Walimu walioajiriwa hivi karibuni katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita (Geita DC), huu ni mwaka wa pili sasa hatujapewa fedha za kujikimu, licha ya kuona watumishi wa idara nyingine wakilipwa.
Tunaomba mamlaka husika itusaidie kufuatilia suala hili na kuhakikisha na sisi walimu tunapatiwa...
Anonymous
Thread
ajiraajirampya
geita
geita dc
idara
ila
kujikimu
kutoka
mpya
mwaka
pesa
pesa za kujikimu
pili
walimu
walimu ajirampya
Tangu tuliporipoti kazini miezi sita iliyopita, sisi watumishi wapya wa kada ya Tabibu Daraja la II na Maafisa Afya hatujalipwa fedha zetu za kujikimu. Tunapofuatilia madai yetu, tunaelezwa kuwa fedha hizo hutolewa na TAMISEMI na bado hazijaingizwa hadi sasa.
Aidha, tuliitwa kusaini fomu za...
Baada ya kuajiriwa, hatukulipwa fedha za kujikimu kama inavyopaswa. Tuliingizwa kwenye mfumo wa malipo (payroll) na kuanza kuripoti kazini, lakini stahiki hizo bado hatujazipokea.
Kutolipwa fedha za kujikimu kumesababisha changamoto kubwa katika maisha ya kila siku, kwani baadhi yetu...
Watumishi wapya tulioajiriwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya hatujalipwa stahiki zetu za kujikimu hadi sasa.
Pamoja na kufuatilia suala hilo, viongozi husika hawajatoa majibu ya wazi kuhusu sababu ya kuchelewa kwa malipo hayo wala lini watumishi tutalipwa.
Hali hiyo imeanza kuathiri...
Anonymous
Thread
ajiraajirampya
chunya
fedha
fedha za kujikimu
halmashauri
kero
kujikimu
mpya
pesa
pesa za kujikimu
stahiki
watumishi
watumishi ajirampya
watumishi wapya
wilaya
zao
Sisi walimu walioajiriwa mwezi Januari 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama, Singida, tunaomba mamlaka husika zisaidie kufuatilia stahiki zetu za fedha za kujikimu ambazo tumekuwa tukizidai kwa muda mrefu.
Tumekuwa tukipewa taarifa kwamba fedha hizo bado hazijafika. Hata hivyo, hivi...
Anonymous
Thread
ajiraajirampya
halmashauri
kati
mamlaka
mbili
mkalama
mpya
swala
walimu
walimu ajirampya
Halmashauri ya Meru (Meru DC), Mkoani Arusha, inachelewesha malipo ya pesa za kujikimu kwa walimu walioajiriwa katika Mwaka wa Fedha 2025/2026.
Walimu tumekuwa tukifuatilia malipo tangu Januari hadi sasa, lakini tumekuwa tukizungushwa bila kupewa maelezo ya kueleweka. Tunaambiwa kuwa fedha hizo...
Maandalizi kuelekea hafla ya kuhitimisha mafunzo ya askari wa ajira mpya 268 wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (Tawa) ambapo walianza mafunzo hayo ya kijeshi tarehe 22 februari 2026 na wanatarajia kuhitimisha tarehe 5 septemba 2026 Mlele, Mkoani Katavi.
Kwa niaba ya kamishana wa...
Tunakuomba Waziri wa TAMISEMI kushughulikia matatizo ya watumishi, hasa waajiriwa wapya katika kada ya elimu nchini. Tumekuwa tukinyanyasika kwa kutopata stahiki zetu za kiutumishi, hususan fedha za kujikimu.
Wengi wetu tuliajiriwa ndani ya siku 100 za Mama Samia mwezi Januari. Hata hivyo...
Anonymous
Thread
ajiraajirampya
fedha za kujikimu
halmashauri
january
kada
kujikimu
mpya
pesa
pesa za kujikimu
singida
uvuvi
wilaya
Walimu walioajiriwa mwaka 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe hatujalipwa fedha za kujikimu tangu tuliporipoti kazini hadi leo, huku kimya kikiwa kimetawala na bila kupewa maelezo yoyote.
Kila tunapojaribu kuhoji, tunakutana na vitisho kutoka kwa viongozi, wakati wenzetu wa kada ya...
Anonymous
Thread
ajiraajirampya
bukombe
fedha
fedha ya kujikimu
fedha za kujikimu
halmashauri
kujikimu
mpya
walimu
walimu ajirampya
Halimashauri ya wilaya ya Buchosa haijalipa fedha ya kujikimu kwa watumishi wa umma toka mwezi wa tatu hadi sasa na tushafuatilia tukaambiwa mtapewa sasa hatuelewi tutapewa lini ingali ni miezi sita imepita.
Watumishi tulioajiriwa mwaka 2025 katika idara mbalimbali bado hatujapewa barua za kuthibitishwa kazini, pamoja na fedha zetu za kujikimu. Serikali, tunaomba mtusaidie.
Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko imesainisha ajira mpya kwa watumishi, huku kukiwa na malalamiko kwamba walioajiriwa wameelezwa kuwa watapokea nusu tu ya fedha walizosaini kwenye mikataba yao ya ajira.
Anonymous
Thread
ajiraajirampya
halmashauri
hela
kakonko
mpya
nyingi
pesa
pesa nyingi
sana
wilaya
Habari wakuu,
Ninaamini kuwa Content Creator ni aina mpya ya ajira katika dunia ya kidijitali, na inaweza kuwa fursa muhimu kwa vijana kujiajiri na kujenga vyanzo vyao vya kipato.
Kwa sasa, mitandao ya kijamii imewezesha watu kushiriki mawazo, maarifa, vipaji na ubunifu wao kwa hadhira kubwa...
Walimu tulioajiriwa mwezi Januari mwaka huu hadi sasa tumefikisha miezi minane bila kulipwa stahiki za fedha za kujikimu.
Tunaomba JamiiForums itusaidie kupaza sauti yetu ili kilio chetu kifike kwa wahusika. Wakati watumishi wa afya walioajiriwa kipindi kama sisi tayari wamelipwa stahiki zao...
Anonymous
Thread
ajirampya
fedha za kujikimu
halmashauri
january
walimu ajirampya
Halmashauri ya wilaya ya Nzega -Tabora haijatulipa fedha za kujikimu walimu wa ajira mpya 2026 badala yake imewalipa watumishi wa afya pekee, hii sio haki kwa watumishi wengine Kwani wote tuna haki ya kulipwa fedha hizo, mkurugenzi amekaa kimya na hakuna majibu ya kueleweka kuhusu jambo hili.
Idara ya Maendeleo ya Jamii, bado hatujalipwa kabisa Fedha za kujikimu hadi sasa katika kipindi cha miaka mingi sana. Tangu tumeajiriwa mwaka 2023, mwaka 2024, mwaka 2025, na mwaka huu 2026.
KERO, yetu ni hiyo yaani kila muda tunaulizia, wanasema andikeni Barua.. Ukweli ni kwamba Barua...
Anonymous
Thread
ajirampya
fedha za kujikimu
halmashauri
mkoa wa geita
watumishi ajirampya
Halmashauri ya BUCHOSA, Ajira mpya elimu tumelipwa hela ya kujikimu nusu ila tukiuliza kuhusu pesa iliyobaki hatupewi majibu yanayojitosheleza, wanasema tuandike barua na Kila tukiandika hakuna majibu yanayorudi.
Tunashukuru baada ya kupaza sauti kuhusu changamoto ya kutolipwa fedha za kujikimu kwa sisi ajira mpya, hatimaye hilo limetimia na tumelipwa.
Pia soma ~ Ajira mpya Afya Halmashauri ya Rombo hatujalipwa fedha za kujikimu
Anonymous
Thread
ajiraajirampya
fedha
fedha za kujikimu
kujikimu
mpya
mwanga
Walimu tulioajiriwa mwaka 2025/2026 katika Wilaya ya Babati Vijijini tunaomba kuwasilisha kero ya kutolipwa fedha zetu za kujikimu tangu tulipoanza kazi mwezi Februari.
Tumekuwa tukifuatilia suala hili, lakini kila tunapouliza tunaelezwa kuwa fedha bado hazijaingia katika halmashauri.
Hadi...
Anonymous
Thread
ajirampya
babati vijijini
fedha za kujikimu
kujikimu
vijijini
walimu ajirampya
Naomba utusaidie kutoa malalamiko yetu Ajira Mpya 2025/2026 katika Halmashauri ya Bunda DC Kada ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi mpaka sasa ni mwaka hatujalipwa hela ya kujikimu.
Anonymous
Thread
ajiraajirampya
bunda
fedha
fedha za kujikimu
halmashauri
kada
katika
kilimo
kujikimu
mpya
mwaka
tuna
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.