Hakuna muda wa kupoteza, YANGA inatakiwa icheze mechi za kirafiki za kimataifa kipindi hiki Cha mapumziko mafupi

PAZIA 3

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
1,075
1,864
Ni ushauri tu.

Ili kuwaongezea morali wachezaji wa Yanga kuelekea mechi ya hatua ya Kwanza, zidi ya Al hilal, Yanga icheze mechi za kirafiki angalau mbili ili kujiridhisha na ubora wa kikosi Cha team yake kimataifa. Tumeona jinsi Tp mazembe alivyopania kuvuka hatua hii maana tayari Jana kacheza mechi ya kirafiki zidi ya Zesco United na akiwa ugenini akashinda goal moja. Hiyo inamaana kubwa Sana kwenye fitness ya team na kisaikolojia. Nimuombe Rais wa Yanga, Eng. Herse aitumie fursa hii kuweka record, atafute mechi za kirafiki haraka Sana haswa na team za uarabuni.
Kutokuitwa kwa wachezaji wengi wa club ya Yanga kwenye team za taifa, iwe advantage kwa Yanga kujiandaa na mchezo wao zidi ya Al hilal ya Sudan kusini
Ushindi kwa Zalani hautoi matumaini Sana kwani ndiyo team pekee iliyotolewa kwa aggregate ya bao tisa. Kama itawezekana pia, tuombe friend mechi na TP Mazembe au Al ahly ya misiri tujipime tuone wapi panavuja kabla ya mechi ya ccl.
Natumai ujumbe huu utawafikia viongozi wa Yanga maana safari hii Yanga isipofuzu, bidii yenu kwenye league itakuwa sawa na bure maana usajili uliofanyika siyo kwa NBC tu, bali nikwaajili ya league ya mabingwa Africa
 
Al Ahly hawana huo muda ndg!!!

Kumbuka tu mechi za kirafiki zimatakiwa kuangalia pia mipango timu unayoihitaji!! Sanasana utapata timu mamdonga tu!!!

NB:Yanga hata mkiomdolewa na Al hilal badonayo nafasi ya kupambana kwenye Kombe la Shirikisho
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Ni ushauri tu.

Ili kuwaongezea morali wachezaji wa Yanga kuelekea mechi ya hatua ya Kwanza, zidi ya Al hilal, Yanga icheze mechi za kirafiki angalau mbili ili kujiridhisha na ubora wa kikosi Cha team yake kimataifa.
Hapana, kocha Nabi alishakataa, Kigamboni panatosha kujipima na Friends Rangers
 
Ni ushauri tu.

Ili kuwaongezea morali wachezaji wa Yanga kuelekea mechi ya hatua ya Kwanza, zidi ya Al hilal, Yanga icheze mechi za kirafiki angalau mbili ili kujiridhisha na ubora wa kikosi Cha team yake kimataifa. Tumeona jinsi Tp mazembe alivyopania kuvuka hatua hii maana tayari Jana kacheza mechi ya kirafiki zidi ya Zesco United na akiwa ugenini akashinda goal moja. Hiyo inamaana kubwa Sana kwenye fitness ya team na kisaikolojia. Nimuombe Rais wa Yanga, Eng. Herse aitumie fursa hii kuweka record, atafute mechi za kirafiki haraka Sana haswa na team za uarabuni.
Kutokuitwa kwa wachezaji wengi wa club ya Yanga kwenye team za taifa, iwe advantage kwa Yanga kujiandaa na mchezo wao zidi ya Al hilal ya Sudan kusini
Ushindi kwa Zalani hautoi matumaini Sana kwani ndiyo team pekee iliyotolewa kwa aggregate ya bao tisa. Kama itawezekana pia, tuombe friend mechi na TP Mazembe au Al ahly ya misiri tujipime tuone wapi panavuja kabla ya mechi ya ccl.
Natumai ujumbe huu utawafikia viongozi wa Yanga maana safari hii Yanga isipofuzu, bidii yenu kwenye league itakuwa sawa na bure maana usajili uliofanyika siyo kwa NBC tu, bali nikwaajili ya league ya mabingwa Africa
Ihefu na Namungo zinatosha. Ama Geita Gold na Taifa Jang'ombe
 
Team yangu Yanga haitaki kabisa friend mechi, sawa bwana
 
Mkuu moja ya vitu ambavyo yanga itafeli n swala la uoga wa mech za kimataifa

Ilipatikana chance ya kucheza na ultra sola7 tukaikimbia kisa kuogopa kufungwa tu

Simba amecheza mech za kirafk international games 2 kotoko na hilal pia yupo zanzbar hii yote kujenga morali na fitness

Azam yupo congo kwa mazembe sis bado tunaish miaka ya ujima had leo

Tungewaita vipers na red arrows tungecheza Bonanza letu

Muda mwl mzuri tusubiri

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Unaongelea Yanga ipi? Upoteze nguvu kucheza na timu kutoka Djibouti kisa inatoka nje? unataka kusema hao Atla Sola ni bora kuliko Namungo kisa wanatoka nje?
 
Back
Top Bottom