Kama mada inavyojieleza hapo juu, nchi yetu imejaaliwa kuwa na kila fursa ya kuifanya iongoze uchumi wa Afrika Mashariki na hata Afrika nzima. Lakini tatizo kubwa sana tulilo nalo kama nchi ni mfumo wetu wa uongozi. Mfumo wa uongozi wa nchi tulionao, hautoi nafasi ya watu kuwa huru na mawazo...
Back
Top Bottom